WOLPER AVUNJA GLASI YA DIAMOND

Tukio hilo lilijiri Agosti 28, mwaka huu ndani ya Ukumbi wa Hoteli ya Serena, Posta jijini Dar ambapo staa huyo alikuwa kwenye uzinduzi wa video ya Diamond.
Ilikuwa wakati Diamond akisalimiana na mastaa mbalimbali, alipofika kwa Wolper aliigusa kidogo, ikaanguka

Paparazi wetu alipomuuliza Wolper sababu ya glasi hiyo kuvunjika, alijibu: “Hata mimi sijui nini kimetokea, tulikuwa tunasalimiana ghafla tu glasi yake ikadondoka na kupasuka, sijui ni miujiza au nini loh!”
Diamond naye akatia neno: “Nimeshtukia glasi ipo chini tu, daah! Sina hata cha kueleza juu ya hili.”

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hi nayo mmeona ni habari ya kutuletea?mkikosa habari msilazimishe nyie wadaku

    ReplyDelete
  2. wolper kafulia hana jipya

    ReplyDelete
  3. kumbe huu ndio upumbavu wenu sasa ndio iwe nini wewe ulioandika hujawahi kuvunja kikombe au gilasi? mbona hujaandika msilete habari za kijinga hapa kama hana habari ni bora usome habari za wenzio

    ReplyDelete
  4. kumbe huu ndio upumbavu wenu sasa ndio iwe nini wewe ulioandika hujawahi kuvunja kikombe au gilasi? mbona hujaandika msilete habari za kijinga hapa kama hana habari ni bora usome habari za wenzio

    ReplyDelete
  5. Kwel umeishiwa we fala we rndelea tu kucopy Fffff Rrr

    ReplyDelete
  6. Nonsense,leteni habari za maana

    ReplyDelete
  7. miujiza ya mavi hebu kwendeni zenu huko upuuzi mtupu,na huko kwake akivunja glass anasema pia ni miujiza,mxiuuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad