Nipo chat room ya one of social media.........nimemeet na binti mmoja rafiki yangu sana wa enz izo za kombolela kijijini
bint ni mjamzito sasa na mipango ya ndoa inaendelea.........katka kumdodosa anadai hakumpenda jamaa ila tu anaolewa kwa ajili ya ujauzito wake aliobeba na kutunza heshima yake na familia........what a looser
nimejaribu kumshauri ni bora akapange nyumba aishi na mwanae rather than comitting such a serious comitment with a fake heart..kagoma katakata
vikao vinaendelea pale msimbazi center vya sendoff August.....mfike bila kukosa Jumapili saa tisa unusu na michango yenu....mwisho wa mwezi huu..
Udaku Specially Blog
Wewe acha kutufanya watoto sie, kama humpendi mbona unagoma kuachana naye acha kujishaua wewe nyambafu by Malanga
ReplyDeleteMnafik huyo,kama hampend kwanin alikubali kuchana makinda au ilikuwa tamaa ya pesa? .
ReplyDeleteALICHOKIFANYA HUYO MWANAMKE NIMESHA MUWELEWA KAKATAA KUMWAMBIYA UKWELI HUYOJAMAA ALIYE KUWA ANAMUWADISIYA ANAONEKANA NI MMBEYA NA MNAFKI SIUNONA KUMWAMBIYA KIDOGO KASHALETA MAMBO KWENYE MITANDAO WEWE UNAFIKILI ANAWEZA KUMCHUKIYA MTU ATAKAYE KUWA BABA WATOTO WAKE DADA ZANGU KUWENI MAKINI MUSIWAPE SIRI ZENU HATA KAMA MUNA MUWONA MWANAUME MUDA MWENGINE WANA KUWA MASHOGA WANAONA WIVU
ReplyDeleteWe mdau wa 2:28 AM msenge nini. kuwa na wivu ni sehemu ya mapenzi ya wawili wapendanao sio ushoga. shoga mwenyewe
DeleteKumamake yashanikuta ayo
ReplyDeleteMMMH!UTABEBAJE MIMBA YA MTU USIYEMPENDA?????
ReplyDeletehivi nyie udaku hizi picha za wadada wenye matako makubwa mnazipataga wapi
ReplyDeleteJamani temeni mate chini na Mimi vilevile niliolewa na mwanaume nisiyempenda toka moyoni nilikuwa mjamzito na sikupenda niangaike na ujauzito mwenyewe na uwezo wazazi wangu walkiwa hawana,nyinyi hayajawakuta shukuruni Mungu,baadaeNilivyoona najikosesha raha nikakimbilia ulaya huu mwaka wa tano,marriage ngumu Kama hujabahatika kumpata uliyempenda Kwa dhati
ReplyDeletehilo ndo tatizo la wauza kuma anatombwa na wengine mimba anapewa mwingine ndo maana hampendi huyo ni bwana bandia
ReplyDeleteif this story is a true one then something is wrong upstairs with the bride to be. How can you be in a relationship with a person you dont love to the extent that she impregnate you? You should learn to love your husband to be as it good if your child is raised by both parents . You have made a mistake but it happens sometimes.
ReplyDeleteDa! huu ni uhuni tu amna lolote,unakutana na demu unalala naye eti anakwambia, hajawahi kupata mambo kama unavyompa na mwanaume aliye naye hampendi, sasa kama sio uhuni ni nini?
ReplyDeletepole sana dada hiyo ipo lakini kikubwa ni kwamba una tamaa na ndio maana ukawa na m2 ucye mpenda cha mcngi jitahidi kumpevda mumeo uleee watoto wako unaweza ukampoteza huyo ukampata m2 ambaye inampenda lakini yeye hakupendi hapo dada utaomba uwe kiazi ardhi ufunuke uingieeeeeeeeeee
ReplyDeleteby raph kaswiza