Uwoya ambaye nae aliolewa na raia wa Rwanda Hamad Ndikumana kwa ndoa ya gharama na mwishowe ndoa hiyo kuwa chali aliendelea kwa kusema "Juzi niliandika kauli ya kumtaka atulie akiwa Canada, sio kwamba Johari hajatulia unajua Johari ni mtu wangu wa karibu kwa hiyo nilikuwa namwambia asipeleke uswahili Canada sio kwa nia mbaya"
JOHARI NA MPENZI WAKE MZUNGU KUFUNGA NDOA KATIKA NCHI MBILI
19
November 13, 2013
Jana tuliweka habari hapa kuwa actress maarufu Bongo Movies Blandina Chagula(Johari) amekwenda Canada kumfuata mpenzi wake raia wa nchi hiyo na pia kutambulishwa ukweni. Habari mpya ni kuwa baada ya kutambulishwa mipango ya ndoa kati ya johari na mzungu huyo itafanyika ili wawili hao waishi kama mke na mume baada ya mzungu huyo kuwa hoi bin taabani kwa penzi la Johari aliyejaaliwa kipaji cha kuigiza. Habari za mipango hiyo ya ndoa zimetolewa na Irene Uwoya alipozungumza na Bongo5 kwa kusema "akitambulishwa kitakachofuata ni ndoa, na kwa jinsi tulivyojadiliana watafanya ndoa mbili moja hapa(Tanzania) na nyingine Canada ili na sisi tulio Dar es salaam tusherehekee ndoa yake kwasababu kama unavyojua ndugu zake, marafiki na watanzania kwa ujumla wanahitaji kuhudhuria ndoa hiyo"
Uwoya ambaye nae aliolewa na raia wa Rwanda Hamad Ndikumana kwa ndoa ya gharama na mwishowe ndoa hiyo kuwa chali aliendelea kwa kusema "Juzi niliandika kauli ya kumtaka atulie akiwa Canada, sio kwamba Johari hajatulia unajua Johari ni mtu wangu wa karibu kwa hiyo nilikuwa namwambia asipeleke uswahili Canada sio kwa nia mbaya"
Uwoya ambaye nae aliolewa na raia wa Rwanda Hamad Ndikumana kwa ndoa ya gharama na mwishowe ndoa hiyo kuwa chali aliendelea kwa kusema "Juzi niliandika kauli ya kumtaka atulie akiwa Canada, sio kwamba Johari hajatulia unajua Johari ni mtu wangu wa karibu kwa hiyo nilikuwa namwambia asipeleke uswahili Canada sio kwa nia mbaya"
Uwoya ambaye nae aliolewa na kubwagwa, ha ha ha ha ha a mmeniuwa mbavu, hivi hajishtukiiii huyo uwoya
ReplyDeleteNyoko zako we muandishi hadi umponde uwoya kwani hii habari inamhusu johari au uwoya.stupid!
ReplyDeletenyoko zako kwani uwoya mtu, umalaya tu kutwa kutombwaaa nakupewa gari. eti anampa johari wosia shenzi zake na kipindi chake bom uchafu mtu uwaoyo huyu naemjua!
ReplyDeleteNy
ReplyDeleteHahahaha mbavuuuu zanguuuuu jamaniii.
ReplyDeletehivi johari anajua english? maana kama ni mzungu inatakiwa ajue lugha ya kimayai kama wanavyoita wajanja !
ReplyDeletejohari itakuwa anatoa ndogo ndio maana huyo mzungu asiki haoni kwa johari!
ReplyDeletejohari itakuwa anatoa ndogo ndio maana huyo mzungu asiki haoni kwa johari!
ReplyDeleteWe anonymous hapo juu wala hatoi ndogo ila anajua kunyonya uboo vizuri sana yaani akikunyonya akili lazima ikotoke na bao juu.
ReplyDeleteeti na uwoya leo anamshauri johari yeye mbona ndoa yake imemshinda lol
ReplyDeletekwel wondeful haya nawatakia ndoa yenye baraka
ReplyDeleteJohar ni mzur sana,apunguze tu mkorogo. Kwan ukipendwa mpaka ufanye ushenz huo, ni upendo tu,kwanza mtu mwenyewe mzungu angekuwa mwarabu labda. Komen na umbeya wenu. Ubarikiwe mamie Johar
ReplyDeleteAcheni ushamba toka lini kunguru wa bongo mavi wakafugika?
ReplyDeleteMh mzungu kampata juz matangazo kibao ndo mana huwa mnaachwa mnasingizia mmerogwa...Tunda la msimu
ReplyDeletewe mwandishi msenge kweli andika yanayomuhusu johari ukuda tu.
ReplyDeleteWazungu wenyewe wabongo choka mbaya,anyway kila la kheri sister
ReplyDeletehahahahahaha
ReplyDeleteNYIE ACHENI USENGE WIVU TU JOHARI NI MKALI TENA MZURI ETI NAWASHANGAA SANA MNAVYOSEMA ANATOA NDOA MALA ANAJUA KUNYONYA UBOO JOHARI ANA BAHATI YAKE NA NYIE MNAOMPONDA UWOYA MIKUNDU YENU MICHAFU NA KUMA ZENU NA MBOLO ZENU ZINANUKA TENA ZIMEOZA NA ZIMEVUNDA NA ZINATOA FUNZA
ReplyDeletejamani ndoa inahitaji uvumilivu,joali kaza buti ndoa si mchezo,
ReplyDelete