Hii ni mara ya kwanza kwa Jokate Mwegelo kuongelea mambo ya chumban...
Maongezi hayo yalifanyika kati yake na Millard Ayo ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM.Katika maongezi hayo, Jokate naye ameeleza jinsi anavyosumbuliwa kutongozwa na mamia ya wanaume kwa siku
Yafuatayo ni maongezi yao:
Millard Ayo: Nini kimekufanya ufunguke na hizi info ambazo hujawahi kuzizungumzia na mara nyingi umekua ukigoma kuziongelea kwenye media?
Jokate: Nahisi kwa sababu watu wanazidi kuizungumzia na wanaizungumzia sivyo, hawazungumzii kiuhalisia na kiukweli inanisumbua ndio maana nimeamua kusema kitu kidogo alafu niufunge huu ukurasa.
Millard Ayo: Imekua ikikusumbua kwa mda gani?
Jokate: Kwa muda mrefu, toka mwaka jana… kwenye facebook watu wanatoa comment na najua kabisa watu hawajaelewa hili swala na mimi sipendi mashabiki wangu kutokunielewa.
Millard Ayo: umewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond pamoja na Hasheem?
Jokate: Hahahahahhaha !!!! Yeah..
Millard Ayo: Uhusiano wa nani kati ya hawa wawili ulidumu kwa muda mrefu?
Jokate: Wa Hasheem.. karibia miaka miwili mitatu
Millard Ayo: Na wa Diamond?
Jokate: Oooh kipindi kifupi sanaaa, sijui mwezi sijui miezi miwili… kidogo alinipa tabu, ila kiukweli nilitaka tu kwa sababu kuna watu wengi walikua wanasema Jokate yani vurugu, unajua sio kila kitu unachokisikia ndio chenyewe na media saa nyingine inapenda kuandika vitu ambavyo sio vya ukweli au wanaviwasilisha sivyo.
Millard Ayo: Sasa hivi uko single?
Jokate: Yeah, kwa muda mrefu tu niko mwenyewe alafu saa nyingine wananisumbua sana tena wengi tu, lakini nafurahia kwa sababu naweza kufocus kwenye kazi zangu mfano wiki ijayo nakwenda kushoot movie na JB, muziki na biashara zangu kwa hiyo inanipa fursa nzuri kufanya vitu vyangu, yani mwenyewe kujiamulia asubuhi nakwenda kufanya vitu vyangu hivyo bila kusumbuliwa si unajua Wanaume wanaweza kusema wanataka attention nini… sio kitu kibaya atleast kwa sasa hivi.
Millard Ayo: Umekaa single kwa muda gani sasa hivi? zaidi ya mwaka?
Jokate: Yeah, kwa zaidi ya mwaka mmoja sijafanya mapenzi… sijawahi na mtu ambae nimeweza kumuita like oohh this is my boyfriend… najua ni ngumu lakini nabusubusu watu wengi…. hahah a hah natania hapo, basi tu imetokea hivyo pengine bado sijapata mtu ambae nimeona ataweza kuwa kama wale.
Udaku Specially Blog
Itapata kutu shauri yako ..
ReplyDeleteDah namzimia Hugo Dada,natamani siku moja ndoto itimie
ReplyDeleteMiss loyola kati ya nyota weng wa kike waofaa kuigwa ww ni mmoja wao ucifute sifa yako kidoti,....Airaiza lucky
ReplyDeletesifa ipi nzuri aliyonayo huyu?
DeleteAnasifa gani we unamjua huyu analolote skendo anazo kibao anasema ajafanya ss haituusu inamuusu diomond muongo we .
ReplyDeleteDah muwe mnaangalia mambo yakuongelea jamani pamoja na shule yako unaweza kuongea ujinga hivi shame on u
ReplyDeleteMie nimemdharau mazima...kamalaya tu
DeleteHahahhahah... Malaya wa chinichini huyu.... Mbuta nanga.... Mbona wengine hajawasema..? Maana analist ndefu..
ReplyDeleteKajinga kweli, anawataja mabasha zake mastaa, kachangu tu haka, halafu hakajui vitu vya kuongea kwenye media. kama hajaenda shule
DeleteUmalaya tu umekosa soko watafuta upya mwizi wa mabwana za watu nyolooo wee sikupendiii
ReplyDeletemmmmmh acha izo tricks !
ReplyDeleteMuongo,msiriiii alikuwa akitembea na mzee machache mwaka mzima akawa anafanya siri.mi ndo ningekuwa natembea na mzee machache kila mtu angejua
ReplyDeleteNa mzee wa benki ya crdb je?tena ni mume wa mtu,joketi na wenzie hawaogopi Wayne za watu.
ReplyDeletehuyu yumo lkn havumi anaumalaya wa chinichini eti mlokole mlokole gani anavaa uchi vipensi kama yuko bich anatembea barabarani na wimbo wake wa kaka mitego mitupu, hana mpya akajambe huko
ReplyDeleteMUONGO MKUBWA WEWE UDAKU........ANGALIA VIZUR B4 HUJAPOST..........
ReplyDelete