MENGI"KAMA TUNALITAKIA AMANI TAIFA HILI LAZIMA BAADHI YA WATU WAPELEKWE MILEMBE KWA NGUVU"

Bilionea reginald mengi ameandika twitter jana kuwa kama tunalitakia amani hili taifa basi ni lazima watu flani wapelekwe milembe kwa nguvu na sio kwa hiari yao.
Je,unadhani mengi anataka watu gani wapelekwe milembe na kwa sababu gani?? Karibuni
Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NAFSI YA KUZANIA HUCHUMA DHAMBI KWA HILI HATUJUI KAMLENGA NANI adaya mja kunena muungwana kitendo&

    ReplyDelete
  2. naogopa kusema kuwa Mengi ni mtu mzuri lakini mafumbo mengi.Tuweke wazi tujue nani anastaili kupelekwa mirembe kwa lazima.

    ReplyDelete
  3. waziri wanis... wahusika wa TRA

    ReplyDelete
  4. WAZIRI MWENYE DHARAU wa wizara ya nishati na madini....

    ReplyDelete
  5. Yeye huyo Mengi ndio anapaswa apelekwe Milembe.By the way he is so greedy. Kapewa vitalu vya Dhahabu na Tanzanites na sasa analilia vitalu vya gas ya Mtwara.Kweli tamaa itauwa fisi, huyu baba haridhiki. Kweli yeye ni mtanzania pekee wa kumilikishwa kila kitu?Mbona hatuoni watanzania wengine wenye uwezo wa kuwekeza wakipigapiga kelele za kitoto kama yeye??????????

    ReplyDelete
  6. Mengi nakuomba uwe na tabia za uvumilivu na kuridhika.Sio kweli wewe ndio mtanzania pekee mwenye uwezo wa kuwekeza. Wapo wengi, jaribu kuwapa nafasi zao. Pamoja na utajiri uliokuwa nao bado watanzania hatujui tumenufaika nao kwa kiasi gani. Zaidi ya wewe kuinufaisha Familia yako. Kuna watanzania chungu mzima ambao ni masikini na wao pia wanatani wawe na hadhi kama ya kwako. Lakini hilo litawezekana tu pale utakapoacha tamaa zako za kuhodhi kila mali za nchi hii tukufu ya Tanzania.

    ReplyDelete
  7. Sijui hata ni nani anayekupa hiyo hadhi ya ubillionea wakati statistically inaonyesha ni wewe ndio uliyeyadhulumu mabenki kadhaa ya Tanzania na hasa NMC na kupelekea hiyo Benki kukosa hadhi na hatimaye kubinafsishwa.

    ReplyDelete
  8. Hakuna binadamu aliye kamilika ,kila mtu ana issue zake ,Mengi he is aware what is going on now around the world from asia,europe and Usa,watu watajua tumeuzwa baada ya miaka 15 kuanzia sasa ,maisha ya Tanzania yatakuwa na wageni wengi wenye uwezo kuliko wazawa na wasio kuwa na uchungu na nchi yetu,watavuna,mpaka miti,samaki,udogo,ndipo TUTAJUA MENGI ,macho yake yameona kweli,nchi inakokwenda,mimi nafanya biashara Canada na Usa ,naninaona ,kitakacho tokea Tanzania miaka si mingi,tutakuwa wageni kwenye nchi yetu,biashara ya maduka,itabadilika,na unavyo waza biashara itabadilika wala usimlaumu Mengi amejitahidi sana kufungua macho wengi wasio ona,.WAWEKEZAJI wanao kuja Tanzania hatuwezi kushindana nao ,kwa upeo walio nao ,hata tuweke ulinzi wanamna gani ktk mali zetu watatushinda tu,hata picha wanazo piga huko ,huku ni hela,nchi yetu haina siri kila kitu kipo kwenye magazeti,uchumi utatawaliwa na wageni,kutoka Asia kwa sababu wanaoendesha biashara kubwa wengi nyumbani ni wadarasa la 8 la zamani,na wasomi wengi wenye degree na masters wanataka waajiriwe na wizara mbalimbali,hatuku andaa vijana,watitanzania ktk biashara ,lakini hatuja chelewa km haya yatafanyika kwa eneo hili,walimu wa uchumi au commerce na book keeping wasaidie kuendeleza wafanya biashara wa maduka na wanaotoka nje ya nchi dunia iliko fika kwa sasa,biashara kwa sasa sio MTAJI TU ni pamoja na ufahamu wa dunia na ubunifu wa hali ya juu,kushirikisha Watanzania walioko ,nje ya nchi hata ktk semina au festival zinazofanyika nyumbani wanamawazo mazuri sana,kuondoa uoga,kujifunza hata kmunamiaka 50 unaweza kujifunza pia na ukabadilika,kuwepo center za taarifa za mataifa mbalimbali nyumbani mfano ukitaka kwenda china pawepo na center ya taarifa nyumbani pakupata taarifa,za nchi husika,ukitaka kwenda Sweden pawe na center km vile chamber of commerce wawe na watu wenye taarifa kamili na msaada wa kutosha ktk nchi unayo enda tabia zao,hela,lugha,na jinsi ya kukaa na sheria zao etc.Mengi ni shujaa hata kama kuna walama bado ni mzalendo ,semina kutoka kwa wafanya kazi wa benk ni muhimu kwa watanzania zitolewe mapema kila mahali lasivy hata EAC ,tutaumia,muda wa makosa sio miaka hii,Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

    ReplyDelete
  9. Pia tumefungua milango sana,tunaingiza bidhaa sana za kuuza ndani ,na zinazo toka ni chache ,mfano soko la sanaa ni kubwa sana Amerika,shida moja vijana wetu wenye vipaji zaidi ya 3 wanabaki kuendeleza kimoja tu,km vile muziki,wakati anauwezo wa mashairi,na ngonjera,vijana wengi wanaogopa lugha ,usiogope wako wanaozungumza kispanish tu hapa na hela wanapata,kuna watu kazi yao ni kutafsiri na haya mambo huwezi kutegemea ubalozi wa hichi husika kukusaidia ,tu,ni kuangalia wapenzi wa kazi yako,wanakopatikana duniani nje ya mipaka pia ,masoko ya madini yapo,mbao yapo,shida za kwetu hakuna anaye taka taarifa wanataka mitaji na hata akipata anaenda kufanya kilekile cha miaka 40 iliyopita,vijana wa Kitanzania ninawaamini popote mlipo kuanzia Brazil,Arusha,Morogoro,Canada,Denmark,Malawi,Usa,Moshi,songe,kwamba we can change Tanzania from now ,hata km kuna ushindani wa kufa ,bado vijana wangu ,nawaamini kwa ukakamavu wenu,hata mlioko Kigali,cape town,nawaamini,tusimamie mali asili yetu huyo anaye sema hatuwezi elimu yake haimsaidii taifa limepata hasara kwa raia wake msomi kama huyo kusema hatuwezi kuwekeza,au hajawahi kufanya biashara au vipi? wazalendo Nyerere alijua haya ndio maana alisema maadua watatu ,na ili tuendelee tunahitaji ardhi,watu,siasa safi na uongozi bora,nyongeza uadilifu,muda,elimu na kushirikisha wanaoweza,nasio kufungua milango kwa kila nchi wakati bado tunamapungufu ktk idara ya uhamiaji,police,na rushwa tutaweza ushindani? na vipaji vya vijana wetu wakimbiaji,waimbaji wanashidwa kufikia malengo yao kwa sababu ya corruption ,hongo kubwa kuliko kipato ,HAKUNA MGENI atakaye waletea maendeleo ,maendeleo ni yakwa o ili waweze kuiba vizuri vijana na wazee wenye busara ,tukisimama nchi itabadilika, by Njiro new England.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mh!we nae utakuwa mwalimu comment ka unaandika notes bana afu yote ya zaman tu hamna jipya

      Delete
  10. That guy (Mengi) he is so hopeless. Kama ni mtu ambaye ni kweli ana uchungu na wananchi wa nchi hii ya Tanzania basi at least angekuja na a lot of vital explanations kuhusu hiyo mikataba ya uwekezaji rasilimali hapa nchini. Angetueleza na kutufafanulia ya kuwa ni kwa kiasi gani hiyo mikataba anayoiita mibovu inavyowabana wazawa katika kupewa nafasi ya kuwekeza. Angetutajia kipengele kimoja baada ya kingine ndani ya hiyo mikataba na kuifafanua kwa uwazi na kwa lugha nyepesi inayoeleweka kwa walalahoi wa kawaida ili kila mtu aelewe ni kitu ghani kitakachotukwaza Wa Tanzania dhidi ya rasilimali zetu siku za usoni. Kubaki kulalamika na kutupiana lawama na kejeli zisizokuwa na msingi kupitia vyombo vya habari kwa kweli haitatusaidia kitu chochote sisi walalahoi ambao wengi wetu hatuna access na kuiona wala kuisoma hiyo mikataba ya uwekezaji. Otherwise ninachokiona hapo ni huyo mtu (Mengi) that he is just taking advantage of the situation kuwanyanyasa watu wengine simply because ya umaarufu wake au kwa sababu anamiliki vyombo vya habari ambavyo ana uhakika navyo ya kuwa kwa kila jambo lolote atakalolisema liwe la KIPUUZI ama KIJINGA kesho yake asubuhi litakuwa limetufikia sisi walalahoi ambao ndio MAJORITY.

    ReplyDelete
  11. Na wewe anonymous wa hapo juu basically unachokisema ni juu ya serikali kuwaelimisha wananchi wake juu ya rasilimali zao. Ni jukumu la serikali kuwaelimisha raia wake juu ya kuzilinda na kuzisimamia rasilimali zao. Pia ni jukumu la serikali kuwaelimisha raia wake juu ya mustakhabali mbali mbali wa rasilimali zao ikiwemo uwekezaji. Anapotokea mtu individual kama Mengi pia sio vibaya kutuelimisha raia wenzake juu ya namna ambavyo rasilimali za nchi zinavyotakiwa kuendeshwa kwa uaminifu na usawa. Lakini tatizo la huyo mtu (Mengi) badala ya kutumia hiyo fursa ya kutuelimisha raia wenzake juu ya uwekezaji, yeye amekuwa akitumia hiyo fursa kwa kuwakejeli na kuwapiga vijembe viongozi kadhaa wa Serikali tena kwa kutumia lugha ya mafumbo, jambo ambalo ni baya zaidi kwa wananchi wa kawaida.

    ReplyDelete
  12. Hana lolote mlafi mkubwa ye ndo aende mirembe.mnyanyasaji mkubwa na mnafiki na mpenda kujionyesha kwnn usitulie bakhresa na we nzie,ungewafikia tungekoma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni mtu ambaye ameifisi NBC na Serikali ikaishia kuibinafsisha. Yeye hilo amelisahau......anafikiria hatujui.

      Delete
  13. sawa ila serikali inaudwa na watu na watu ndio sisi tuelimishane,hata kwa njia hii km mtu aliye zaliwa Arusha hata tanzanite hajawahi kuiona au kuishika ,utamwelezaji umuhimu wake,jambo la maana ,tanzanite,dhahabu na madini mengine ,watu na wanafunzi mashuleni waonyeshwe na kufundishwa umuhimu wake juu ya taifa,kuna watu wengi hawana taarifa ya mambo yanavyo enda kwa sasa hivi,SIASA na wezi umetawala ktk akili za watu Mungu atusaidi kulinda na kufaidi mali asili za taifa letu la Tanzania, from Njiro new england.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad