So Diamond Platnumz jana alikuwa miongoni mwa wageni waalikwa waliohudhuria harusi ya kimila ya Peter Okoye wa kundi la P-Square na mchumba wake, Lola Omotayo iliyofanyika jijini Lagos, Nigeria.
Kwenye harusi hiyo, Diamond alipata nafasi ya si tu kushuhudia Peter na Lola wakisema ‘Yes I do’ bali pia aliweza kuchill na cream ya mastaa wa Afrika wakiwemo Iyanya na mchezaji wa timu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Togo, Emmanuel Adebayor.
Alipata pia fursa ya kuwaonesha Adebayor na Iyanya style yake ya kucheza ya Ngololo
Hata hivyo, kitu kimoja hakikwenda sawa. Ni nguo aliyokuwa ameivaa, ambayo iligeuka gumzo kwa mashabiki wengi wa muziki nchini Nigeria waliosema kachemka.
Issue ilikuwa hivi, Iyanya alipost picha akiwa na Diamond pamoja na jamaa mwingine na kuandika: With @ubifranklintriplemg @diamondplatnumz after @peterpsquare trad.”
Polisi jamii wa masuala ya mitindo, wakamweka kitimoto:
[ @ ] chickchuky d dude in d middle…wat d hell,,,see men standing beside u…abeg shuuuuuuuuuu I love @iyanya
[ @ ] oakis2000 Whats with the micheal jackson style pant in the middle lol 13h
[ @ ] iamzarajays The object in the middle though…. Dear father forgive me for I have sinned.. Sighs
[ @ ] iheart_swk Sorry no hating but it doesnt suites ur muscular bodi well well darling
[ @ ] genovan @dimondplatinumz u shud get personal designer…..that outfit…i kno u copy t 4m ur role model…..she was looking gud tho in those pictures she took when she landed 4m China..unlike u…….u absolutely looks like joker.
[ @ ] agathonyjohn He is east africa michael jackson @chickchuky ..from Tanzania ain’t he dope?
[ @ ] zinwaogb Wow he can sing, just watched his number one video on YouTube, I can’t hate on talent nice one diamond
[ @ ] nikkipollo139 Iyanya u look gorgeous n ubifranklintriplemg but diamond please go change ur cloths for pits sake
[ @ ] kagebby Daimond ulivyovaaaa utafikiria clown……Sasa daimond unatuangusha ndungu….Iyany……sio mbaya ila Daimond anakuj kukufunikaaaaa balassaaa 7h
[ @ ] clarahcut3 @dhahabu87 please stop defending whats not right, the clothes are nice but not good for him, so he should know that not every good cloth will look good with him, and those are among the clothes that dont look good on him, even if he is my fellow Tanzanian but he dont look good and he bored me for real he could atleast ask before getting out @genovan @mwatumu37 looking great brother @iyanya
[ @ ] ngozi80 4 God sake they should have a fashion adviser someone who can give them sone fashion skills b4 going out or 4 red carpet 2
WANAIGERIA WAMWEKA KITI MOTO DIAMOND KWA KUVAA VIBAYA KWENYE ARUSI YA PETER WA P-SQUARE
44
November 18, 2013
Tags
Yan pedo si pedo mwweh majanga mbna
ReplyDeletehahaha, majanga plus. hii inaitwa dont touch my shoes
DeleteDOMO NAE USHAMBA UNAMSUMBUA KA NINI,LAKINI SISHANGAI HUYO NI MTOTO WA USWAHILINI AMBAYE BADO HAJUI HATA KUVAA! YAANI YEYE AKISIFIWA TU NA MAMA YAKE MZAZI BASI ATAVAA HIZO NGUO HATA MIEZI SITA! HALAFU HICHO KISURUALI KAMA VILE WALIVYOVAAGA MADEMU ZAKE (WEMA NA JOKATE) AU NDO HICHO WAMEKIBANA THEN WAKAMWAMBIA HAYA BBY VAA HII ITAKUTOA SANA! MSENGE SANA,AMA KWELI TEMBEA UONE!
ReplyDeleteUNGEKUWA NA WEMA, ANGEKUWEKA SAWA. ITABIDI TUKUPELEKE KWA YULE MAMA WA FASHION POLICE WAKAKUCHAMBUE
DeleteMbona majanga hapo majanga
ReplyDeleteThere's between clothes on stage and off, clearly the little boy in the middle doesn't know the difference. Lots of people claim to be designers but he needs a stylist pronto!
ReplyDeleteAlikua anasikilizia ugomvi asuluishe maana amaevaa ka refa...
ReplyDeleteAtleast ka angeendaga shopping ya hiyo harusi kule kule..... failed
ReplyDeleteAY fundisha hiyo kijana akirudi home......
Kavaa suruali ya wema sepetu huyo.umeniangusha kwenye mavazi umepotea mbaya,napenda sana mziki wako ila bado mshamba linapokuja swala la uvaaji
ReplyDeleteUjumbe kwa penny.
DeleteMAJUNGU SI MTAJI ada ya mja kunena muungwanak kitendo&
ReplyDeleteDuuh! ama kweli hata uwe na hela kiasi gani kama mshamba ni mshamba tu. Yaani bora angerudia kuvaa hata ile nguo aloenda nayo kwenye msiba wa babamkwe mzee Sepetu
ReplyDeleteni kweli maana ile swaga ni ya kinaiger angetokelezea, si hichi kituko alichokiweka hapa ka katundikwa
DeleteKweli hakuona wenzie kila nchi na swaga zake.naija kuna nguo zao hakumuona hata bwana harusi.au alijua bwana harusi anavaa suti.anaishi kwa mazoea ukifika nchi za watu wauliza ati c ujinga yaheee.
ReplyDeleteanony 6:18 umeona eeh?? bora angevaa zile zile za kwenye msiba wa mzee sepetu ila hapo kwa kweli kachemka amekuwa kama joker..duh hizo ngoko sasa...kereuwiiiiiiiiiiiiiii. Domondo umechemkaaa, bora ungemwambia mange wa bongolicious akutolee kitu safi ya kitenge
ReplyDeleteAngerudia za baba mkwe nako mgesema wabongo bwana.mi napitaaaa
ReplyDeleteIf u go to rome,do as romans do
ReplyDeleteUtafikiri njiwa alienyonyolewa halafa anataka kupaa.
ReplyDeleteHahahaaaaaa! mdau you have made my day!
DeleteBadilika ktk mavazi mavazi ya show hayafai ktk sehemu kama zile we kilaza.ingekuwa hi yo adebayo angetupia jezi!
ReplyDeleteKwakweli hakua smart katia aibu
ReplyDeleteAngemuomba Wema Sepetu ushauri wa nguo gani ya kuvaa wakati wa harusi za watu. Huyu mtoto anafikiria umaarufu wake wa kwenye hizo fiesta za vichochoroni ndio mpaka kwenye nchi za watu........mburula huyo.......
ReplyDeleteVituko vya mastar! Iko mia
ReplyDeleteNyie wote wasenge 2 kuvaa kitu gani?
ReplyDeletekuvaa ni umaridadi
DeleteMsenge anawajua wasenge wenzie hihihiiiiiiiiiii diamond kavaa tight ya wema huhuhuuuuu yan hakupndz ht kduchu kweli ushamba mzgo
ReplyDeleteMsenge anawajua wasenge wenzie hihihiiiiiiiiiii diamond kavaa tight ya wema huhuhuuuuu yan hakupndz ht kduchu kweli ushamba mzgo
ReplyDeleteMsenge anawajua wasenge wenzie hihihiiiiiiiiiii diamond kavaa tight ya wema huhuhuuuuu yan hakupndz ht kduchu kweli ushamba mzgo
ReplyDeleteMsenge anawajua wasenge wenzie hihihiiiiiiiiiii diamond kavaa tight ya wema huhuhuuuuu yan hakupndz ht kduchu kweli ushamba mzgo
ReplyDeleteNilianza kuwachukia waganda hasa nilipokuwa naangalia spora shoo walivyokuwa wanawaponda wasaniii wa bongo na mifano walionyesha uvaaji mbaya wa tunae muita staa aliye juu yaan dimond,kumbe walikuwa sahihi aisee.sa we c unapesaaaa tafuta international designer basi coz huyu wa bongo amekuwa anakuangusha aisee.HIVI HUONI AIBU????yaani upo ka tako lenye kazi ya kupitisha ushuz na mavii,FUCK U.
ReplyDeletemimi nilikuepo ktk sherehe jamaa kachafua hali yahewa hata utaratibu haujui katia aibu kiukweli maana zile nywele km anatoka kuchoma mkaa wenzake wamevaa kiaslili yy kavaa nguo yawemalaya
ReplyDeletedu jamaa aibu 2pu!!... tunaonekana bongo wote washamba .
ReplyDeleteDiamond ni mtu mwenye akili sana za biashara ya muziki... Hivi angevaa kama wengine nani angemtambua katika watu ,aarufu wa 9jeria, anatengeneza utambulisho wake na kitakachofuata sasa akitoa nyimbo katika nchi hiyo ambayo ni soko kubwa la miziki afrika watamtambua na kusema 'Huyu ndio jamaa katika harusi ya Peter Okoye alivaa DONT TOUCH MY SHOEZ' na sasa hivi wanaulizana kwani ni nani hivyo wana'google' youtube na wanacheki nyimbo zake.. Tatizo wabongo wengi ni chuki binafsi kwa maendeleo ya mwenzenu na pili kukosa uelewa wa mambo ya marketing na business, tatu ubaya wa mitandao wengi wanaocomment ni watoto wasiojua chochote
ReplyDeleteHuyo ndio Diamond lazima UTAMPENDA tu. Either You will Love to HATE him or you will LOVE him to death. Nakusapoti mdau hapo juu. Diamond anaSRATEGIES zake za kujipaisha kimataifa zaidi. Sio siri kama kuvaa anajua sana na hao Wanaijeria wachache waliohoji hiyo style sio wate wanaojua fashion and style kimsingi anapaa kimataifa na HATERS mtaendelea KUMPENDA kumchukia huku mkiwa mnamFOLLOW kwenye Facebook, Twitter, Insta....
ReplyDeleteMi nakushauri Diamond ununue hizo 'dont touch' za kila rangi na kila style mwaka ujao ndio iwe style yako kama ilivyokua 'single button' zikauza sana mjini na hizo watakuiga tu.. Na haters watasanda...
ReplyDeletei dont knw what is our problem tanzanian, it was with kanumba english was poor, now diamond ddressing is poor. we need to have a rule before being a star you need to accomplish a certain level of education to avoid this
ReplyDeleteKuvaa hakuhusiani na suala la elimu, ndio maana utakuta Maprofessa wengine wachafu au nguo wanazovaa hata akiwa baba yako hutoweza kuvumilia kumwambia ajirekebishe na kujua kiingereza sio kuwa na akili. watoto wa chekechea UK na USA wanaongea kiingereza lakini hata darasa la tatu hawajafika lakini wewe na una cheti cha Front Desk Hotel Management ndio unaandika poor english eti ' ...it was with kanumba english was poor..' Wachina, Wafaransa na Wajerumani hawajui kiingereza lakini wanasoma mpaka PhD na nchi zao zimeendelea. Acha fikra za kitumwa.
ReplyDeleteyani kweli cc ndo wabongo tuachane kuchukiana jamani cc ni watoto wa mama mmoja yani tanzania y tunachukiana na kuekeana vinyongo kama kavaa vibaya wema katokea wapi na hayo mavazi jamani coz the guy iz star so chochote mtachoona mtasema 2 platinumz big up yani nakupendaje wache waseme kaka midomo hawalipii vati
ReplyDeleteU look like John Bravo bro,sio mbaya ndio unajifunza hivyo.
ReplyDeleteHahahahaaaaaaa uwiiiii John Bravo my ribs, watoto wangu walikuwa wanampenda sana yaani from morning to evening ni JB kwenye cartoon network lol!
Deletekataka kuchekesha walonuna lol, but kachemka hajapendeza wala nn halafu nchi za watu bora angefanyia bongo kujichetua kwingine sio
ReplyDeleteMi naungana na mdau aliyechangia 8:51 PM wakati mwingine ukitaka kuonenaka lazima ufanye kitu tofauti unadhani angevaa kama wao nani ange comment na kutaka kumjua hivi hujiulizi Y comment zote zmemlenga yy ukickia ustar co lazima ucfiwe hata ukipondwa ndo tayari ushajulikana sasa ngojeni atoe remix ya #1 na Davido ndo watamjua kama kazaliwa wapi, hana elimu hajui kingereza alafu jilinganishe nae ww wa Mbezi mwenye Masters kama mtalingana Big Up Diamond.
ReplyDeleteKwani wema sepetu ulikuwa wapi ukasahau kumchagulia diamond nguo ya kufaa?
ReplyDeleteDiamond lazima ajue kuwa pesa siyo kila kitu.
yaani we wa 19 nov 9:45 km hufirwi na domo basi babaako ndo anafirika..yaani unasifia ukigodoro huo!? hiyo co bet award au kilimanjaro mkundu wewe, hiyo ni wedding tena traditional we unaleta mambo na nguo zako za tandale vigodoroni. lakini sishangai wakati anaenda nigeria hakujua kama atapata nafasi km hyo kabebwa na davido cjui novida kuangalia ana joker kabatini kalitinga
ReplyDelete