SHOO YA FIESTA DAR KUENDELEA SAA 9 ALASIRI LEO

BAADA ya shoo ya Tamasha la Serengeti Fiesta 2013 jijini Dar kusimama kwa muda leo alfajiri kwa hitilafu ya umeme, itandelea tena saa 9 alasiri leo katika Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam bila kiingilio.

Akizungumza na baadhi ya mashabiki wa tamasha hilo waliokuwepo viwanjani hapo baada ya hitilafu kurekebishwa, Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba alisema kuwa shoo itaendelea saa 9 na wasanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' Davido kutoka Nigeria, Mohombi kutoka Sweden, Nay wa Mitego na Bendi ya Twanga Pepeta watatoa burudani ya nguvu.


Aliongeza kuwa mashabiki wategemee 'sapraiz' kibao wakati wa shoo hiyo. Wasanii waliopiga shoo baada ya umeme kurudi katika hali yake ni pamoja na Kalapina, Chid Benz na Darasa japo mashabiki wengi walikuwa wameondoka viwanjani hapo


Udaku Specially Blog
Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. cloud's mjipange coz hamjawatendea haki!!

    ReplyDelete
  2. tatizo mlikuwa mnashukulika nakupendezesha jukwaa hamkuangalia au kujipanga kwenye mambo muhimu kaumeme yahaya bwana poa lakini

    ReplyDelete
  3. Kumamayo zenu clouds..

    ReplyDelete
    Replies
    1. na watanyatiwa kwa nyumaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

      Delete
  4. kumbukeni clouds malipo ni hapahapa...............4sure mnajua mlipokosea na sifa ya muungwana ni kkukiri makosa yake na kujirekebisha,kama vipi ombeni radhi kwaa mliowafanyia kinyume sina haja ya kuwataja,ili mambo yawe kamakama kamazamaniiiiiiiii

    ReplyDelete
  5. Rady jay dee kafanya mambo kwa clauz!! sio buree dada mbaya yuleeee

    ReplyDelete
  6. we anony hapo juu unawashwa eeh sasa jide anahusikaje hapo kma sio umburula!!!

    ReplyDelete
  7. hahahahahaaaaa jide katola wap tena

    ReplyDelete
  8. mwakalimbegu mukwansame29 October 2013 at 21:32

    ruge na cloudz wote n mashoga na wasenge sana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad