PREZZO "HUDDAH NI MALI YA SEREKALI" AMELALA NA KARIBIA DUNIA NZIMA

Baada ya kupondwa na Huddah Monroe kuwa ‘amepigika’ mfalme wa bling, Rapcellency Prezzo ameamua kujibu mashambulizi na kusema uhusiano wake na Huddah ulikuwa wa kufanya mapenzi tu, basi.

Kwenye interview na Heads Up, Prezzo aliweka wazi kuwa ni kweli aliwahi kuwa na uhusiano wa muda mfupi na aliyekuwa mwakilishi huyo wa Kenya kwenye Big Brother Africa mwaka huu.

“Tuliwahi kukutana kama mara tatu hivi nadhani alipenda alichokipata. Alinogewa,” Prezzo aliimbia Heads Up.

Anadai kuwa Huddah amechukia kwasababu hakutaka kuendelea naye.

“Huddah ni kama mali ya serikali. Amelala na karibu dunia nzima. Unadhani rais anaweza kutulia na mwanamke kama huyo,”alihoji Prezzo. Alidai pia kuwa Huddah amekuwa akiwasumbua wanawake wote wengine aliowahi kuwa na uhusiano nao.

“Sijawahi kumjibu, lakini utagundua kuwa alimshambulia Goldie na Diva wa Tanzania.”

Wakati huo huo, Huddah amekuwa akitweet majibu ya kile alichokisema Prezzo.
-Bongo5.com

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wanaume xyo ndugu zetu

    ReplyDelete
  2. huo n msemo wa watu wasojiamini........mbona kuna mahusiano unayajua kabisa hata we uliomo kuwa hapa hakunaga n kubadilishana vkojoleo tu mtu alioko sirias atashow hata kdg ila madem wa prezzo wote n sawa na huyu chagabarbie Mungu amcmamie acwe kama alokojolewa mara moja akakimbilia tattoo hahahahhahahahahahaaaa mbavu zangu mie

    ReplyDelete
  3. Hivyo ndivyo ilivyo, ukiwa tikiti maji unamegwa then unatemwa

    ReplyDelete
  4. mmezidi kushobokea mastaa,mbona sjawai kusikia staa wa kike ameolewa na mtu wa kawaida asie maarufu?hiyo ndo dawa yenu,yan sjui madem mpoje,diamond akitaka kuwagonga madem wote tanzania hii anawagonga,

    ReplyDelete
  5. komaaa weewee kidudu mtu atatombwa dada yako na mama yako lkn kwa wengine tunajielewa tena na ww utafirwa falaa weeewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Big up jamaa bwege linafikiri kila m/mke hajielewi...

      Delete
    2. hapo mnabwabwaja kama vile hamna meno domo akitoke tu mnataman hata kumgusa tu,je akitaka papuch c mnajikole hapohapo kabisa

      Delete
  6. wewe bwege hapo juu uliyesema diamond akitaka kugonga mademu wote Tz hii anawagonga.Kama ni ke wewe nakuweka katika kundi la wanawake bei rahis,na kama me ataanza na dada zako.Si kila mtu anashobokea pesa wengine tunaangalia tabia ya mtu,kijanamme kama diamond utakitambulisha kwa mzazi gani mwenye maadili mema ya kitz akakikubali??malaya na mchafu wa tabia,hamna msichana anayejielewa ambaye anaweza akatembea na mtu ambaye anajua tabia zake chafu.

    ReplyDelete
  7. bingwa wawalimbwende16 November 2013 at 06:00

    km nihivyo huddah maku yke nidampo kila mja kakojoa hahahahaha chooo icho

    ReplyDelete
  8. ukisema kila mtu kamkojolea je ww ushawah mkojolea ucpende shadadia vtu vya watu.......wote walikutana huyo prezzo nalo limalaya khaaaaa

    ReplyDelete
  9. Prezoo na wewe boro lako la serikali,linatia kila uchi dunia nzima

    ReplyDelete
  10. Ww mtu hapo juu shika adabu yako,huyo diamond labda atamtia dada,mama na demu wako matako ww.

    ReplyDelete
  11. kama alilala na dunia nzima sasa wewe ulimfata wa nn

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad