SHERIA MKONONI
5
October 10, 2013
Hili swala la kuchukulia sheria mkononi linatisha jamani, hata watu wanashauriwa wakimgonga mtu barabarani ni bora wakimbilie polisi, hata watu wenye nia njema tu hushindwa kusimama kwa kuhofia maisha yao na kuogopa mob justice.
Tabia ya kujichukulia sheria mkononi imekuwa ni tatizo kubwa nchini na ni kinyume na haki za binadamu. Hebu tazama picha hii wananchi wakijichukulia sheria mkononi kwa mtu anayedhaniwa kuwa ni mwizi, Je, mtu
akiamua kumpakazia mtu kumwita mwizi kwa sababu zake binafsi na watu wakachukua hatua kama hii kwa mtu asiyekuwa na hatia?
toa maoni yako jinsi gani tunaweza kukomesha hii tabia.
Udaku Specially Blog
Tags
Anaehucka na hili awekwe ndani na sheria ichukue mkondo wake
ReplyDeleteJamani ukweli tatizo hili ni sugu tanzania,lakini hii yote inachangiwa na sisi wananchi pamoja na vyombo vya dola,kwa nini nasema vyombo dola,kwa kuwa hawako makini ktk utendaji wao wa kazi,mf..unakuta mwizi kabisa kakamatwa na wananchi akapelekwa kituo cha polisi lakini baada ya muda mfupi unakutana na huyo kibaka mtaani,huku akijinasibu hawaniwezi hawa,hivi kweli unategemea akifanya kosa lingine wananchi watamwacha?na sisi wananchi tujiepushe kuchukua sheria mkononi kwani kidogokidogo tunajikuta ni watu tusiokuwa na huruma,na mwisho wa siku tunaweza hatarisha amani tuliyokuwa nayo kwa kuwa tumeshazoea kupiga tu.
ReplyDeleteumejisahau blogger hebu ingia gonga mix utuletee pcha za peny akiwa anapelekwa hosp na ambulance baada ya kuona pcha za wema na diamond
ReplyDeletePen mwaka analo, wema oyeeeeeeeeeeee........
ReplyDeleteDah! Wabomgo bwana, sasa hii mada inausiana nn na habari za penny, kueni makini na mada iliyopo sio mnakulupuka 2, Puumbaafuuu!!
ReplyDelete