AUNTY LULU AFUNGUKA MARA BAADA YA KUIBIWA NGUO ZAKE ZA NDANI (CHUPI)

MSANII wa filamu za Kibongo aliyeibukia kwenye utangazaji, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amekombwa vitu kibao vya thamani dukani kwake na watu wasiojulikana.

Tukio hilo la kuhuzunisha lilitokea wiki iliyopita, usiku wa manane katika duka la msanii huyo lililopo Kinondoni – Biafra jijini Dar es Salaam ambapo vitu vilivyoibwa ni pamoja na Chupi zake, viatu, nguo, pochi, simu na fedha.

“Kwa kweli nimechanganyikiwa sana, hadi sasa bado sijajua thamani ya vitu vyote kwa jumla ni kiasi gani lakini nasema sitaki lawama. Walioniibia ni heri wanirudishie tu kwa njia yoyote maana kitakachowakuta hawatasahau.


“Nimeshakwenda Bagamoyo kwa mtaalamu wangu na kazi imeshakwisha. Natoa siku saba vitu vyangu viwe vimerudi vinginevyo...” alisema Aunty Lulu bila kufafanua zaidi.

Udaku Specially Blog

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu naye unashindwa kumuomba mwenyezi Mungu unaanza kukimbilia kwa sangoma na hawarudishi sijui ...ila pole san!

    ReplyDelete
  2. Malaya 2 huyo hana lolote anatafuta kiki, pumbaafuuu!

    ReplyDelete
  3. Mtaji wa mawazo y asikimbilie kwa sanagoma,hana kitu atakalia kuonyesha mitako tu kwenye mitandao

    ReplyDelete
  4. Jinsi gani ulivyokuwa mshirikina, badala ya kumuomba Mungu unakimbilia bagamoyo.

    ReplyDelete
  5. kumbe Anti lulu Mshirikina jamani... Looo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad