ZITTO"NIPO TAYARI KUNYONGWA KWAAJILI YA HILI ILA SITATOA RUZUKU KWA CHADEMA WALA CCM WASIPOKAGULIWA"
6
October 19, 2013
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe akitoa ufafanuzi juu ya taarifa yake ya mahesabu ya vyama 9 vya siasa ambavyo havijapeleka ripoti ya ukaguzi wake wa mahesabu kwa Msajili. Baadhi a vyama hivyo vilikanisha taarifa hiyo.
Udaku Specially Blog
Tags
Zito atueleze kama kuna sheria inayosema kamati ya PAC ina stahili kufanya mahesabu ya vyama vya siasa. L a sivyo aache kutafuta cheap popurality. Ninachojua kamati yake inabidi imwulize mkaguzi wahesabu za serikali na Msajili wa Vyama ambako vyama vinaripoti. Lakini hii ya kutaka kuonewa huruma kuwa upo tayari kufa hizo ni porojo, fanya kazi kwa mjibu wa sheria si kudanganya watu na kuonekana si kamati ila ni zito. Na magazeti acheni kuchanganya watu kwa ujira wa kipuuzi. Kwanini msiseme angalau ni kamati ya Pac badala ya kumpamba Zito kiasi cha wasioelewa wanadhani zito anatisha hapa mtaani
ReplyDeletezito simama bila kuegemea chama chochote
ReplyDeleteUnahela ya kutoa ruzuku? Wewe unatoa recommendation tu serikali ndio ina wajibu wa kutoa au isitoe na sio wewe zitto.
ReplyDeleteUsiogope songa mbele
ReplyDeletetunakujua wewe zitto ni ndumila kuwili
ReplyDeletedo what you believe is right,,be bleased!
ReplyDelete