Habari zenu
Leo niko na nyie dada zangu ninaowaheshimu na kuwapa heshima mnayostahili!!
Back to the topic,.
Ninakereka sana na vijivazi vyenu mnavyovivaa siku hizi kwa kuwa haviendani kabisa na utamaduni wetu wa kitanzania na unapoteza maadili kabisa katika jamii husika, siyo wakina dada wala akina mama, wote wamejisahau kabisa, unamkuta mdada/mama amekuvalia mini-skirt kiasi kwamba nusu kama siyo robo tatu ya maumbile yake anayaacha wazi,.
Sijui mnafanya makusudi ama vipi maana bado sijapata jibu mpaka sasa, wengine wanasema mnawatega wanaume ili waingie kingi, wengine wanasema ndiyo kuendana na wakati hivyo yaani ni taabu tupu dada zangu, kwanini msivivae hivi vijivazi mkiwa na mabwana zenu humo vyumbani kwenu muwaonyeshe neema mlizojaaliwa ili wawafurahie maana ndiyo wanaostahili kuyaona maumbile yenu?.
Badilikeni ili jamii iwarejeshee heshima yenu tafadhali!!!
Udaku Specially Blog
WIMBI KUBWA LA WADADA NA NGUO FUPI NUSU UCHI MITAANI
12
October 18, 2013
Tags
Uuuuuwii..! So pretty muah!!
ReplyDeletewanazan wakivaa ivyo ndo wanawatega zaid kumbe wanajijengea mazingila magum na kubakwa kupo
ReplyDeletewaambie hao#mabitch
ReplyDeleteMm celew kabisa wana maana gan matako yote nje Jaman!
ReplyDeleteHawa ni wale wanao fkr kila kitu kutoka ulaya ni kzr kuiga huku wakiacha mambo meng na mazur ya kuiga kutoka kwa wahenga wetu ss ufke wakat watanzania wakatae mitinda hii ya mavaz tukianzia na ngaz ya familia wakinyooshewa sn vdole na kupaziwa saut wataacha tuu ni wagonjwa hawa tucwatenge tuwaelimishe umuhim wa maungo ya ndan kusiliwa..AIraiza lucky
ReplyDeleteWaacheni jamani mbona ivo cwameamua wenyewe,they lve their life
ReplyDeleteacha ongea ujinga ww..unafikiria na makalio nn
DeleteJamaa mwehu kwel tuwaache we dada yako akivaa hivyo unapenda?na siku akibakwa utasema nn nan wa kumlaumu?think twice meen .aaaaghhhrrrr???!!!
ReplyDeleteWa Tanzania munaoza harufu ndo hizo
ReplyDeleteHasikii hata upepo mwenyewe.kazoea labda.
ReplyDeletetutafika 2
ReplyDeleteNigeria wanawake waliandamana kwa ajili kutaka kulazimisha kuolewa.... Tz bado kidg coz kama mambo ndio hivi nani ataenda kutambulisha kwao mizoga kama hiiiiiii aaaggghhhrrrr. Galz u r loosing lots...... we have to traditional.
ReplyDelete