NIMEKUTA CHUPI YA KIKE NDANI YA CHUMBA CHA BOYFRIEND WANGU, YEYE ASEMA AJUI NI YA NANI...USHAURI PLIZ

Wadau hapa nilipo nimechanganyikiwa na nisijue cha kufanya, naombeni ushauri wenu, nilikwenda field huko Tabora, nikamwacha mchumba wangu Tanga(ndiko kwetu) tulikuwa tukiwasiliana kama kawaida, na niliondoka nikiwa nimeshavishwa pete.

Nilipigiwa simu baba yangu ni mgonjwa sana, watoto wake wote tulio mbali, tunatakiwa kurudi Tanga, basi nami nilirudi, na kukuta kweli hali ya baba si nzuri, nikampigia simu mchumba wangu kumuuliza yuko wapi, ili tukutane nae hospitali, akasema kwamba amesafiri kikazi gafla kwa siku moja tu then kesho yake angegeuza, nikamuuliza inakuwaje huniambii, akasema nimesafiri gafla, hata hivyo nilitaka nikujulishe maana nimeondoka leo.

Niliumia sana kwa alichokifanya, sasa kuna rafiki yangu mmoja akaniambia, mbona mimi nimemuona jana super market? Akiwa na msichana? Nilijisikia huzuni sana ila nilijipa moyo

nilikwenda moja kwa moja hadi kwake, nikamkuta mtoto wa mwenye nyumba, nikamuuliza kama kweli mchumba wangu amesafiri,(nikajua labda alikwenda supermarket kununua vitu vya safari) akasema mbona yupo? Na asubuhi nimemuona?, nikampigia simu kuwa nipo pale kwake, akasema atachelewa sana kurudi, hivyo nirudi nyumbani kesho ndio nije, nikamwambia namsubiri, ilifika saa sita mimi niko mlangoni nimekaa namsubiri, aliponikuta nimesinzia mlangoni alishtuka sna, na kuanza kunifokea kwanini nisingesubiri hadi kesho.

Ile naingia tu! Ndani, nikakutana na sandols za kike, na kwenye mto kuna chupi ya kike, niliumia na kuanzisha ugomvi mkubwa,

Kinachonishangaza eti anasema yeye mwenyewe hajui ni vya nani, itakuwa mama mwenye nyumba mchawi, maana alikuwa anamtaka, na bado anasisitiza eti ananipenda na anataka nifunge nae ndoa mwezo wa tisa.

Sasa mimi hata sijui nifanyaje, naombeni ushauri wenu?
Tags

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mpende sana fimbo yambali aiui nyoka alikuwa anakusaidia kazi

    ReplyDelete
  2. Chupi tu na sando umechanganyikiwa kweli huna sifa ya kuwa mke wenzio wanataka wavumilivu ata ukifumania unafumba macho kama haujaona vile.kuolewa kwa taka moyo bibi we.

    ReplyDelete
  3. chapa lapa mdada, bado wachumba anakucheat je akikuoa na kukuzalisha watoto na hayo matiti yakinguka si ndio atahama kabisa nymbani akuache na watoto unabung'aa!

    ReplyDelete
  4. We vumilia tu, ila kama huyo jamaa ni mchaga anza kuvaa bullet proof mapema.ila kichwani vaa helment la chuma

    ReplyDelete
  5. chukua hiyo chupi kaifue thn uvae mwenyewe coz inawezekana jamaa yako anaipenda sana hiyo chupi.

    ReplyDelete
  6. Vumilia ingia ndan fanya usafi maisha yaendeleee

    ReplyDelete
  7. V2 vidogo sn kama unampenda vumilia ila muulize alitumia kondom?

    ReplyDelete
    Replies
    1. kondom ya nini? Hiyo chupi ni ya kwangu na nimekaa hapo mwezi mzima na nimekwenda nyumbani kwa sababu aliniambia nikachukue nguo nyingine ili tuishi pamoja

      Delete
  8. Duu kaazi kwelikweli mapenzi bwana

    ReplyDelete
  9. wakati unatongozwa na kutombwa mbona hujatuomba ushauri mkundu wewe

    ReplyDelete
  10. Itakua alimuchia gheto rafiki yake apige afu ikawa hvyo

    ReplyDelete
  11. we malaya haina haja ya kufoc love nakushauri uzidishe umalaya...mshenzi ww

    ReplyDelete
  12. Pole sana hlo nd lyf la uchmba pengine anaktega kchki utareact vp ssta!

    ReplyDelete
  13. Hiyo ni chupi yangu niliiacha jana sijaisahau kwa sababu nilienda nyumbani kuchukua kabati la nguo zangu nililete hapo.kwa sasa natafuta usafiri wa kurudi hapo naomba unisubiri kwa sababu nina mizigo mingi sana unisaidie kuingiza ndani.usishangae mwenzio ndio nimeshaolewa hapo

    ReplyDelete
  14. Nlifikiri mama mwenye nyumba yangu tu ndo mchawi kumbe wengi....mimi ananiletea mpaka mwanae nashtukia tuh nshamaliza....nyumba za kupanga hizi ma galfrnd zetu watuvumilie tu cyo kwamba tunataka....uchawi uuu.....

    ReplyDelete
  15. Wote nyie wasenge mnao msema mwezenu yeye anaomba ushauli nyinyi mnamtukana . Dada sikia achana na uyo kaka utapata tu wako wala usijali ata akuombe msamaha kataa ata kuretea ugonjwa utajuta piga moyo konde utazoea . Anamsingizia mama mwenye nyumbo ni uongo ndio walivyo hao

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwa coment yako division 5 ndiyo haswaa uyonastahili wewe

      Delete
  16. Nyie achen usenge mwenzenu anaomba ushauri nyie mnamtukana ona dada achana na huyo kaka malaya atakuletea ugonjwa

    ReplyDelete
  17. Pole dada achana nae malaya huyo,tulia utapat mwingine.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad