JE UNGEKUWA WEWE HAPA KATIKA SITUATION HII UNGEFANYAJE?
10Udaku SpecialOctober 10, 2013
Umefukuzwa kazi kampuni ya upimaji Almasi, waijua almasi nje ndani. Sasa una shida sana yaani hivi karibuni kila kitu kimekuwa kigumu, umeshakopa sana na hata huaminiki tena na marafiki zako, hivyo ukikopa tena wanakutolea nje. Ukaona heri umshawishi rafiki yako akusaidie walau mkopo. Akakwambia yeye analima viazi, na sasa ni kipindi cha kulima, mkopo hana ila atakupa shamba hekari moja, ulime, atakupa pembejeo zote, kumwagilia hamna ni mvua tu, na utakula msosi kwake mpaka viazi uvivune uviuze, ambapo utapata pesa ya kujitegemea kula na kupanua kilimo kwa kukodi mashamba makubwa msimu ujao, yeye utampa 10% tu ya mavuno ya hekari hiyo aliyokupa, na anakupa business plan nzima ya ulimaji viazi, huna haja kum-Doubt maana yeye viazi ndo mpango mzima, yupo njema kweli hadi anaitwa "Sudi Maviazi" Kariakoo nzima wanamjua. Unakubali. Siku ya kwanza umefika shambani umepiga jembe hatua 3, ukachimbua kipande cha almasi...kwa uzoefu wako ni cha kama 100m/= hivi, je, Utatupa jembe ukimbilie mjini kuiuza?, ukulima tupa kule, ama utaendelea na ukulima bene bene na Sudi Maviazi? -Bwana Mushi Udaku Specially Blog
nitaendelea kulima
ReplyDeletekwa sabab alikua ana nia ya kunisaidia bac inabid nika mwambie nme shndwa kuendelea ngoja nika chek michakato mbele, Afu ndo naenda kuuza kwaku2lia
ReplyDeleteitabidi uuze kwaza halafu umpe kama msaada maana alikua na lengo lakusaidia pia ukimwambia kabla akakugeuka akakuua mi sijui
ReplyDeleteJembe la nini tena wakati nishapata shot cat, nilikuwa na mpango wa kulima kwa kwa kukosa pesa sasa nishapata milion 100 nalima nataka nini tena,
ReplyDeleteUtaendelea tu madhali umeiona jua kuna nyengine zaid ya hiyo kma na shamba lenyewe unalinunua toka kwa sudi mapapatato
ReplyDeleteNimekukubali
DeleteNtakubali kulima coz kwa baadae naweza kupunguza shida na hayo madeni.
ReplyDeleteSijajua mantiki ya hii stori!
ReplyDeleteNitakufa hapohapo
ReplyDeleteAkachimba chimba akapata yooo.alimas alinacha bin abunuas
ReplyDelete