Stori: Chande Abdallah
MWIGIZAJI Koletha Raymond ‘Koletha’ amefunguka kuwa hapendi umaarufu kwa kupiga picha za utupu kama wasichana wengi walio katika tasnia ya filamu wafanyavyo.
Koletha aliyasema hayo ikiwa ni siku chache tu baada ya mitandao kadhaa kusambaza picha ya utupu inayoonesha sehemu ya kiuno, ikidaiwa kuwa ni ya msanii huyo ambapo paparazi wetu alipomhoji kuhusiana na picha hiyo, alitiririka:
“Hiyo picha siyo yangu. Mimi siwezi hata siku moja kusaka usupastaa kwa kupiga picha za uchi, kwanza sipendi na sitaki kufanya hivyo sababu ninajiheshimu tofauti na wenzangu wanaoendekeza mambo hayo wakati hawana kazi hata moja sokoni,” alisema Koletha.
http://www.globalpublishers.info
KOLETHA "SIPIGI PICHA ZA UTUPU KUSAKA USTAA"
6
November 16, 2013
Tags
Keep it up
ReplyDeleteHata siku moja haitatokea makaya kujitangaza kwamba yeye ni malaya sana,hata machangudoa nao husema wanajiheshimu.nyie bongo movie wote malaya tu tena sana tu pia ni washirikina wakubwa na mlaaniwe milele na milele.....Amen
ReplyDeleteI told them kwanini usipambane na anayekuchafua hizi media hazijui kazi yake
ReplyDeleteyap hata me ctaki kuamin kama ni ww maana cjackia ckia xkendo skendo kutoka kwako
ReplyDeletehehe pole, labda ni Adobe photoshop, cku hz teknolojia imekua nani ataamini/ hatoamini kua n ww..
ReplyDeletehvyo ndyo njns inavyo takiwa mwnamke kuwa na mcmamo mngu akubark...!!
ReplyDelete