Julius Nyaisanga (katikati)
HABARI zilizotufikia kutoka mkoani Morogoro ni kwamba Mtangazaji Mkongwe nchini, Julius Nyaisangah 'Uncle J' ameaga dunia. Mpaka mauti yanamfika, Marehemu Nyaisangah alikuwa Mhariri Mtendaji wa Abood Media iliyopo mkoani Morogoro. Marehemu aliwahi pia kufanya kazi katika kituo cha Redio Tanzania Dar es Salaam (RTD) na katika Kituo cha Redio One ambapo alikuwa Mkurugenzi. Mpaka sasa chanzo cha kifo chake bado hakijafahamika japo marehemu alikuwa akiugua kwa muda mrefu.
Udaku Specially Blog
jamni nyie AIDS KILLS acheni kabisa. mm najisikia vibaya sana kwani nimempoteza mtu muhimu sana maishani kwangu kwa huu ugonjwa. yaan nawaambia usitamani huu ugonjwa ukaingia ndani ya familia maana ni mateso. kwa mgonjwa na kwa wanafamilia. Mungu atukinge jamani na haya maradhi. Hasa hasa siye wanandoa. Tujitahidi kuwa waaminifu. UKIMWI UPO NA UNAUA. tutaacha watoto bado wanatutegemea na kusababisha maafa kwao hapo baadae. EEHH MUNGU BABA TUOKOE NA HILI JANGA.
ReplyDeleteWewe emu ondoa ushuz hapo alaahh unackitika kiushuz kbs ukimw ulimpa ww? Kama alikufa na ukimwa au lah Mungu anajua yy aliefarik pia kumbuka umri wke ulikua umeenda sana
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema jaman nakumbuka babu wa kimanzichaja lol..
ReplyDeleteAIDS kills.uncle J bye rest in peace and thanks for your good work we will miss you
ReplyDeleteWe huo UKIMWI uliimpa wewe na ata kama ulimpa who cares? Get ur life together bitch we don't want to hear about that.
ReplyDeleteyou heard. get ur act together. AIDS KILL
DeleteHiyo nyumba alivyokuwa anakaa mtume alifulia Inaelekea .
ReplyDeleteHivi nyie mnaosema UKIMWI ndio umemua mna uhakika kwa hilo? Au ni hizi story za kwenye vijiwe vya kahawa
ReplyDeleteKisukari cha kondedha mno mnasema ukimwi bogas nyie
ReplyDeleteKabisaaa bogazzzz haoo don judge if u don knw nyamafff
ReplyDeleterest in peace babu
ReplyDeleteRIP bro kila nafsi itaonja mauti iwe kwa ukimwi, kwa cencer, kwa kisukari, kwa nini swali ulijiandaaje ulipokuwa duniani basiiiiii mengine ni kumwachia mungu, kwani akiamua ufe kwa ukimwi hata ukwepe vipi utakufa kwa ukimwi akisema ufe na cencer hata ufanyaje utakufa nayo acheni kuongea ujinga utafikiri kifo anapanga binadamu wakati ni mungu mwenyewe muumba.
ReplyDelete