"NILISHAWAHI KUROGWA NA NAAMINI USHIRIKINA UPO....." WEMA SEPETU

STAA wa filamu za Kibongo Wema Sepetu amefunguka kuwa katika maisha yake aliwahi kufanyiwa mambo ya ushirikina(kurogwa) bila kufafanua alirogwa na nani na alipatwa na nini au ugonjwa gani. 

Wema amefunguka kupitia kipindi chake cha In My Shoes kinachorushwa kila jumatano kupitia East African TV ambapo aliulizwa kama kama anaamini ushirikina upon a kama alishawahi kurogwa ambapo alijibu kuwa anaamini ushrikina upo ila haupi nafasi katika maisha yake kwani anamuamini Mungu.

‘Yaah!Nilishawahi kurogwa na naamini ushirikina upo ila siupi nafasi katika maisha yangu namuamini Mungu tu,’alisema Wema

Udaku Specially Blog

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni mnyeramba huyo,si kosa lake.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanyeramba kwa ushirikina ni noma,wanaatisha.

      Delete
  2. Mganga wako yupo buguruni bisha nyooo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad