After being disqualified from the recently concluded BBA The Chase show, Nando Khan (also known as Ammy Nando) has gotten himself another chance at the game!
Word reaching us right now is that, he will be representing Tanzania in the 9th season of the Big Brother Africa show, tagged BBA Stars.
Reliable sources also reveal that he has accepted the offer and will be back in the house come next year.
The Tanzania rep got disqualified shortly after his fight with Ghana's Elikem.
Nando is rumored to have apologized to Elikem during the finale party.
This is a developing story, please check back for updates.
Udaku Specially Blog
AMMY NANDO APEWA NAFASI YA KIPEKEE KUSHIRIKI TENA BIG BROTHER AFRICA YA MWAKANI 2014
12
October 24, 2013
Tags
kaula nando
ReplyDeletebangi apunguze
ReplyDeleteBonge ya upumbavu. Hakuna sababu yoyote ya kupewa hiyo nafasi
ReplyDeletebwege tu atafanya ujinga.uleule
ReplyDeleteWapeni watu wengine hiyo nafasi tunataka sura mpya okee?...Tunda la msimu
ReplyDeleteWatanzania tuna ujinga mwingi sana. Hivi mshiriki wetu lazima awe ni mrangi rangi au "point 5" au mwenye manywele nywele? Huu ni ulimbukeni kabisa.
ReplyDeleteNando ana rangi gani huyo ni mchaga wa rombo
Deleteana tofaut gan na Mwisho?? wote warangi rangi tu yaan nchi zngine nahc wanadhan watz wengi n warangi rangi badiliken
DeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteWarombo weng ndo walivyo ivyo ht wa kwangu km vile kachanganya kumbe ni mrombo tena kwa baba na mama so ee kiuno hapo juu achaga ushamba hakuna mrangi mrangi hpo
ReplyDeletealifanya lip la maana kiukweli hata hajawah nivutia kumwangalia tz tafuteni mtu mwngne bhana cku hz vjana wengi wanavunja yai
ReplyDeleteRichard,mwisho na nando machotara nini kinaendelea????apewe nafasi mtu mwengine mswaz pure yy ibaki kwenye memory kuwa bangi zake zimemponza.
ReplyDelete