SHILOLE AONGEA "KUWAPANDISHA JUKWAANI WANAUME NA KUNISHIKA KINAWAFURAHISHA WENGI"

Baada ya watu kuongea sana kuhusu jinsi Shilole anavyo fanya show zake na staili ya kuwapandisha wanaume jukwaani na kucheza nao kwa staili ya nisheke popote ...Amejitokeza na kuongea na chombo kimoja cha habari na kusema yeye hajivunjii heshima kama watu wanavyosema bali anakizi mahitaji ya mashabiki wake..."watu wanapenda sana jinsi navyofanya ...ni njia moja wapo ya kuchangamsha show jukwaani kwahiyo sioni tatizo hapo ...wanaosema najivunjia heshima niwashamba..mimi ni msanii lazima nitafute njia ya kuwapa burudani mashabiki wangu...."

Udaku Specially Blog
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kuma ww waambie wakutombe kbs ili uwaburudishe

    ReplyDelete
  2. Vua kabisa na hiyo chupi watu wapande mihogo yao kwenye papuch,we c mjanja klko biyonce,mbona hua hafanyi huo upuuzi wako,mi huwa nawashangaa wanawake,,wenyewe hamtaki kujithamin afu mnataka mthaminiwe,yan mtu anakunya sebleni afu anataka athaminiwe,!! Wanawake hamwezi kuwa sawa na wanaume mpaka mwisho wa dunia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Siyo wanawake wote wasiojihesimu kwa kauli yako hiyo hata mama yako mzazi hajiheshimu pia.

      Delete
    2. Mama hawezi kuwa sawa na baba hata ck 1

      Delete
  3. Pesa haitafutwi hivyo. Nashangaa vyombo husika havijamfungia shoo zake. Na uchezaji huo inamaanisha ndio mwisho mwisho.je mashabiki wakiluchoka kwa staili hiyo utafanyaje.

    ReplyDelete
  4. Nyoooo et burudani...

    Kama kuwaburudisha mashabiki mbona huiti wanawake wakushileshike hapo???

    Ovyooooo...
    Mxxiiiiiiuuuuuuu

    ReplyDelete
  5. ZINGATIENI HILI;
    tunapowasema wanawake kwa upuuzi au ushenzi wao mama zetu yaani mimi na wewe tunawa-exclude and vice versa is true.

    kulingana na law hiyo hili lidada ni lishenzi.

    by SOCIALIST

    ReplyDelete
  6. ZINGATIENI HILI;
    tunapowasema wanawake kwa upuuzi au ushenzi wao mama zetu yaani mimi na wewe tunawa-exclude and vice versa is true.

    kulingana na law hiyo hili lidada ni lishenzi.

    by SOCIALIST

    ReplyDelete
  7. Kila mtu ana jinsi ya kutafuta riziki ata akifanywa mwil si wake bana
    mcontrol mkeo tu wenfine tupa kule. Shilole fanya yako mwaya kwan wana?kupa hela ya kula

    ReplyDelete
  8. Unajua watanzania wengi tu wavivu wa kufikiri, huyo dada mbwa kasoro mkia uwezo wake wa kufikiri umefikia hapo wewe unafikiri nini kitafuata baada ya washabiki kuichoka style hiyo kama sio kuvua hadi chupi kabisa by Abel N.M

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad