SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO MPYA WA GEORGE WASHA UNAOITWA NAKOSA IMANI
6
October 16, 2013
Imani ya mapenzi kwa wapenzi haipo. so kilichobaki nikujipa raha mwenyewe, Nyimbo hii nimeifanya ndani ya CHOICE RECORDS DODOMA. na kuna ngoma nyingine mpya itatoka hivi karibuni inaitwa (lilaumu jicho)
Tags
Nyimbo nzuri sana brother.....tunagemea ngoma nyingine nyingi bomba kutoka kwako
ReplyDeleteNyimbo nzuri sana brother.....tunagemea ngoma nyingine nyingi bomba kutoka kwako
ReplyDeleteSio nyimbo ni wimbo...Kiswahili kinakupa shinda English itakuwaje?
Deletena ww nae eti 'shinda' unajitia unajua kumbe ushuzi mtupu nyoohh
Deletenice song mume..keep it up. Kumbe umo love ww vere
ReplyDeletemume mume love sijui nini, waswahili mshaanza kujikomba. ukimwi utawamaliza.Dogo we komaa ma mziki tu achana ma hao machangu
Delete