MWANAMUZI WA BENDI YA FM ACADEMIA AUWAWA CHINA BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA

Mwanamziki aliyepata kutamba na Bendi ya FM Academia ya jijini Dar es Salaam, Rapa, Haristot Shungu ameuawa nchini China huku kifo chake kikitawaliwa na utata mkubwa. 

Kwa mujibu wa chanzo  makini kilichopo nchini China, rapa huyo alikamatwa uwanja wa ndege baada ya kugundulika kuwa amebeba madawa ya kulevya akiwa ameambatana na rapa mwingine wa Bendi ya Akudo Impact, Kanal Top na wote wawili kuhifadhiwa mahabusu.

“Tulijua kama Haristot alikamatwa pamoja na Kanal Top lakini ghafla juzi (Ijumaa) tukaambiwa kuwa amefariki dunia, hatujui kifo chake kimesababishwa na nini lakini mwili wake unaonekana kama vile aliungua na moto au mtu aliyechomwa sindano ya sumu,” kimesema chanzo hicho.

Baada ya kupata taarifa hizo mwandishi wetu aliwasiliana  na Kiongozi wa FM Academia, Nyoshi El Saadat na kumuuliza kama alikuwa na taarifa zaidi za Haristot.

Nyoshi alikiri kuwa marehemu alikuwa mwanamuziki wao na kudai kwamba kifo chake kimetawaliwa na utata mkubwa.

“Haristot alikuwa mwanamuziki wetu, mara ya mwisho aliaga kuwa anakwenda Ulaya kwa mchumba wake, nimeshangaa kusikia ameuawa nchini China kiukweli hakuna anayejua ukweli wa kifo chake,” alisema Nyoshi.

Credit: GPL

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duuh so sad.. unga huu hatari

    ReplyDelete
  2. chezea tz co china! Mtafirwa!

    ReplyDelete
    Replies
    1. hayo ndiyo maisha ya kimkato waliyoyataka. hivi kwanini wasanii wa bongo wanapenda hela za kilaini?

      Delete
  3. Dah! China nouma sana

    ReplyDelete
  4. Dah noma sanaaaaa tz tumezidi mno kwa tabia chafuu

    ReplyDelete
  5. Maisha ukiyapeleka pupa, matokeo yake unayaacha

    ReplyDelete
  6. JAMANI MADWA YAKULEVYA YANAMALIZA VIJANA. MUNNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete
  7. Mungu ibariki tz na maisha yenyewe haya kumanina zenu..........tz yenyewe ya kisenge wacha waajilipue kafaaa kazini mungu amlaze mahara pema peponi alikuwa anapigania maaisha bora yenye uhakika sio yya kuuhaidiwa alafu miaka innapita hata mabadiliko hakuna zaidi ya vitu kupanda thamani wakat wananchi masikini....

    ReplyDelete
  8. wachina wana roho ngumu jamani, acheni mtu kakaushwa kama ndafu hawashindwi kumla che,

    ReplyDelete
  9. Dah china wanatixha adhabu za kuuwa kwao kawaida 2.Ni jambo la fundixho kwa wengine wenye tamaa za kupata maixha kwa mkato.

    ReplyDelete
  10. Mbona wachina wanaua tembo wetu cc hatuwauwi iweje wao wafanye hivyo au mkuki kwa nguruwe tu kwa binadamu sumu,,,upole WA wtz ni upumbavu kwa mwenye nia mbaya

    ReplyDelete
  11. Na wewe msenge hapo juu. Tembo ndio mtu sasa. Na wamekutwa na meno ya tembo au walikutwa na tembo. Manina we. Think.
    Halafu unajuaje walioua hao tembo no c watanzia wenyewe halafu tunwauzia. Vipi wewe unakulaga kiporo asubuhi?!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad