YALE MAJIBU YA UKIMWI YA IRENE UWOYA YALETA BALAA MTANDAONI

Majibu ya ukimwi ya mwanadada Irene Uwoya yamezusha vuta nikuvute huko kwenye mtandao maarufu wa kijamii   wa picha na video nchini baada ya shabiki mmoja wa Irene uwoya ‘kum-diss’ mwanadada huyo kuwa hayo majibu si kweli labda kama ni majibu  ya vipimo vya ugonjwa wa Malaria kwa maana kuwa hakubali na haamini kama Irene uwoya anweza kuwa HANA ugonjwa huu wa kisasa kutokana na sababu zake binafsi anazozijua shabiki huyo ambazo sisi tumeshindwa kuzifahamu mpaka sasa.

Ilikuaje?
Mwanadada Irene Uwoya aliamua kuweka majibu ya vipimo vyake hivyo vya gonjwa hili hatari sana kama njia ya kuwashauri watu waende kupima kwa kufuata mfano wake yeye kama kioo cha jamii

Maoni ya mashabiki yakaanza…
Muda mfupi tuu baada ya mwanadada huyo kuweka majibu ya vipimo vyake hivyo yanayoonesha kuwa mrembo wetu huyu yupo NEGATIVE ama hana maambukizi ya ugonjwa huu ndipo watu mbalimbali walipoanza kutoa maoni hayo kuhusu majibu hayo.

Mtafaruku…
Baada ya muda kidogo ndipo baadhi ya mashabiki walipoanza kuhoji uhalisia wa majibu hayo kwa kuanza kuuliza maswali kama:
Asina : “Mbona haijaoneshwa km ni HIV?”
Salm: “Hhhhhmm Mamaa tarehee iko wapi?”
Na ndipo huku wa tatu alipogusa mtima wa Irene kwa kauli yake la utata kuhusu majibu hayo na kulianzisha sakata hilo;
Lulu: “Hongera kwa kua huna malaria bt ngoma ustake tuumbuane”

Irene amjibu….
“Inawezekana nilitembea na…… (Manaeno ya hapa yamefutwa kutokana na sababu za kimaadili)”  huku akimlenga huyo mwanadada anayeitwa lulu aliyetoa hoja yake hapo juu

Udakuzi waanza….
Jacq:  “Asante kwa jibu zuri ulilompatia huyo kiumbe coz kuna watu hawanaga vya kucoment yan ilimradi tuu na yy kacoment!!#watanzania tubadilike khaaa...big up kipenz…”
Mbalumimi??: “Jibu limejitosheleza kuna watu wamezaliwa na vijiba kha”
Glyn:  “lulu umelipata likufaalo buhaha”
Makii: “Jibu kwa mtu kama wewe tena kioo cha jamii... ukweli hapana. Wasanii ijueni nafasi yenu kwenye jamii…”
Salmin: “Mamaa usifanye tena hivyo, ww ni SomeHoney kwa Tanzania na wengine ni Some1,jaribu kuplay part yako Usijibu jibu 2, Unashusha dat ID n CV of yars 2nakuchallenge hw far cn u go....”

Aliyelianzisha naye aongea tena….
Lulu: Sikumaanisha vibaya kusema hivyo...irene na huna sababu ya ku?panick hivyo anyway asante kwa kunikumbusha kuwa baba yangu ni marehemu... majibu mnayoyatoa yanaweza yakakufanya watu wajue ukoje... nimekujibu kistaarab coz sina ubaya na wewe but the next time kabla hujanijibu pumba zako tafakari comment n ujibu.

Irene uwoya ampa jibu zito tena….
Irene Uwoya: “Tena ukome kama uwez ku comment vizuri acha pia....minimeweka chet changu unaongea pumba wakat napima ulikuwepo?maana unaongea kama vile umewah kunipima....kumbe vinauma...poleeee” Sina mda na mwezi mchanga

Naye Irene apewa jibu zito safari hii…
Lulu: Siumii kabisaa ndo maana niko relaxed ninavyo kujibu.... wee ndo una pressure relax mamaa siumii hata kidogo maskini pole sana jifunze kutafakari vitu u big time(Tusi) ungeelewa comment ya kwanza haya yasinge tokeaaa!

Irene Uwoya atumia busara zake kuomba radhi.
Irene Uwoya: Yan wapenz wangu polen kama nimewauz...mi nimeweka chet nakuwashauri tuuu...lakin naona kuna watu wanataka kufanya wananijua sana

Huyu aamua kuwatuliza  yaishe….
Jose: Basiii!!!inatosha usiku sasa jamani,@PIPOOO,kwani nyie madokta? Ok kesho ntamchukua cc Irene na gari la PA tumpime hadhari muache kuongea,,MSIPENDE BISHANA BANA,,#life ni fupi joooooo,so baaabaabaaa banjuka tu,co kutupiana maneno# NANYI MKAPIMEEEEEEE!!!
Mmmh! Kweli ustaa kazi...

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo mdau anayejiita Lulu ndio wale wenye akili mgando hata ukimpa kikombe cha chai atakwambia mhh siamini haya ni majani ya chai kweli kuna watu wamezaliwa na akili mgando na maisha yao yote wamezoea kudanganywa hata wakiona kitu cha ukweli hawakijui watabisha wamezoea kudanganywa, ni kuwaonea huruma kwa akili walizojaliwa nazo, Irene mpenzi wewe ni kioo cha jamii endelea kutumia nafasi yako kuelimisha jamii hao mburura wenye akili mgando utakutana nao kila kona ya mafanikio yako wapotezee

    ReplyDelete
    Replies
    1. We ndo una akili mgando irene aliweka video anapima bt kipimo doc alichotumiaa ni cha maralia....sio ukimwi cha ukimwi kipo different..... na mi niliona irene alipanick coz inajulikana ana ngoma na anaogopa asije akashushuliwa mbona amemblock huyo lulu

      Delete
    2. Hahahahhh cku hz vpmo vya ukimw vpo kama vya malaria

      Delete
  2. ......... Irene amefanya kitu kizuri sana. Amehamasisha vijana wenzake tukapime. Sasa Lulu shida iko wapi? Umaarufu unautafuta tu hapo. Tena Irene yuko simple sana kama humjui

    ReplyDelete
  3. Tatizo la wabongo ndo hilo wivu umewajaa

    ReplyDelete
  4. Mimi najua kabisa huyu dada ana ngoma alishatembea na midume kama kumi ambayo yote ishakufaga kwa ngoma sio uongo ni kitu live ukweli wote ninao kwani hicho cheti kimeandikwa wapi hiv test ? Kama sio cha mafua sijui ila ukweli wote mimi yaani mimi namfaham a-z

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yarabiiiiiiiiiii roho yanguuuuuuu nakufaaaa,we mdau hapo juuuu unasemaje?uwoya anangoma?roho yanguuuuuu mie nakufaaaaaa.Nishatembea nae.acheni kutupa presha Jamani .ngoja nitapima.Hana ngoma

      Delete
  5. Dada uwoya me nakukubali sana hao wanaosema we unangoma wao wamepima? Pumbavu zao wewe acha kumnyooshea mwenzako kidole

    ReplyDelete
  6. Unamjua ki vipi. kwani kutembea na muathirika ndo kupata ngoma hembu elimika dogo we umepima

    ReplyDelete
  7. Kuwakata midomo wambea Irene awawekee cheti chote kionekane vizuri na maelezo yote end of the story

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mi hata aweke chote sitaamini,circle aliyopitia ni dangerrrr

      Delete
  8. 2cdanganyane. irene anajisafisha alikua anapima mimba hapo... atoe chote kama ni kwel

    ReplyDelete
  9. Haki ya nani Irene akiwa negative basi duniani hakuna Ukimwi

    ReplyDelete
  10. Irène irene irene irene umeamua kunifanyia hivyo sawa tu mungu anajua..

    ReplyDelete
  11. Hiyo ishu ni ngumu kuconfirm kuwa ni kweli au sio kweli. Hivi Irene akiamua kutuma mtu ambaye ana uhakika hana ngoma then akatumia jina la Irene kupima inakuwaje?? si analetewa majibu kuwa yuko fresh, ndo mana ile concept ya kwenda pamoja inahitajika. alafu pia kutembea na mtu mwenye ngoma sio lazima na wewe upate. Kama yuko fresh ni vizuri kwake na kama sio anajua mwenyewe.

    ReplyDelete
  12. Out of topic,mademu waliokuwa desperate kupata.....Jamani mie mbeyaa Ebu ngoja niishie hapo.

    ReplyDelete
  13. erene kumbe apatwa na maambukizi ! jamani ni maiti mtarajiwa!

    ReplyDelete
  14. Anaesema wasanii kioo cha jamii anakosea hasa wasanii wabongo. Wasenge tu hao maana hatuna la kujifunza to kwao la maana zaidi ya kututzia nyago. Pumbavu!

    ReplyDelete
  15. vipele wote hao

    ReplyDelete
  16. Hakuna cha kioo cha jamii wala nn? Angekuwa kioo cha jamii angemsaliti mumewe na kutembea na Diamond..........

    ReplyDelete
  17. Mi nahisi penny si mtamu kitandani,mbona mumeo mtarajiwa anaangaika kiasi hiki?Mpaka na kina uwoya?

    ReplyDelete
  18. kwa hiyo kama uwoya anao na diamond anao na peny na wema na jokate na hao wadada nao wana mabwana zao nao wan amademu zao nao pia hivo hivo mwishowe mtandao uantufikia mm na ww, unless walitumia condomu.... Mtandao ni nooma!

    ReplyDelete
  19. Wote wawili wanafirwa

    ReplyDelete
  20. acheni matusi nendeni mkamrudie Mungu, mnakufa kila sku lakini hamjioni kama mnaisha

    ReplyDelete
  21. eti mnaongelea UKIMWI ambao unaweza kumweka mtu hai takribani miaka 40 je KENSA mnaiyona ya mchezo?

    ReplyDelete
  22. Mmmm pumba tupuuuuu

    ReplyDelete
  23. Kikubwa nilichokifikir yeye Irene amejaribu kutuhasisha vijana na kutukumbusha maana huenda tumejisahau baadhi yao. That's all enough sion sababu ya matusi yote hay.... mamiii ahsante Kwa kunikumbusha juu ya kupima afya yangu

    ReplyDelete
  24. Wengine hum hata hawadindish bas 2 wanajishaua et wameambukizwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad