MAMBO 10 YA KUFANYA KABLA HUJATIMIZA MIAKA 26

1. Jifunze kuweka akiba ya fedha na iache bila kuigusagusa.
2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye, panga maisha.
3. Ishi mahali pa peke yako, acha kuishi kwa wazazi au kupanga na nyumba na washkaji.
4. Lipa madeni yako ya zamani. Yote!
5. Tengeneza mwili ambao unataka halafu jitahidi kuu-maintain! Anza kuzingatia kuishi kwa kujali afya yako sana.
6. Jitahidi uwe na marafiki ambao wana changamoto za kimaendeleo zitakazokusaidia.
7. Anza kujinunulia assets kama ardhi na nyinginezo.
8. Jifunze kuvaa vizuri na kwa heshima, si tu ilimradi umependeza.
9. Kubali sasa kwamba umekua na acha tabia na mambo ya kitoto.

10. Yaache ya zamani yapite na anza mapya. Mwajuma huna mpango naye, achana naye. Acha kurudi rudi nyuma!

Udaku Specially Blog

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo inaaply nje sio bongo yenye shida na dhiki lukuki akapange umempa hela ya kodi au ajira?think before u write ok sio rahis kiivyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Think b4 u comment huku inaaply sana kama ww umeshindwa wenzko wameweza! Acha kujshusha analofanya mzungu hata ww unaweza kufnya sema ubongo wko umesinzia

      Delete
  2. Hakuna siku niliyopata faraja Kama Leo wadau Wa udaku.

    ReplyDelete
  3. Namba 7 na 10 ndio mpango wa kijanja, namba 2 na 6 ndio vijana wengi wakibongo vinatudumaza na kuturudisha nyuma.
    nb: zingatia maisha epuka anasa.

    ReplyDelete
  4. Safi sana. Coz nachukia unakuta mtu anakazi na inamlipa vya kutosha na umri umekwenda but bado anakaa na wazazi wake kaa mtoto! Ukimuona mitaani anaendesha gari za washkaji, anabeba simu ya million, anavaa nguo za majina, anabadilisha wanawake/wanaume kaa nguo. I hate that shiit! Asa kwa wanaume haipendezi kabisaa. ..Udaku special thank u kwa ujumbe mzuri

    ReplyDelete
  5. miaka 26 kbongo bongo km hayuko chuo bc yuko mtaan anasaka kazi na km ndo kapata kaz hana miska mingi kazin na ndo kwanza anaanza kuzoea pesa ful kujitoa ushamba hapo ndo hta anaanza kujua silaha n pesacwooote walomtosa wkt yuko chuo anataka awatombe

    ReplyDelete
  6. duuuuh. .ya kweli hayo!shukran san

    ReplyDelete
  7. Miaka 26 huwi chuo ushamaliza. Tena wengine tulianzaga kaz kitambo. Sema ngono zembe,na kupenda maisha ya ghal ndo vyatuua vijana wa bongo. Ahsant udaku.

    ReplyDelete
  8. hata hapa bongo inawezekana

    ReplyDelete
  9. Tatizo. Vijana wa bongo wengi wanapenda mteremko

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad