Katika vitu naona kuna makosa makubwa yanafanyika ni hili kawaida naona Baadhi ya wanaume hupata shida sana ya kuishi na wapenzi wao kwa mda mrefu na pengine kuona anamchoka mpenzi wake mapema mpaka anakuwa na mahusiano ya kukusudiwa na wala siya bahati mbaya!Lakini Wanaume wenzangu nawakumbusha hili huwa tunapotea kwakushindwa kuzingatia haya!
Mpenzi wako unatakiwa umthamini umuone kuwa niyule yule wawakati unamtongoza!!Siyo umeisha mkula unamtema hapana!
Pili ukiona mwanamke anaumbozuri mwone wakawaida!
Ukimuona wamwenziyo anapendeza na wewe wakwako mpendezeshe kwa value ile ile!
Hakikisha safari zako zakutoka unakuwa naye hata kama anasafari zingine mwambie mama hairisha twende huku nahitaji kampani yako!
Umwambie kitu gani unahitaji na usichokihitaji nasikuzote akikukosea jaribu kuongea naye taratibu na kama yamekuzidi jitahidi ukifika nyumbani kula,oga ukiingia kitandani mwulize "Mpenzi leo umenikosea sijapenda je wewe hili ukuliona??"
Usipende kumtegemea katika Budget zako atakuchoka!
Sasa kwa akina Dada..
Dada inatakiwa kujua Mpenzi wako ni waina gani!
Unatakiwa kujua yeye kipato chake kikoje!
Unatakiwa umjue mpenzi wako kampani yake ni yawatu wa aina gani!
Unatakiwa kumuona mpenzi wako ni Someone very special na hafanani na mpenzi wa Clara!
Napale anapokugombeza pale ulipo mkosea jaribu kujishusha na kumsikiliza kwa makini na kumuomba je na mimi naweza kuongea??Umsikie ansemaje!
Kamwe usije ukamwambia hivi wewe ukoje uoni Mpenzi wa fulani yuko msikivu!hivyo basi utakuwa umemkwaza kwani inaonyesha unakuwa unampenda yule wamwenziyo kuliko uliyenaye!
Mpenzi wako upende kujivunia naye mbele ya marafiki zako wawe wamtaani wawe wamaofisin hata vyuoni!
Usije ukamwambia kwanini uvai kama fulani!kama uridhishwi na kuvaa kwake na unajua anapesa basi tafuta mda mwende shopingi mchagulie wewe uone akivaa chaguo lako anaonekana vipi!
Katika haya niliyoyasea haya ni baadhi ya mambo unayoweza kuyafanya na kumfanya mpenzi wako akawa kama unavyotaka!Wewe ndiye mwenye kumbadili mpenzi wako!
Umetisha mwanakwetu....Very interest na kila mmoja wetu anapaswa kuzingatia haya ktk mapenzi sababu watu wengi uwa wanafanya ili kosa ktk uhusiano...
ReplyDeleteWw fala ina maana ulkuwa haujui jnc ya kuish na mpnz wko mpka saiz...?mpka ufndshwe boya ww kbxa..
DeleteJamani ww hapo juu unamtusi mwezio wa nini alichokosea kipi,yy amuunga mkono mtoa mada kwa kuwa wapo wasiojua jinsi ya kukaa na wapenzi wao,mmoja wapo ni ww naamini umeamka na pombe kichwani tena viroba,,,akili zako zinakutosha mwenyewe,kama mada imekuboa usichangie mbona blogs ni nyingi tembelea kwingine acha bangi za kuvutia chooni.
ReplyDeletewengine hawawezagi kucoment mpaka watukane ndo wanajisikia raha si makosa yake
DeleteKweli kuna watu wa ajabu sana na ukiona mtu anatukana bila sababu amini ndivyo alivyo hana chembe ya busara,kwa mfano huyo wa pili hapo juu pengine hana hata rafiki ni mdandiaji tu hana lolote ni makamasi yamejaa kichwani,mbuzi wa kienyeji kabisa
ReplyDeleteKweli kuna watu wa ajabu sana na ukiona mtu anatukana bila sababu amini ndivyo alivyo hana chembe ya busara,kwa mfano huyo wa pili hapo juu pengine hana hata rafiki ni mdandiaji tu hana lolote ni makamasi yamejaa kichwani,mbuzi wa kienyeji kabisa
ReplyDeleteKuna haja ya kupeleka watu mirembe kwa nguvu,uwezi kutoa maneno machafu bila sababu,nakuja kwenye mada kweli wengi wetu tunakuwa wababe ktk mausiano tujifunzeni maana wengi huwa wanaachana huku wameshazaa na watoto mwisho wa cku watoto wanakosa malezi ya bb na mm mwisho wanaingia mitaani,ni kero kwa kweli
ReplyDeleteWow nimeupenda san ushauli wa kinadad maan mpenz wang kil sk yeyet to mkal
ReplyDeleteKiukweli watu wengi tuliopo ktk mahusiano,wengi wanajuta na wanatamani kutoka,sababu ni aina za tabia tulizonazo ktk mahusiano yetu,kwanza watu ni wababe hawajui kubembeleza kubembelezana ni mnavyoanzana tu mkishakuwa pamoja basi upendo pembeni kila mmoja na yake,naongea hivi nikiwa kama muathirika ktk mahusiano,lakini nashukuru kwa kila jambo,maoni yangu kwa wanaoingia ktk mahusiano ya kudumu ni HAKIKISHA WOTE MNAPENDANA KWELI,PILI HAKIKISHENI UPENDO UNAKUWA SIKU HADI SIKU,SI MKISHAZAA MTOTO MNAANZISHA TABIA YA KUCHOKANA ITAWAGHARIM,HESHIMA,KUJALI,NIDHAM,USHIRIKIANO,NA UPENDO NDIYO JB SAHIHI KTK MAISHA,Na ss tuliokuwepo tayari tupendane kwa moyo wa dhati
ReplyDelete