Na Imelda Mtema
HAKUNA lugha nyingine zaidi ya kusema Zenji (Zanzibar) sasa hapakaliki hasa kwa viongozi wa dini, achilia mbali raia wa kigeni kufuatia kushamiri kwa vitendo vya kuwadhuru kwa tindikali au silaha, Ijumaa Wikienda lina mfululizo wa mikasa na ifuatayo ndiyo ripoti kamili.

Ukiachilia mbali mnyororo wa matukio hayo yaliyosababisha makovu, ulemavu na vifo, tukio ambalo halijapoa ni la Ijumaa iliyopita ambapo Padri wa Kanisa Katoliki Parokia ya Machui, Zanzibar, Joseph Onesmo Mwang’amba (60) kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana.
Tukio hilo lenye kuunga na mengine nyuma, lilijiri nje ya duka la huduma ya mawasiliano ya intaneti la Shine Shine lililopo Mtaa wa Mlandege Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar ambako padri huyo alikwenda kuperuzi.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, Afande Haji Hana alikiri kutokea kwa tukio hilo ambalo lilimfikisha mtumishi huyo wa kiroho kwenye Hospitali ya Mnazi Mmoja ambako anaendelea na matibabu.

Tindikali hiyo ilimjeruhi padri sehemu za usoni, kifuani na mkono wa kulia.
Novemba 6, 2012; Katibu wa Mufti wa Zanzibar, Shehe Fadhil Suleiman Soraga alimwagiwa tindikali na watu wasiojulikana. Alijeruhiwa usoni na mwilini.
Desemba 26, 2012; watu wasiojulikana wamlipiga risasi Padri Ambros Mkenda wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Michael, Mpendae mjini Unguja na kumjeruhi vibaya.

Faza Mkenda alipigwa risasi nje ya nyumba yake. Alikimbizwa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja, Unguja na baadaye kuhamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar.
Februari 2013; Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi aliuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa akiwa kwenye gari akielekea kanisani kuongoza ibada.
Februari 2013; Padri Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki Mtoni, Mkoa wa Mjini Magharibi aliuawa kwa kupigwa risasi ya kichwa akiwa kwenye gari akielekea kanisani kuongoza ibada.
Mei 23, 2013; Sheha wa Tumondo, Mohamed Omar Said alimwagiwa tindikali na mtu asiyejulikana. Alipata majereha sehemu ya kifuani na jicho la kulia na kukimbizwa katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja mjini Unguja ambapo alipatiwa matibabu ya dharura.
Agosti 8, 2013; wasichana wawili raia wa Uingereza, Kate Gee (18) na Kristie Trup (18) walimwagiwa tindikali wakiwa katika matembezi ya kawaida Mtaa wa Shangani mjini Zanzibar na kujeruhiwa sehemu za uso na kifuani.

Kate Gee na Kristie Trup waliomwagiwa tindikali wakiwa katika matembezi ya kawaida Mtaa wa Shangani mjini Zanzibar.
Kufuatia mtiririko huo, habari zinadai kuwa hali ya maisha ya Zanzibar kwa sasa si shwari kwani viongozi wa kiimani wamekuwa wakitafakari upya jinsi ya kuishi visiwani humo au kurudi Bara.
Yapo madai kwamba, baadhi ya viongozi hao wa dini na raia wameingiwa hofu na wamepanga kuandamana ili kupinga hali ya hatari inayotokana na vitendo hivyo huku kundi moja lenye imani kali likitajwa kuhusika. Polisi bado inachunguza matukio yote hayo.

Source:Global Publishers
wazanzibari mmelaaniwa mashetwain nyie hamna utu wala huruma pamoja na rais wenu yan anashindwa kuwakamataa wahalifu wajinga nyie hamtakaa muendelee hata siku moja stupidddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddddd
ReplyDeleteunatukaaaaaaaaaaaaaaaaaaana wote kwa akili zako fupi,sasa wanzanzibar wote wanaweza wakafanya kitu kama hiko?huko tanganyika mmeendelea nini?wangapi wanamwagiwa hizo tindi kali?wangapi munauwana kama mbuzi?majambazi kupora mabenk je?wauza unga,watu mpaka wanaowana na mama zao,hayo ndio unayoyaita maendeleo?mbuzi jike weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
DeleteBADO WEWE SASA
ReplyDeleteBADO WEWE SASA
ReplyDeletemkundu wenu wazanzibari wote kumamayo zenu waarabu weusi mbwa nyie tunaandaa maandamano mrudi kwenu visiwani hatuwataki bara wauaji mahanithi nyie
DeleteWazenji hawakusoma ndomaana hata nyerere kawaburuza sana,hawa jamaa inabidi wabadilike vinginevyo watajiharibia.
ReplyDelete...na bado! hao ndo kina kibela kiboko ya sisi makafiri hao kwanza hawaogopi kufa tuwaachiee kijisiwa chao maji kabla hayajazidi unga
ReplyDeleteWasenge kweli wanzanzibar mmeshazoea kufilwa
ReplyDeleteMbona ma2si yenyewe yote softcoppy??? hahahaaa!jitokeze physiacally..acha uoga! Mbona walokole wanapga kelele kw road nawe jitokeze kw style hyo. Mamayo
ReplyDeletekuma msenge wewe mbona mwenyewe umejificha shoga wewe blood fool
Deletebwahahahahaha
ReplyDeleteKwanza kajifundisheni kuongea kiswahili mashoga nyie eti kufilwa eti wazanzibari kumalamamazenu mnakuja kutuharibia kisiwa chetu halafu mnaleta ushoga wenu nyie michogo mikundu bunduki nyie
ReplyDeleteMakafir wote shenz taype mbuz nyie
ReplyDeleteAcha udini wewe bogas hv unajua maana ya ukafiri au kwasababu umezoea kujisemea tu eti kafiri vp huko mnavyo wadhuru watu huo siyo ukafiri huo kuma kibuyu acha Usenge wewe, no this is too much whyyyyyyyyyyyyy???????
DeleteKama tatizo ni udini basi wazanzibari wamesahau historia ya jinsi ukristo ulipigania na kukomesha biashara ya utumwa, babu zao wangeuzwa ughaibuni na kuhasiwa wangetokea wapi kumwagia watu acid?
ReplyDeleteHistoria gani unayoijua wewe malakia wakiristo ulipigania na kukomesha biashara ya utumwa nyama weeee km unawashwa sema wanaume waje kukukuna
DeleteInatia huzuni sana....!!!!
ReplyDeleteduh jamani basi matusi waungwana , hao watu wanofanya uhalifu wanajulikana vyema na serikali na malengo yao kuiweka nchi ya Zanzibar katika hali mbaya .
ReplyDeleteWatanganyika huku zenji tunawafira sana kumamama zenu wezi wakubwa nyie
ReplyDeleteJAMANI KWA MATUS HAMJAMBO MPAKA MNAFANANA NAYO!MNAPATA FAIDA GAN?AU NDO YATAWAIBUA WAMWAGAJI TINDIKALI?
Deletewote waliotukana hapo ndio waliopata zero form four
ReplyDeleteitakuwaje watuhumiwa wa hayo makosa yote wasipatikane,sio siri hata mimi naogopa kabisa kwenda zanzibar,wana roho za kinyama kabisa
ReplyDeletehivi naomba niulize kitu kwa hao wafanyao huu uuwaji wana nchi yao ya ahadi kwamba wakifa wataishi peke yao au wao hawafi??? tutafakari kwa kina matusi hayasaidii zaidi ya kujiongezea laana na mikosi na kujifkuzia baraka... jicho lake linatuona ..
ReplyDeletePens down. Haina haja ya kutukana wahenga wanasema kinga ni bora kuliko tiba na ngombe hashindwi na nundu yake .tuna serikali ya muungano na ile ya zanzibar wacha zifanye kazi zake
ReplyDelete