AFANDE SELE ATOA YA MOYONI KUHUSU BABU SEYA NA PAPI KOCHA

Huwa nawakumbuka naamini kabisa kitambo si kirefu watakua huru.. wakati nafanya album yangu ya kwanza (mkuki moyoni) zaidi ya miaka kumi iliyopita kuna ile track MAYOWE REMIX imepigwa live band ingawa MAJANI alipiga kick, lakini BASE & SOLO GUITAR alicharaza MZEE NGUZA (babu seya) mwenyewe, ukisikiliza vyema ile kazi utasikia kila chombo kwa wakati wake hiyo imechangiwa na ustadi wa Mzee Nguza zaidi, mtoto wake ambae ni PAPII KOCHA alifanya chorus ilikua vibe sana nakumbuka siku ile pale BONGO RECORDS. wakati huu ambao nakaribia kutimiza miako kumi ya KING OF RHYMES i wish mungekuepo tufanye kitu, MFUNGWA, MFUNGWA NI NANI? IMAM, RAISI. ASKOFU, MWALIMU, HAKIMU, JAJI, MASIKIN, TAJIRI, MCHUNGAJI anaweza kuwa mfungwa... .. MUNGU ni muweza wa yote na hashindwi na chochote naamini kabisa tutakua pamoja uraiani .. nawapenda, nawaombea na maelfu ya Watanzania wako pamoja nanyi
Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ongea na mshua alegeze kamba aisee. Eeh Mungu simamia haki ya waja wako itendeke.

    ReplyDelete
  2. Njaa na bange aka msuba, zinakusumbua wewe, sasa kupigiwa gitaa ndo kukufanya uwatetee wabakaji watoke jela. ngoja ipo cku na watoto wenu watafirwa tuone kama mtawatetea watu wa aina hii.

    ReplyDelete
  3. umeongea jambo coz watz hupenda sana kutetea wahalifu lakini wenyewe hawapendi kufanyiwa uhalifu,hebu fikiria ingekuwa ni mtoto wako ndiyo amefirwa na hii mibazazi ungethubutu kusema hivyo.acha sheria ifanye kazi yake

    ReplyDelete
  4. Tatizo wachangia hoja mliopita nanyi kama mngekuwa waungwana msinge amua hivyo, kwan nadhan nanyi hamjui ukwel ukowapi .Mie nadhan kama wameonewa watapa maripo kwa Mora na kama walitenda,basi hukumu nihaki yao. MTAZAMO TU MATUSI SI INSHU.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwa mtazamo wako hapo nani katukana?

      Delete
  5. Mnaotukana.km hamna la kuongea bora mfunge midomo yenu sio mnatukana tu hamna point bora ufunge domo lako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad