YOUNG D "NAJITAMBUA IMANI YENU KWANGU ISISHUKE MTAKACHO SIKIA KUHUSU MIMI NA MADAWA NI FUNUNU TU"

Nimezaliwa Dar es salaam.. Mambo kibao nimepitia, ukichangia mazingira nliyokulia nmejifunza na kuona mambo mengi.. bangi ,pombe hata ..sigara hayo ni mambo nmeona watu wangu wengi hata wa karibu wakitumia mfano mzuri alikua..babaAngu mzazi akitumia ( R.I.P) ila kuhusu Unga Ni moja ya vitu nimekua nikiogopa sana maana hakuna hata mtu yoyote wa karibu yangu niliyeona akitumia, zaidi nilichoona ni wote waliotumia hamna hata mmoja kati
yao alietumia hayo madawa akafanikiwa.. nachohitaji kuwajulisha watu wangu wote ni kwamba imani yenu kwangu kuhusu kijitambua isishuke kwa chochote mtakaacho sikia ila zote zinaweza kua FUnunu tu! Stay tune.  

From:Djchoka

Udaku Specially Blog

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Young Dee acha kuongopea fans wako unatumia madawa ni kwel mara kadhaa nakuona mitaa ya kino studio na B.O.B sio kund litakupoteza ww ni kijana mzur na una kipaj cha hali ya juu ona sasa ulivyopotea kwenye game,mm huwa nakukubali sana please change Yound Dee ww bado ni mdogo sana

    ReplyDelete
  2. kweli mdau kasema. we jushughulishe na mziki tuone matunda si kutangazia uma hutumii madawa wala tusiamini hivyo. hakuna mkosefu huwa haachi kujitetea. tena hapa sasa naamini unatumia. pole sana

    ReplyDelete
  3. alivyojipodoa kama binti vile.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad