Swahiliworldplanet juzi kuwa ni muda kidogo wawili hao wapo katika penzi zito ingawa wengi wakiwemo mashabiki wao hawajui."sikia nikuambie lakini usinitaje, Hemedy na Zuhura ni wapenzi na muda wowote wakitangaza ndoa msijemkashangaa" kilisema chanzo hicho
Hata hivyo mtoa habari huyo alisema kuwa Hemedy bado kama anajifichaficha kumuweka hadharani Zuhura ili kila mtu ajue kuwa ni wapenzi huku Zuhura akijisikia huru kuwa na Hemedy kama boyfriend wake. " but unajua bado Hemedy kama hajawa tayari kumuweka hadharani Zuhura kama mtu wake lakini Zuhura yuko peace sana na relationship yao" kilimwaga data chanzo hicho. Zuhura alipotafutwa leo na Swahiliworldplanet ili kudhibitisha habari hizo alikubali kuwa ni wapenzi yeye na Hemedy kwa kujibu kwa ufupi "Yeah ni boyfriend wangu"
Zuhura ambaye ni model mwenye vigezo vyote vya kuwika kimataifa katika tasnia hiyo tayari ameonekana kwenye video za wasanii wakubwa wa Bongofleva kama vile Kamili Gado ya Profesor Jay.
Udaku Specially Blog
Hemedi hayupo open coz anajua anapita tu,na Zuhura sio wife material mwanamke anayejal utu wake wa ukike hawez jianika na chup vile inshorty wote wana akil sawa
ReplyDeleteShoga 2uyo,jana nimehakikisha jinsi alivo mburura.
ReplyDeletecdhani kama watafika mbali!
ReplyDeleteHUYO SHOGA TU,NDO MAANA AKIWAGA PALE SAMAKISAMAKI YA M/CITY,HUWA ANAINGIA CHOO CHA MADEMU KUJIREMBA,KILA WAKATI ANANYANYUKA NA KUELEKEA CHOONI KUKOLEZA PODA USONI! NA HUYO DEMU NAE NAMSHANGAA KUKUBALI MTU ANAYECHAPWA NAO KUWA ETI NDIYE BWANAKE!
ReplyDeleteshoga tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
ReplyDeleteHuyo ana PHD ya pumba.
ReplyDelete