MIKOA TAJIRI TANZANIA KWA MUJIBU WA BOT

Kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania(BOT),Dsm ndio mkoa unaoongoza kwa kuchangia pato la taifa. 

1. Dar-es-salaam(GDP-7.5 trilion)
2. Mwanza(GDP-4.09 trilion)
3. Mbeya(GDP-3.2 trilion)
4. Shinyanga
5. Iringa
6. Morogoro
7. Arusha(GDP-2.1 triliom)
8. Tanga(GDP-2.09 trillion)
9. Kilimanjaro(GDP-2.03 trillion)
http://www.thecitizen.co.tz/News/Rev...z/-/index.html

Cha kushangaza ni kuwa mkoa wa Lindi ambao umezungukwa na gesi yenye ujazo wa mabilioni ndio mkoa wa pili kwa umaskini baada ya mkoa wa Pwani.
Lakini swali ni je,kwanini arusha haipo hata katika top 3 ya mikoa tajiri yenye kuchangia pato la taifa? Inaonekana makampuni mengi ya utalii yanamilikiwa na wageni au mengi yanatokea katika mkoa wa Dsm.
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huko arusha makampuni yote ya utalii yanatoka kenya wewe haujiulizi kwann wakenya wanang`ang´ania East African Community? ili wapate kuwaleta watalii bure kupitia kenya. SAY NO TO EAST AFRICAN FEDERATION. Kenyan are so greed. fukuza mbali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata kama yanatoka Kenya kwani hawalipi kodi?au kodi ni kwa wazawa tu

      Delete
  2. Du hizi yakwimu zina walakini mkubwa shy kweli imeizidi Arusha hata kama yanamilikiwa na wageni huu ni uongo mtupu

    ReplyDelete
  3. hapo hakuna cha kushangaza.kama tumekuwa waogoa kujitoa kimbelembele kutetea maslah basi ndo tukae kusubilia takwim zao.

    ReplyDelete
  4. ok shy iko nafasi za juu mbona hakuna maendeleo yyte?..km inachangia pato la taifa waboreshe na miundombinu yk

    ReplyDelete
  5. jamani shiinyannga iko juu pengine kuliko hata mwanza. shy kuna almasi na dhahabu kuliko sehemu yoyote africa mashariki, kuna mazao ya biashara ambayo yanasafirishwa nje ya nchi (export) kama vile pamba, dengu na choroko. pia kuna mifugo mingi tu ambayo mara nyingi husafirishwa kuja dar nayo ni ng'ombe mbuzi na kondoo, pia shinyanga ni mkoa wenye masoko makubwa kabisa ya ng'ombe hapa tanzania, pengine hata afrika mashariki ambayo ni Kishapu na Tinde.

    ReplyDelete
  6. Hata ktk miaka ya 1990s Lindi ilikuwa ni miongoni mwa mikoa fukara pamoja na Dodoma, Pwani na Kigoma

    ReplyDelete
  7. I wonder for such kind of information!

    ReplyDelete
  8. Hii taarifa haiwezi kua kweli mana Kilimanjaro ndio ipo apo juu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad