UKWELI WA SABABU ZA MAUJI YA RISASI ILALA NDIO HUU CHRISTINE NEWA AONGEA

Imebainika kwamba sababu ya shambulizi la risasi lililotokea Ilala Bungoni, Dar es Salaam Jumanne iliyopita na kusababisha vifo vya watu watatu, ni wivu wa mapenzi uliopindukia.

Akizungumza nyumbani kwao Ilala Bungoni jana, mmoja wa majeruhi ambaye ndiye aliyekuwa kiini cha shambulizi hilo, Christine Newa alisema si kweli kwamba sababu ya mchumba wake, Gabriel Munisi kuwashambulia na kuwajeruhi kwa risasi yeye na mama yake mzazi, Ellen Eliezer na kumuua mdogo wake wa kike, Alpha Newa ni kutokana na kusaliti uchumba wao.

Awali, ilidaiwa kwamba sababu ya shambulizi hilo ni Christine kumkataa Munisi, (ambaye pia alijiua baada ya kufanya mauaji hayo) na kuchumbiwa na rubani wa ndege, marehemu Francis Shumila ambaye pia alifariki katika tukio hilo... “Kwanza Shumila hakuwa mchumba wangu kama ilivyoelezwa. Alikuwa shemeji yangu, mume wa dada yangu Caroline Newa. Pia hakuwa rubani wa ndege, bali nahodha wa meli.”

Alisema amekuwa katika uhusiano wa kimapenzi na Munisi katika kipindi kisichofikia mwaka mmoja lakini sehemu kubwa ya maisha yao ikitawaliwa na misuguano iliyowafikisha polisi mara kadhaa.

Alisema katika kipindi cha uhusiano wao marehemu Munisi alikuwa akimpiga, akimkataza kufanya kazi, kusoma na alikuwa na wivu uliopindukia.

Christine kuona hivyo, aliamua kufanya mipango ya kwenda kusoma katika Visiwa vya Cyprus kimyakimya pasi na kumuaga, jambo ambalo alisema lilimkera mchumba wake huyo na kuweka kisasi.

“Nikiwa huko, Munisi alitafuta mawasiliano hadi akayapata na tukawasiliana na siku niliporejea alikuja kunipokea uwanja wa ndege lakini cha ajabu, alinikataza kwenda nyumbani na badala yake akanipeleka moja kwa moja hadi Mwanza eneo la Kitangiri,” alisema na kuongeza: “Tukiwa njiani kuelekea Mwanza, katika maeneo ya Singida, alisimamisha gari akaniambia nishuke, akatoa bastola na kuniuliza kwa nini niliondoka bila ya kumuaga. Je, nataka kumuacha?”

Alisema alimwomba msamaha na kuendelea na safari yao. Anasimulia kwamba baada ya kufika Mwanza, alimpora simu zake zote na kumfungia ndani kwa zaidi ya wiki mbili hadi alipopanda kwenye dirisha na kuomba msaada kwa majirani na kuwapa namba za simu za ndugu zake ili wamsaidie kuwapa taarifa.

Ndugu zake walianza mchakato wa kuwasiliana na polisi hatua iliyofanikisha msichana huyo kurudishwa Dar es Salaam... “Hata hivyo niliondoka na khanga na fulana tu. Vitu vyote niliviacha huko.”

Baada ya kurudi Dar es Salaam, anasema Munisi naye aliamua kumfuata lakini safari hii alifikia katika Hoteli ya MM iliyotenganishwa na ukuta wa nyumba yao na akawa anafuatilia nyendo za familia hiyo.

“Alikuwa ananitumia meseji kwamba amemuona dada Caro, mama na Alpha na wakati mwingine anasema ameniona mimi mpaka nguo tulizovaa, tukaanza kupata na wasiwasi,” alisema.

Wasiwasi huo ulitokana na historia ya maisha yao ya Mwanza na pia tishio ambalo anadai kwamba Munisi aliwahi kulitoa kwamba atahakikisha anaiteketeza familia yote kuanzia Goba anakoishi mama yake (Ellen), Zanzibar anakoishi mdogo wake (marehemu Alpha) na hapo Ilala.

Anasema walikwenda polisi lakini walielezwa kwamba hayo ni masuala madogo ya mapenzi na kwamba yatamalizwa kifamilia.

Siku ya tukio Christine alikuwa akitoka kwenda uwanja wa ndege tayari kwa safari ya kurudi shuleni Cyprus ndipo Munisi alipotokea na kuanza kumrushia Shumila risasi na baadaye Alpha kisha mama na yeye kabla ya kujiua.

Akizungumzia tukio hilo, Caroline alisema mumewe alitabiri kifo chake kabla kwani baada ya kusikia vitisho vya Munisi, alimtoa shaka Christine akimwambia kwamba atamlinda hata ikibidi kupoteza maisha yake, jambo ambalo lilidhihiri.

Alisema mama yake amepata nafuu na ameruhusiwa kutoka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa na mazishi ya mdogo wake, Alpha ambaye ameacha mtoto mwenye umri wa miezi minane, yamepangwa kufanyika Jumamosi Goba, Dar es Salaam.

Alisema mipango ya mazishi ya mumewe inafanywa huku akidokeza kwamba huenda akasafirishwa kwenda Mombasa.

Post a Comment

34 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. WENYEWE WAKIWAACHA WENZAO SAWA LKN WAO WAKIACHA INAKUBA MASNURA.

    ReplyDelete
  2. NIMECHUKIA,
    WANAWAKE TUWE MAKIN NA HII MIJANAUME, SIJUI ALIMWOKOTEA WAPI,
    POLE DADA, UNAWEZA KUTA MWANAUME HUYU ANA MIWIVU LAKN HANA HATA SENTI TANO,
    WANAUME MASIKINI NI MATATIZO, KAMUUA DADA WA WATU NA KUACHA KIMALAIKA CHAKE,
    WANAWAKE TUANGALIE WANAUME WA KUDEAL NAO.
    POLENI SANA FAMILIA NZIMA, UTAPATA MME MWEMA, MWENYE PESA ZAKE NA UTAISHI MAISHA YA RAHA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. MALAYA MKUBWA WE! Unachowaza we ni pesa tu hujali utu. Kundu lako, na bahati yako uko mbali, kama ungekuwa karibu yangu ningekutia kidole mkunduni.rudi shule ujifunze kuongea mambo ya maana mwana mjaa lana we

      Delete
  3. acheni dis nyie akna dada ,kwanza mmezoea ukich*** na mwaka nauza hata shamba la urith ili ninunue bastola.
    Mtazoea ninyi .Alaah!

    ReplyDelete
    Replies
    1. povu na mimate inavyokutoka sasa.
      wewe mbona hauachi umalaya?
      wanawake tu ndio mmeona,
      kwa attutude hii mwanamke gani atamkubali?
      atapata wenye pesa zao, wenye kujua kutunza na kumuogopa muumba.

      Delete
    2. unamjua mungu wewe?mbona maneno yako ya kishetani sana?

      Delete
  4. poleni sana jamani. naiomba serikali ijaribu kuangalia hili swala la umiliki wa silaha imeshakuwa nitatizo sasa jamani naiomba serikali kwa ujumla ifikirie hili swala

    ReplyDelete
  5. Mungu atunusuru na majanga ya dunia

    ReplyDelete
  6. kama Munisi alivyosema ukweli anaujua yeye ila mapenzi kuna wakati unayafurahia wakati mwingine unayajutia kwa nini ulipenda

    ReplyDelete
  7. Tuambie pia NA picha ulizopiga NA mbabu wako WA Cyprus za mapenzi,akazifuma kwenye laptop ndo maana munisi akaona huaminiki akakupiga quarantine wiki nzima bila mawasiliano.nitatoa fact moja baada ya nyingine.

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeshaambiwa huyo ndugu yako munisi alikua mkorofi, ndio maana aliachwa hata ukitoa fact kamsomee makaburini huyo ndugu yako siku akirudi duniani kama paka mweusi awe na adabu pumbavu zako

      Delete
    2. hizo fact zenu mkafundishane nyie familia iliyobaki mjifunze kupenda sio kulazimisha mhh hata unavyoongea na wewe unaonekana unafanana tabia na huyo marehemu ndugu yako hamjui kupenda hamtakaa muonje raha ya mapenzi asilani

      Delete
    3. Naona ni ndugu yake. Gabby alikua chizi na hiyo familia ina asili ya uchizi. Hivi ukuenda beach una nini? Swimming cosmume hasa kwenye inchi za watu walioendelea. eti anachukua laptop ya tina anawaonyesha watu kwamba yupo uchi. Yani sijui tina alikutana nae wapi huyu mbwa coco. Gabby was an ass hole. Kwanini ulazimishe mapenzi. Tena wewe ni mbwa kama gabby wako. Ningekuopo ningechukua hiyo bastola nikamfumua kichwa chake chakichizi. Bibi yake mwenyewe ni chizi unategemea nini.

      Delete
  8. Umiliki WA silaha hauna shida,masharti ya leseni yako kwenye kitabu cha leseni,so mtu akikiuka masharti ni personal issue.pi a short cut za umiliki WA silaha zinazotolewa kinume NA ma rpc ndo zinachangia umilikishwaji WA hovyo.

    ReplyDelete
  9. Sasa akusudie kuua nyumba mzima kisa ni kumkataa tu?na hakua mume ni mchumba kuna ukweli unauficha angekua na yeye hakujimaliza ungejulikana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyo munisi ulizen tabia zake mwanza hata akidhulumiwa mia 200alikuwa anatishia watu bastila babake ni mwanajesh mstaafu

      Delete
    2. Akapumzike anapostahili.

      Delete
    3. Hakutakiwa that's the fact. Mhhhh kumbe mwanaume akiachwa inauma sana. Hahahaaa gabby umebaka wanawake wangapi na marafiki wako. Kwanini mwanza wanawake hawakutaki. Tabia zako chafu.

      Delete
  10. kuma zenu,mikundu imejazwa pampu za mboro tu,eti mijanaume nyooo,nyinyi mijanamke ndo wasenge mnamambo ya kutuchanganya,huyo dada hapo kauficha ukweli tu

    ReplyDelete
  11. Enyi akina dada ambao hamjafikia umri wa kuolewa mmeambiwa na Muumba wetu "USIZINI " na "USITAMANI". Mungu hakutania kwa maana anatujua sisi waja wake.nyie mwajali pesa tu utu pembeni. Haya sasa Hayo ndo malipo yake.

    ReplyDelete
  12. Siri wnaijua wawili angekuwepo muuaji labda angesema mengi zaidi

    ReplyDelete
  13. Shenz zenu kwa kipi had akuulie ndugu zako yaan wewe ni mtamu sana au! Funguka Mburura ww

    ReplyDelete
  14. kuna kahaba 1 pale juu anaongea kama katoka kuzimu leo,et utampata mwanaume mwenye pesa zake,nani kakwambia mtu mwenye pesa ndo muungwana?na kwanza munisi alikuwa na pesa maana kama hana pesa asingeweza kumiliki silaha,asingeweza kufanya biashara ya magar,na asingeweza kufikia hotel ya MM,wewe utaolewa na baba yako

    ReplyDelete
  15. ukweli upo na hautajulikana maana anaoujua hayupotena duniani na aliekuwepo ataongelea upandewake tu hvy huyo alieua na kujiua ana kitu kikubwa sana mpaka akaamua kufanya hvyo na ukizingatia amepoteza pesa katika kukusomesha hata kama unasema alikuwa akikukataza kusoma ss ukweli lazima ujifiche maana upo wa upande mmoja tu. na haiwezekani kama mulikaa hata mwaka wkt alikusomesha ila kaa ukijua umepoteza mwanaume aliekuwa akikupenda na kukujali na alikuwa wa kwako wewe kama ww ndio maana alipochoshwa aliamua kutaka kukuua na si kutafuta mwanamke mwengine alikupenda ndio maana alikuwa akijilinda na kuamua kuwa na ww tu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haha ndio kawadanganya anamsomesha hahahaaaa. Anaubavu? Nasikia jamaa mkatili kinoma. Akikuchoka anaita marafiki zake wanakupiga mande alaf wanakutupa nje ya gate. Mwanza yote nasikia wasichana wanamkimbia kama mavi. Anatabia chafu chafu balaa. Haana ubavu wakusomesha yule mbwa. May he rot in helllll

      Delete
  16. Mjadala umekuwa siwakiungwana tena, mnatukanana matusi ya nguoni ni aibu isitoshe kuna wafiwa hapo. Tujirekebishe

    ReplyDelete
    Replies
    1. kaa kimya! Mchambia upupu we.kama huna la kuongea si nenda ukachezewe makalio huko

      Delete
  17. Wanawake wa upande huo hawana muamana

    ReplyDelete
  18. Mwanza yote hana demu labda asiomjua tabia zake chafu zakunyanyasa wanawake. Hebu kaulizeni majirani watawambia ukweli. Kila mwanamke wake lazima ampige na kumtafutia marafiki zake wa mbake. Shetani mkubwa. Hawa wanaomsimamia niwale wanaoshirikiana katika kupiga mande. Eti picha chafu. Ukienda beach ulaya mnavaa kaputula. Washenzi nyiee majambazi pamoja na gabby wenu. Damu za watu zilimsubua muda mrefu.

    ReplyDelete
  19. Hivi mnaelewa kwamba christine alimchoka. Mpaka familia inkaingia kati manake ni nini. Inamaana walimchoka. Nasikia dada mtu alisema alimpiga mbele ya wazazi wake hawakusema kitu. Hivi watalia kweli wakisikia gabby kauwa. Aibu aibu aibu. Eti kaka mtu kwenye gazzetti anasema ilikua chaguo lake. Kwani siku ile police ulienda kufanya nini?

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad