Awali ya yote nina mwanamke mmoja ambaye tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa sababu tumeajiliwa sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia kazi yeye anafanyia wilayani na mimi nafanyia mkoani sasa toka tuanze imefika kipindi akabeba ujauzito na saizi ni miezi mitano tangu abebe huo ujauzito
sasa anataka nikatoe mahali kwao ili wanitambue wazazi wake rasmi yeye ndio mpanga mahali na anasema ni milioni moja mahali pamoja na masufuria ya shangazi na babu na bracket la bibi mimi nikamwambia kuwa hicho kiasi sina akasema kuwa yeye atoe laki nne na mimi nimalizie laki sita na leo kanipigia simu kuwa inatakiwa ipelekwe barua ya kishika uchumba pamoja na elfu therathini mimi pia nikasema kuwa saizi sina hela yeye akasema kuwa mimi niandike barua atakuja kuichukua na ataituma nyumbani kwao kwa njia ya posta na ataiweka hiyo elfu therethini na kuituma nyumbani
sasa ninachojiuliza ataka tuoane mapema ili amiliki baadhi ya vitu vyangu na pale tutakapotofautiana tugawane kwa sababu ni kabanda kangu kakisasa kabisa na nikikubali atoe siku tumegombana si ndio ataanza kutamba kuwa nilikutolea na mahali au anaharakisha ili aje tukae wote ili kakibanda kangu afanye kiburi ili tukauze jamani hebu tupeane mawazo na kimri ananizidi yeye ana 28 na mimi nina 25
We huoni unabemendwa....taahira ww,afu hujasema km unampenda au vp,km unampenda funguka,km humpendi toka nduki...coz huwez jua kwnn anakung'ang'aniza hvy labda wahucka wa. hiyo prgnt mpo wengi,hvy anaangali panapo mfaa zaidi...
ReplyDeleteKwenda huko umemjaza mimba alafu unataka kukimbia ehe?bwege sana wewe kama ina kibanda cha kisasa kwanin kwanin ushindwe kutoa mill moja?wakati unamtoa chupi hukujua kuna cha mimba?
ReplyDeleteMpe huyo, wakati anavua chupi mbona hajatumia condom kukwepa mimba? Sasa utamuoa dada WA watu na utunze mimba na Toa mahari uoe kabisa. Hicho kibanda cha kisasa mkae wore, mkiachana Mali ya mtoto aliye tumboni
DeleteKUWA MAKINI HAWACHELEWI KUSEMA TUMECHUMA WOTE, HAIJALISHI ULIJITAFUTIA MALI ZAKO KWA MIAKA MINGI TENA KWA TABU UKIINGIA NAE KWENYE NDOA JAPO KWA MIEZI KADHAA SIKU MKIACHANA CHA KWANZA KUSIKIA KUTOKA KWA MWANAMKE MALI TUMECHUMA WOTE.
ReplyDeleteKAMA WEWE NI MJANJA NAKUSHAURI TUMIA KANYE WEST APPROACH (wanandoa kila mtu amiliki mali yake ingawa ni ngumu).
Fala ww hiyo kuma wakat unaigonga ulijua ya mama yak manina zako chake unapenda ila chako hutaki nyooo na huy mtt akamrith nan kama co ww
DeleteKhanithi nn,we unategemea nn baada ya kumtia mimba akwambie nenda zako!unajitia pambani wakat ushamtiam mimba mtt wa watu,unataka suport et kunyang'anywa kijumba,wakuja nn?kla mtu ananyumba bwege ww,dini inaruhusu kupewa mahari kaoe bwege nn!
ReplyDeletesikiliza nikwambie kaka yangu, huwez jua labda anawaza sana juu ya kumtunza mtt atakaezaliwa! na hakuna mapenz mazur kama ya baba na mama! kama kweli unampenda kaa nae mkubaliane, umri usikutishe!
ReplyDeleteKuwa makin coz yawezekana kuna k2 bt kwa kuwa umekaa nae muda mrefu utakuwa unafahamu tabia zke na anza ku2mia saikoloji ya kuzaliwa ili kumsoma au 2mia wataalam bt huskurupuke kuingia ndani ya mfumo wa kifamilia ni pachungu ndg.
ReplyDeleteHuyo anakwepa majukumu hana llte mwenzio anamimba badala kufurahi na kupanga maisha unanza ooh,nakibanda inahusu nn sasa,kulalana bila condom faida yake mimba na magonjwa so malezi mazuri ni baba na mama
ReplyDeleteHuyo msenge wakati mnatongozana mbona ujaomba ushauri umemtia mimba unaomba ushauri na akili yako ilivyo finyu unawaza kibanda baada yakufikiria maisha wewe na huyo mwenzio unafikiri hiyo nyumba utaishi milele yako kaburi Nyumba utaiacha muombe mungu muwe na upendo wa kweli
ReplyDeleteOya mwanangu natumaini yuyo sis ana nia ya kuolewa sikingine ila yote anayopendekeza si kwamba anahaja na nyumba yako ila anataka wewe na yeye muwe mke na mume mwenzio anaona aibu kuonekana na mimba kabla ya mtu aliyempa mimba hana mpango wa kuoa huo ndio wonga wake.
ReplyDeleteIla andika barua kama kweli unampenda lakini kama humpendi endelea na danadana hiyo ila utakuja juta huko mbele. Kwamaelezo yako binti huyu hana nia na mali zako ana upendo na wewe hata yuko lazi muanze maisha ya kupanga chumba kimoja mukiaza kwa kirago. Kuhusu mahali kama huna Kopa kwingine ukipeleka yeye zungumza naye jinsi huyo aliye kukopesha hizo hele anavyo kusumbua yeye atachangia aidha kwa kukukopa au kukusaidia kama mume kukutoa katika shida ya wewe mume wake kusumbuliwa. Hili litaondoa kuwa alikusaidia mahali. maana utajasida nyingine amayo hatakuwa ya mahali. Ila kama Mpalestina chunga sana.
We kaka unaonekana huna mapenzi na huyo dada ushampa mimba ndo unaanza ngonjera sikuzote hukutaka ushaur kujisemea mchangiaji hapo juu huyo mtoto asipo kurith wewr amrith nani
ReplyDelete