HIVI NDIVYO BAADHI YA WENYE PESA WANAVYOWADHARAU MASKINI, KWA KUWAFANYIA HAYA

Wadau tukumbuke hali ya maisha huweza kubadilika wakati wowote. Leo waweza kuwa tajiri lakini kesho ukawa masikini.


Endapo unaamini hayo yanaweza tokea wakati wowote, basi huna budi kumuheshimu yule asiye nacho, ulicho nacho wewe sababu wakati wowote unaweza ukawa katika hali aliyonayo mwenzako 

Udaku Specially Blog

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pamoja na hayo kwa nin wapange bidhaa barabaran?kutafutiana lawama tu.

    ReplyDelete
  2. sio kutafutiana lawama wenye pesa wanadharau sana kana kwamba pesa wamepata kwa akili zao wanasahau kabisa kama kuna mungu, akiamua siku moja tu unatembea kwa mguu kibaha mpaka ubungo

    ReplyDelete
    Replies
    1. sawa kabisa

      Delete
    2. Hakuna cha dharau hapo.
      Wabongo mmezoe kugeuza yasiyoruhusiwa wala kukubalika kwa hisia za kutokuwa na uwezo au kipato.
      Kwanza nani mwenye ruksa ya barabara? Muuza nyanya au magari?
      Jamani tustaarabike. Tutumie huduma na amali zetu kama zilivyopangwa....
      Kama ungekuta bucha kwenye choo cha jumla ungesemaje?
      Kila mahala pana matumizi yake... Tuyazingatie!! Ok blaza????

      Delete
  3. kwanini wapange vitu chini? wanaboa sana, hapo sio sehemu yake watafute sehemu sahihi...kweli kariakoo hawa wapanga vitu chini wanaboa

    ReplyDelete
  4. Kweli kwanini wapange njian?hata hapa mwanza soko kuu unakuta wamepanga njiani hata mtembea kwa miguu anakosa sehem ya kupita je kwa mwenye gari?huko ni kutaftiana lawama.

    ReplyDelete
  5. City fanyeni kazi zenu kwa mujibu wa sheria kuepusha migongano kama hyo.kupanga bidhaa barabarani sio ruhusa waondolewe na kutozwa fine hawatarudia.wewe unaesema wamedharauliwa fikiri sawasawa.

    ReplyDelete
  6. Kukanyaga chakula wakati wengine hawana kabisa ni kufuru,na malipo yake ni hapahapa duniani.

    ReplyDelete
  7. Kada mmoja wa ccm hapa sinza, alikuwa akienda bucha anaagiza kwa sauti kubwa auziwe mguu mmoja wang'ombe kwa ajili ya mbwa wake,zlipokauka pesa akawa ananua kilo moja ya kula yeye kwa siri,siku hizi kachoka hata ya dagaa anaipata kwa mbinde

    ReplyDelete
  8. huyo cada yeye alikua anataka sifa akifikiri ndio amefika ila hawa wanaoweka bidhaa barabarani kwakweli wanakiuka sheria wani barabara ni ya kupita magari na watembea kwa miguu iweje bidhaa zipangwe barabarni jamani huyo hakufanya dharau ila wenye makosa ni hao waliopanga bidhaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad