Q-CHILLA "NIMESIKITISHWA NA JINSI WASANII WALIVYOKUWA KIMYA KWENYE RUFAA YA BABU SEYA NA PAPI"

Muimbaji wa ‘Beautiful’ Q-Chilla amesema amesikitishwa na jinsi wasanii wenzake walivyokuwa kimya kwenye rufaa ya Babu Seya na Papii Kocha ambao rufaa yao imekataliwa leo na hivyo kuendelea na kifungo cha maisha jela.

Q-Chilla amesema kama kungekuwepo na kauli za wasanii kuhusiana na rufaa hiyo huenda mambo yangekuwa tofauti.

“Wameshindwa, wamekaa tu kufanya kazi zao za kujipromote wao, this is very stupid,” amesema Chilla.

“Kauli yao tu ni faraja kwa hawa jamaa. Wangeona kuna watu kule nje hata kama hawana uwezo wa kututoa au kuiambia serikali itutoe, kwamba kuna watu kweli wako touched na hii issue. Always wanasubiri mtu afe au jambo hili litokee, ndio wajitokeza wazungumze. Nahisi kila mtu anaishi sababu anafanya kazi zake na afulfill dreams zake, but we are not there for other people who need hata kauli zetu. Ukizungumza unaonekana una stress. Ila Mungu ana sheria zake na serikali ina sheria zake. Nimekubaliana na hilo.”

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ss ww MFALME NJOZI kwani ww mcheza mpira? ww km ww ulifanya kipi kuhusu Papii na baba yake? au ile ndoto uloota eti wako mtaani? hope ile kitu bado iko mukichwa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hebu mwambie Msenge huyo, anadhani mahakama hufanya kazi kwa kusikiliza kelele za mitaani au maandamano? he is the most stupid of all wasanii kama hajijui, hivi karudia unga tena huyu jamaa au anatafuta kik kwa kupitia kina babu Seya? mahakamani ni evidence tu hakuna kwaya wala ngonjera, wale wamefungwa kwa kosa la kula witi sasa whether ni kweli au uongo nani anajua zaidi ya wao na Mungu wao, tumesikia watu weeengi waliokwepa umande wanaropoka kila cku eti oooh wameonewa, shinikizo la Rais, hvivi Nguza ni nani kwa mtu kama Rais akae anamuwaza au anamkomoa kwa lipi hasa. Mimi sio shabiki wa Rais wetu kabisaa na ni chadema hai ila kwa hili namtetea, you must be so Stupid kumhusisha na kina Nguza. Na msishabikie tu akina Nguza na music wao fikiria watoto wenu au dada zenu ndio wangekuwa wamelawitiwa. Mtu mmoja kwenye tv jana eti anasema ooooh hata watoto wenyewe hatuwaoni tena mtaani, sasa awaone ili iweje au kila wakihama lazima watangaze kwamba jamani nielawitiwa na Nguza nimehamia huku! pumbafu kabisa.

      Delete
    2. Umeongea neno

      Delete
    3. Huyu alibaka kweli na kama unataka uthibitisho tembelea familia za watoto waliotendewa kitendo hicho upate ukweli. nyingi ya familia hizo wanaishi maeneo ya sinza jirani na mashujaa primary school. Ameharibu watoto na si kusingiziwa!

      Delete
    4. Vzr kumbe mnajua Rais hausiki nahis walipewa mashart na mganga ili Iwa kick ki mziki

      Delete
  2. masikin weeeee,ulukuwa unasubilia waachiwe ili uitwe nabii,pumbav

    ReplyDelete
  3. Mahakama inahitaji ushahidi usio na shaka ndani yake, hivyo hata kama wasanii wangeungana na kusema mpaka sauti zikauke wasingeweza kubadili kile ambacho mahakama imeamua. Kwahiyo nadhani kukaa kwao kimya hakuna tatizo. Ila Ni kweli kaka mkubwa amechemka kwa hilo la kutaka wasanii waongee maana haitasaidia kitu.

    ReplyDelete
  4. matusi ya kigeni yameingiaje wewe mtu wa getto? kwanza toka huko getto wamekuharibu hata kuongea hujui wenzako wanaongea na evidence wewe unaonyesha ulichofuzu huko kwa manigger ndio nyie mlienda majuu kuangalia magorofa na kuchamba vizee shule mkaachie wazungu wasome pumbavu zako next time ongea lugha ya kazi sio lugha ya kuimbia rap

    ReplyDelete
  5. I love you Q umeongea lamaana sana! Mungu wetu ni mwema na hakuna liso mwanzo likakosa mwisho. Mahakama my ass, Bongo kuna mahakama au kuna uonevu.

    ReplyDelete
  6. huyo anoy wa11.31 ni q chilla mwenyewe amecomment mjinga kweli na english yake ya kuchapia hata ulaya ajawahi fika anaongea ya mwananyamala ma sinza.

    ReplyDelete
  7. wasanii wanawezaje kutetea uozo wa babu seya kulawati watoto je angelawiti watoto wako ungesema hayo unayosema au bado sembe iko kichwani, na sembe noma toka uko kwenye sembe umekufa kabisa kimziki lol, jipange upya

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad