STAA mwenye umbo la kipekee katika soko la filamu Bongo, Ruth Suka ‘Mainda’ amefunguka kuwa ameamua kuukacha mkorogo aliokuwa akiutumia kwa muda mrefu.
Akipiga stori na paparazi wetu, Mainda alisema ameamua kuacha kutumia mkorogo kutokana na matakwa ya dini yake, amegundua anamkosea Mungu wake kwa kujichubua
.
“Nimeamua tu kuacha kujichubua, mkorogo siyo kitu kizuri hata Mungu hapendi vitu hivi ndiyo maana nikaamua kuuacha japo nimetumia kwa muda mrefu,” alisema Mainda ambaye kabla ya kuokoka alikuwa Muislamu.
CREDIT: GPL
Kwa akili zake ndio kajua leo au kashadhurika anajitetea na Mungu kaone
ReplyDeleteHongera kaz sana kuchukua maamuzi kama hayo najua saiz utapendeza zaid mkorogo unazeesha
ReplyDeletemshauri na mwana kaole mwenzio sintah...ila hongera uamuzi mzuri!
ReplyDeleteTOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO LATE
ReplyDeleteUso kama wabuzi?
ReplyDeleteJisura kama mkundu wa mlevi?.umechelewa mbona.
ReplyDeletehaka nako hakaeleweki.mara kaislam mara kalokole mara mkorogo mara kameacha ni tafran tu kamepotea kwenye
ReplyDeletegame naona ndo kanajitahidi kutafuta viskendo karudi tena mwe!!!!