ESTHER BULAYA ACHEMKA KWENYE INTERVIEW EATV CHANNEL 5

Mbunge wa viti maalum kupitia kundi la vijana toka chama cha mapinduzi akiwakilisha mkoa wa Mara wilaya ya Bunda alikuwa akifanyiwa mahojiano katika kipindi cha ''hot mix'' kinachorushwa kupitia kituo cha television cha EATV - Chanel 5!

Akaulizwa swali kuwa nje ya siasa anapenda kufanya shughuli gani?mojawapo ya shughuli aliyoitaja kwamba huifanya ni pamoja na kusoma vitabu na kusikiliza hotuba za wanaharakati kama Martin Luther King Jr., Mwalimu Nyerere na Mandela! 
Katika kukoleza maelezo yake akasema anapenda sana kusoma kitabu kinachoitwa ''How to be a Good Political Leader''. Mtangazaji akamuuliza jina la Author wa hicho kitabu lakini mheshimiwa mbunge akashindwa kumtaja kwakuwa alikuwa hamkumbuki pamoja na kuomba apewe muda ili amkumbuke!!

MY TAKE:
Kwa mtazamo wangu si rahisi mtu kusahau jina la author wa kitabu unachokipenda kukisoma mara kwa mara! Pengine Mh.Esther alikuwa anatafuta mileage kwamba ni msomaji mzuri wa vitabu lakini kachemka kwa kutomjua author wa kitabu akipendacho!
-JF
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. And we say we have leaders, hawa ndio wanasainigi mikataba hata bila kujua inahusu nini! shame on u madam mp..

    ReplyDelete
  2. Hao ndo mizigo kwa taifa wanakula kodi zetu bila huruma ukimuuliza kuhusu sherehe za kifisad atakutajia kila kitu,jaman hii mizigo tunabebeshwa mpaka lini??? Wanapenda sana umaarufu sasa ona hajui chochote sio ajabu hicho kitabu ndo anakitafuta hajawai hata kukimilik,akasome (THE RIVER BETWEEN) hahahA

    ReplyDelete
  3. Esther namjua sana,muulize mitindo ya nywele sio memgine ya maana.

    ReplyDelete
  4. Nchi inaongozwa na wehu

    ReplyDelete
  5. Inasikitisha sana, na hata bungen wanajibeba kwa wingi wa chama, lakn sheria na kanuni hawazijui.

    ReplyDelete
  6. Hawa ndio viongozi wanaotutengenezea katiba ya miaka 50 ijayo.nakunalingine linaitwa kigwangala shem on u.m.machimkenda

    ReplyDelete
  7. Uchiu tuuyo hana chochote zaidi ya matako yale

    ReplyDelete
  8. acheni uboya nyie,,mbna ni suala la kawaida xna mtu kumsahau author ukakumbka jna la kitabu,,yan mmekalia kuponda tu,,hayo ni majungu alaf hayajeng,,,,,alaf na ww adm tuandikie vitu vya maana sio mtu anasahau et jna la kitab tu,,ww ndo unaona ndo hoja ya kutuletea cc boya ww,

    ReplyDelete
  9. huyo ni kasuku wa CCM si unajua

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad