PETER WA P-SQUARE APAGAWISHWA NA BINTI WA KIBONGO AMVISHA PETE JUKWAANI






Jionee mwenyewe hapo ilikuwa jana usiku kwenye show yao hapa dar ...dada kwenye picha alipata bahati ya pekee ya kutukiwa upendo na Peter wa P-square na kupewa jina la Onyinyee...nakupewa Pete....mmmhh Kazi kweli kweli Nani zaidi hapo kati ya Lola mke wake na Huyu ...?

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Basically hawa majamaa huwa ni wahuni tu. Haijulikani kama hiyo Pete ni for real au ni fake tu. Halafu how come unamvisha demu pete wakati ndio unakutana naye tu kwa mara kwanza tena kwenye show, first of all you don't even know each other.......huo ni ulimbukeni wa hali ya juu..............

    ReplyDelete
    Replies
    1. Weww mshamba sana sana, yaani hujui hizo ni swaga za kisanii tu, wengine hugawa chain, chupi, kofia , shati, nk. Peter hana maana ya kuoa wewe mbulula, yeye anaonesha upendo tu pengine mpaka leo hata hamkumbuki huyo dem kichwani kwake.

      Delete
  2. Sio pete nyie,ni saa acheni uongo

    ReplyDelete
  3. Khaaa MIMI NLIONA KWA MACHO NI SAAAAAAA JAMANI ACHENI UONGO WE UDAKU SPESHO HEBU KIELEWE KIDOGO LOOOOOO

    ReplyDelete
  4. Kidem chenyewe kilikuwa kinaonyesha kina nyege balaa dah kitakuwa kililalwa tu baada ya show lola anakazi mno asubiri miukimwi tuu

    ReplyDelete
  5. Ndio maana ya intertainment ni part ya kufurahisha watu Jamani wewe mdau wa kwanza bonge la mshamba kwanza kavalishwa saa sio Pete na sio umalaya wala nini acheni ushamba ndio maana hamuendelei kimuziki wenzenu ni vitu vya kawaida jukwaanii mshamba mkubwa weeee bwabwa wa hedi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hatukatai hata usher huwa anafanya meng mpaka kuwakiss mdomoni mashabiki wake ila huwa anaishia kuwalala na kuzaa nao

      Delete
    2. Usiseme urongo usher amezaa tu na mke wake alie mtaliki . Na celeb kupeana vitu kwa shabiki ni kawaida ana show love

      Delete
  6. Kwan tatizo liko wapi?

    ReplyDelete
  7. Waandishi ni makajanja sio pete alimpa zawadi ya saa yake

    ReplyDelete
  8. Kweli ushamba mzigo, hawa majamaa wanajua kuwapa buridani mashabiki na uwa wanajitahidi kuacha tukio ambalo litawafanya muwakumbuke kwa kipindi kirefu.
    Hapo hakuna lolote zaidi tu ya kuwafurahisha marafiki hiyo saa si ajabu haifiki hata theluthi moja ya ela walioingiza lakini imefanya tukio la show yao ibaki story. Na nina hakika hakuna kilichoendelea baada ya kuteremka stejini ndivyo uwa wanafanya nakumbuka mwaka 2009 kama sio 2010 waliwahi kupiga show mwanza wakamvika mtoto wa mtaani aliyekuwa amevaa tisheti chafu imeandikwa do me again, walimvika cheni na baada ya show mateja walimgombania dogo kama mpira alikuja okolewa na polisi.

    ReplyDelete
  9. Huo ni uzumbu kuku pete ki2 bhana.

    ReplyDelete
  10. hata angemvika pete nisinge shangaa, kwenye engagement ykae alimpa demu wake usafiri wa haja, by the way ni kuwafurahisha mashabiki wao tu na wawaachie ukumbusho ili wawakumbuke daima na si kama wbongo

    ReplyDelete
  11. Live Mkubwa!Nashangaa Wa2 Wanacoment Ma2c Waka Ni Jambo Dogo Sana Na Kama Ni Saa Au Pete Kavshwa Yeye Na Nyie Huku Mna2kanana Cni Ujnga Huo Wakat Mnatakiwa Kueleweshana 2 Na Kuyamaliza.

    ReplyDelete
  12. We achen ushamba uyo jamaa kwake ni kawaida sana coz huyo c wakwanza.

    ReplyDelete
  13. jamani msinishambulie kwa matusi nauliza kwa nia nzuri tu huyu mwanamziki anatoka nchi gani maana hata sijuii anatoka wapi! ni hayo tu wandugu

    ReplyDelete
  14. Anatoka mkunduni mwako we angali mkunduni kwako sasa kimeanza kichwa kiwili wili kinafuata.

    ReplyDelete
  15. Anatoka mkunduni mwako we angali mkunduni kwako sasa kimeanza kichwa kiwili wili kinafuata.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hehehee aithee we mkaree,hilo jibu swafi kabisa. yuko dunia ya giza huyo

      Delete
  16. Napitaaa, kumbe hata mtoa habar hakuwepo leaders, saa yawa pete au ndo mnataka kumzimisha mamaa lola jaman wabongo, achen hzo mambo ya kithungu hat

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad