Lile sinema la kuzungukana kimalavidavi kati ya malkia wa drama Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, mfalme wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Mtangazaji wa DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ linaendelea.
Pamoja na kwamba Wema na Diamond wamekuwa wakikataa kuwa hawajarudiana, wakisisitiza kuwa wanarekodi filamu iitwayo Temptation, timu ya Penny imekuwa ikihaha kumsaidia mwanadada huyo kurejesha ‘ushwari’ kwenye penzi la mwanamuziki huyo linalodaiwa kuingiliwa na Wema.
“Unajua washkaji wa Penny wanachokifanya ni kuhakikisha wanatuma maoni mengi mitandaoni kuonesha kuwa Penny ndiye anayefaa zaidi kuwa na Diamond. Yaani ni mwendo wa kumkandia Wema kwa kumpachika majina ya …(tusi),” kilisema chanzo chetu.
Baada ya mbinu hiyo kushindwa kwa kuwa timu ya Wema nayo ipo kazini, Penny alitundika picha mtandaoni ikimuonesha akiwa kwenye pozi la kimahaba na jamaa aliyetajwa kwa jina moja la Raheem.
Miezi kadhaa iliyopita, jamaa huyo alipiga picha ya aina hiyo akiwa kimahaba na Wema hivyo kinachoonekana, Penny naye anajibu mapigo.
Ukifuatilia picha na posti zao katika mtandao wa kijamii wa Instagram, inaaminika kuwa kila anachoposti Wema au Penny ni mwendelezo wa vijembe vinavyorushwa na kila upande kisha kutoa nafasi kwa kundi la mashabiki wa upande mmoja kutukana mwingine.
Hata hivyo, imeelezwa kwamba Wema na Diamond wangeweka mambo hadharani ili kumaliza mzozo unaoendelea wakituhumiwa kumpa mwenzao (Penny) mateso ya moyo huku wakiombwa kutafuta ushawishi kwa umma kwani endapo filamu wanayodai kuwaweka karibu haitatoka, basi watakuwa wamewadanganya mashabiki wao na kupoteza heshima na mvuto.
-GPL
Udaku Specially Blog
Wema c amerud afunguke atupe raha bac!!
ReplyDeleteWanawake wote Hawa wanachezewa
Deletepenny huna jipya ww ni kula makombo ya wema kwa kwenda mbele.....chezea wema ww uko juu mno kula bata tu diamond,we penny utadeki bahari.....mureeeeeeeeeeh
ReplyDeleteBaadh ya wanawake akil zao ndogo sana!!y kumng'ang'ania m2 moja?au ndo umaaruf unawachanganya?
ReplyDeletePenny huna jipya,Wema endeleeni2 kushuti muvi bwana achana na uyo fala Diamond niwako2 wee 2lia kula raha2
ReplyDeleteHamna anaemng'ang'ania ww mbona dai alivokua na penny wema alitulia tu dai mwenye kaenda kwa wema wke kpenz cha moyo wake unapodundia penz liacheni jaman hata kama anadanganywa let them hav fan jaman non of our bness
ReplyDeleteHaa haa haaa haaaa na muwaaacheni walaleeeeeeeeeeee!!
ReplyDeleteMwe dhiki penny na ndo mana matukio yote yanatokea bado anang'ang'ania,atabaki mifupa raha jipe mwenyewe!kwan lazma adeti na supastar?maishagan hayo unaishi kwa mashaka kisa umependa?daimond si wa kuoa leo wala kesho na sidhan kama atamuo yeyote kati yao!
ReplyDeleteTumechoka na habari zao tafuteni jipya au ndo mnaishiwa kama hamna jipya kaeni kmya kila sk Diamond ndo mbwa gn huyo?
ReplyDeletediamondi fala gani? ni celebrity huyo ndo maana unafungua blog kumfuatilia. kama huna jipya sepa zako tuache sisi. ua vip basi tupe habari za kwako nyang'au wewe
Deletehuu sasa ujinga lakini kutokana na wote hapo bongo ma small time. poa tuuu!!!! gazeti halinunuliwi bila ya hao. wajinga ndio waliwaooo amen,!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteJamani Heeee penny anasema wamechuma Mali wote na domondo kwahiyo hawezi kuachia Mali arithi mwanamkeeee mwengine.
ReplyDeleteDiamond mdogo wangu rudi Kwa Jokate au lulu wajelajela,wema na penny ni mamburula.
ReplyDeleteAaaaaaaah!! Mama mbavu zangu! Eti wajela jela! Watu mna maneno
Deletewema analipa wewee huwez mfnanisha na hiiyo jamii ya wanenguaji wa kofi olomide!
DeleteWeee..toka zako Lulu hana jipya fala2 yule Wema ndo mpango
ReplyDeletePenis senge acha kuendekeza njaa mali ulichuma na nani ss hahaha km hvyo angeanza kudai wema basi manina hpo ndo unazdi kumfumbua macho domondo kuwa njaa na uroho wa ela ndo ulokupeleka kwake....kiuno weee
ReplyDeleteHonestly Diamond,Wema na Penny 4 me i find them just Fools and Nosense.
ReplyDeleteHonestly Diamond,Wema na Penny 4 me i find them just Fools and Nosense.
ReplyDeleteHahah afu penis una gundu kiuno ww wanaume wote anaopiga nao pic mwenzio huwa wanamkubatia yy kimahaba lkn za kwako we ndo unakaba watoto wa watu.....itakuwa kabla hujawa mtangazaj ulikiwa mpiga ngeta ww maana kipaaj cha kukaba unacho mama kwan lazma kuwa star mwenzako wema kazaliwa nao usilazimisha mama unajichoresha tu
ReplyDeleteChezea nyongo mkalia ini wewe, utalazwa pensel achia ngazi, muache dimond na nomber one wake(wema)
ReplyDeletekwa mahaba aliyopewa diamond na wema amenogewa duh wema mpunguzie kidogo.kweli wema wewe ndio #1 wa nasib.
ReplyDeletekila la heri Wema, Penny chapa lapa mama tafuta wa grade yako hapo kwa Diamond si pako kabisaaaaaaa! #TeamWemaRocks
ReplyDeletena kweli achape lapa anajipa presha za bure
Deletehahahaa mali gani peny kachuma na diamond??????????? makubwa! so upewe % ngapi ukubali matokeo? hapana chezea mapenzi mama, ni mziki mnene! Wema na Diamond forever! yaani hata ipite miaka mingapi Diamond can never resist Wema! Never! Penny kama ni safari ushafika achia ngazi wenye basi lao wamerejea full energy!
ReplyDeletenipe tano mdau nimeilake hiyo
DeleteEh! I love my Bongo, people can talk o..........for dayzzzzz.
ReplyDeletekutesa kwa zamu alivyomrekodi mwenzie tuaje tulale alifikiri raha ee au mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ndo mchungu, utajibeba mwaka huu mapenzi hayalazimishwi diomond wala hakupend kabisa penny na malemba yako kama mzee eti utuache tulale wewe ndo uwaacha wema na diomon walale shwain wewe
ReplyDelete