STAA wa Bongo Fleva Rehema Chalamila’Ray C’amefunguka kupitia mtandao wa instragram kuwa anahitaji kuwa na boyfriend mwenye asili ya Kihindi kwa sababu wana mapenzi ya ukweli baaya ya kuangalia filamu zao.
Ray C alipost kipande cha filamu hiyo na kuandika…Daaaamn!!!!i want an indian boyfriend right nowwww!!!So romantic!!!ths movie is crazy......on my own in my Bollywood Room…
Udaku Specially Blog
We ni malaya tu!.
ReplyDeleteAnataka filwaa 2 huyo..
DeleteHuwa anachangamsha genge tu pumbavu nyie
DeleteYaani wewe dawa za kulevya bado hazijakuisha sawasawa yaani maigizo unayafanya ukweli acha ubwege wewe by Malanga A.N
ReplyDeleteI love youuu ray c mnanuna nini sasa c chaguo lake mfyuuu
ReplyDeleteNae kaishiwa huyu
ReplyDeleteutapata insha allah
ReplyDeleteWe unataka kuflwa wew
ReplyDeletecio mzima ray c uwez ukupost kila kitu in public atakuwa bdo ajapona
ReplyDeleteKaponaaa n she z happy
ReplyDeleteStaki kuamini kua et mtu ka wewe unachanganyikiw na mapenzi ya kwenye move
ReplyDeletenenda kamtongoze
ReplyDeleteDaaah! Inaelekea hawajui wahindi tabia zao. Ila fresh kwa haizuiwi kuzungumzia anachojickia.
ReplyDelete