Chuo cha st.John's pale Dodoma kuna tatizo kubwa la walimu kuwakamata wananfunzi na kuwalazimisha ngono .Nimeshuhudia mwanafunzi last week amekamatwa na mwalimu kamwambia ajisalimishe .Kamtumia sms na calls kum harrass huyu binti na mwisho ametoa matokeo akiwa ameamua mwanagunzi huyu asimalize chuo na inabidi arudie mwaka mzima .Ushahidi uko wazi umekuwa documented hatua imechukuliwa baada mtego kwa kushirikiana na jeshi la polisi , kwa mumwachia mwanafunzi akubali matakwa ya mwalimu , alimpigia simu mbele uongozi wa polisi na kumwambia yuko tayari kwa ngono na bila ajizi mwalimu aliitikia kwa bashasha na aliwahi kituoni akamchukia mwanafunzi na kabla hajaondosha gari alikamatwa baada ya mahojiano ya siku 2 mwalimu kaamua kubadilisha matokeo ya mwanafunzi baada ya supplementary na sasa mwanafunzi ata graduate mwezi ujao .
Naomba msaada toka kwenu juu ya ufumbuzi wa hilli jambo huko vyuoni hali ni mbaya na rushwa ya ngono imeshika kasi .What is the solution to this problem ?
From Mdau
Udaku Specially Blog
RUSHWA YA NGONO ST.JOHN'S UNIVERSITY DODOMA INATISHIA MAISHA YA WANAFUNZI WA KIKE
5
October 26, 2013
Tags
Suluhu ni kuacha mahusiano na wakufunzi hao kutoshughulika wala kuwachekea kabisa...lengo la lako hapo ni kusoma pekee
ReplyDeletewanafunz wavae nguo za stara tu,,tatizo litaisha,,mbna muslim universty of morgoro tatzo hlo hakuna,,na kuna pini za ajabu,,ila wanavaa stara,hawatamanish km vyuo vngne
ReplyDeletewewe wacha upuuuzi wako huo wa kuchafua chuo,watu wameshakujua sas kama ishu umefikisha police then unaomba solution ya nini wacha uhanithiii wewe sisi tuko sjut miaka700 na tunarespect chuo since prof meshack up to date
ReplyDeletemh! mdau una hasira. na watuache na sjut yetu. wenyewe tunaipenda miaka 800
DeleteTatizo kubwa zaidi ni mentality. Nimesome chuo che kikriso na tulivaa nguo za heshima lakini walimu wa kiume bado tu
ReplyDelete