** *Mtangazaji wa Kipindi cha Mkasi kinachorushwa hewani kupitia kituo cha EATV Salama Jabir, wa pili kutoka kushoto akidauiwa kutukana kwa kutumia ishara ya kidole wakati walipokuwa kwenye moja ya haraka za kurekodi matukio ya kipindi cha EPIQ BSS 2013, kinachorushwa hewani kupitia kituo cha TBC1, Salama alifanya kituko hicho akiwa ameketi mezani na Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Bongo Profesa Jay wa kwanza kutoka kushoto,mratibu wa Shindano la Bongo Star Search Madame Lita katikati na Master Jay.*
Udaku Specially Blog
ANGALIA SALAMA JABIR ALIVYOWATUSI MASHABIKI KWA ISHARA YA KIDOLE
5
October 18, 2013
Tags
Swagger 2 hizo wabongo mnataka owe mnavyotaka nyie. Salama Ana akili timamu hawezi watusi mashabiki wake
ReplyDeleteRachel maddow
ReplyDeleteAmemtukana nani labda wewe acha kuzusha mambo kama huna chakuandika kaa kimya
ReplyDeletemkao alokaa master j na madam inaonyesha kama ilikuwa ni pcha ya pamoja na c kama unavyosema salama kawa2kana mashbki zakee maana wote walikuwa wanaangalia kamera...na hilo ndo pozi salama aloamua kutokelezea nalo...
ReplyDeletehabari yako ya uongo
DUH..KWELI KUNA WATU WAMAPENDWANAAMINI HAPA SALAMA ANAPENDWA JOKATE HUKO KATUKANWA MPAKA NIMEMUONEA HURUMA
ReplyDelete