BAADA YA KIMYA KIREFU WEMA AWAPA UJUMBE MZITO TEAM WEMA"I KNOW U GUYS MISS ME"


Leo hii mwanadada wema sepetu ameoneka akipost kitu kwa mara ya kwanza kwenye mitandao ya kijamii baada ya muda mrefu toka msiba wa baba yake ulipotokea hivi karibuni
Katika post hiyo Wema amewataka “Teamwema” wapunguze jazba juu yanayotokea juu yake na kuwasihi kuwa wapunguze kutumia lugha ya matusi kwenye mitandao hiyo maana wanamuumiza ‘madame’
Ujumbe wake unasomeka kama ifuatavyo….
"...my darlings... im still grieving... i know you guys miss me... nd i miss you more... im jus still nat okay... but im right here... nipo pamoja na nyinyi... muda tu kidogo... dats all im asking for... nawapenda... saana kupita maelezo... im gone be baq... very soon... i promise... its jus dat sipo sawa. .. but inshallah... ntakuwa sawa... inshallah... its hard... i hope mnanielewa... i repeat nawapenda mno... mno... more dan u think... u kip me goin... u make me who iam... sema tu msifanye vile basi... msitukane... me mwenzenu bado im nat okay... alafu mnaniongezea matatizo... mi spendi... all in all i still love you guys... basi msinikere... sawa... sometimes its best to jus keep quiet... okay.... much love... P.S: Iam a father's daughter...♡♡♡

Post a Comment

33 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jivunie lugha yako kiswanglish cha nn na ww unaboa kwa hili!

    ReplyDelete
    Replies
    1. punguza joto hasira mkaka hapo anaongea na funs wake wenyewe wanamuelewa kama wewe sio fan wake lala mbele

      Delete
    2. hahahaha mdau umenifurahisha sana, kweli apunguze joto hasira!!!

      Delete
  2. Kweli anaboa huyu dada mpaka namchukia kuna wa2 wengne hawajui english.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe ni mmoja wapo hujui kiienglish ndio maana unamchukia kwa kuwa humuelewi nakushauri kasome english kozi chuki haikusaidii utaishia kukunja uso kwenye screen yako mwenzako anazidi kusonga

      Delete
  3. Nyie hapo juu wote machizi.. english is an international language so if u still blaming wema bout speaking english insted of learning it count urself as a failier..

    ReplyDelete
  4. Peace n love madam........ Get well soon.

    ReplyDelete
  5. ina mana wema ndo anawafanya mgombane ama?

    ReplyDelete
  6. Mi naona hata siku Wema wakitangaza amejinyea wapo tu wapumbavu ambao watajitokeza na kumpongeza pia watatoa mitusi kwa watu ambao watalaani kujinyea kwake.ina wezekana kuwa wanakojolewa matakoni hawa

    ReplyDelete
  7. Babako ndio anakojolewa matakoni. Na kuzaliwa kwako kabambikizwa tu na mamako. CHAPA IKOJOE au sijui chapa nini

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mi naona we mkundu unakuwasha.ntafute nikuchape malaya we!

      Delete
  8. Aongeee kiswahiliiii/english aache kuchanganya lugha.na nyny mnaomtetea inaonekana Mashoga kwani wema hajatukanwa anataiwa aongee lugha sahihi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. baba wa joto hasira hiyo changanya lugha ndio inafanya Wema awe Wema ndio identity yake sisi mashabiki wake tunapenda anavyoongea hivyo sasa wewe mwalimu wa kishwahili hilo joto lako kaoge maji ya mferejini utapoa

      Delete
  9. Kama english sio lugha sahihi waambie waacha kuifundisha shule tujue moja. Pumbavu yako. Ndio nyinyi munaokwenda ubalozini kuomba visa mukaweka number za luku kama number za utambulisho.

    ReplyDelete
  10. Nyie mbwa hapo juu mukome wema,kuma zenu zinanuka,kila mtu anaongea na lugha anayoitaka msitusumbue,wajinga nyinyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata mm napenda sana anavyoongea wema, wenye chuki na chuki zao

      Delete
  11. Wasenge mnataka aongee kikwenu au km huelew kafie mbali uko kwn ye peke yake ndo anachanganya lugha au nyie tu na roho zenu mbaya....vyuma nyie

    ReplyDelete
  12. DUH!!!!! Mtihani huu ingelikua munampenda mungu wenu km munavyompenda Wema kwa hakika mungelipata faida kubwa hapa duniani na huko munapokwenda pia. MTIHANI MZITO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we mwenyewe umefel mtihan Mungu ikaandikwa kwa herufi ndogo hlf kwa Wema ful makapito majanga

      Delete
    2. Njaa tu ndiyo inayokusumbua.si umpende babako na mama yako.kipapa chako we!

      Delete
  13. Team Wema endelea kumwaga matusiiii

    ReplyDelete
  14. Duh note mafala tu wema wema watu tumeona Lopez wako wapi kina jarule n'a ashanti Leo wako wapi toeni upuuzi wenu atuli wema atunywi mbwambwa watu tumeona mbooo nyoko mkachambie upupu

    ReplyDelete
  15. Acheni matusi siyo matatizo yake mwenzenu anataka umaarufu

    ReplyDelete
  16. Anataka umaarufu gani tena maana anajuilikana sana na wa tz karibu 1/4 wanamjua hadi kuma yake ikoje.hao wanaomshabikia na kutukana ni wapambe wake.huu ni ushamba kuongea ukachanganya lugha ili uonekane unajua kuongea english ovyoooo

    ReplyDelete
  17. waache maelekezo ya madam kibarua kiote majan chezea wema ww!

    ReplyDelete
  18. Me naona hamna kazi za kufanya mnamuonea wivu madame. Yupo juu alafu acheni matusi ya nini amumuogopi mungu?

    ReplyDelete
  19. wema we miss u so much, Mungu akujalie nguvu sweet girl

    ReplyDelete
  20. Kama hampnd lugh ya wema anza na barz la mtihn kwa kutumia kingrza na kiswhl hii ni iddnty yke xo stop kilumsumbua kam we co team wema hujalazimishwa kucomnt

    ReplyDelete
  21. Kumanina zako,kafie mbele uko!

    ReplyDelete
  22. ahahahaaaa!!!! mijitu mapovu ya midomo yanawatoka kisa kachanganya lugha!!! sikia nyie ambao hampendi kanyeni mkalale!!! aliewaambia msiende english course nani? manina zenu wote!!! NANI KANUNA??????

    ReplyDelete
  23. SAWA WEMA. I LOVE U NO MARA WHAT.I LOVE U FOREVER AND FOR ALWAYS

    ReplyDelete
  24. Acheni ujinga nyie hamna kazi nn wema ndo nani yeye mbona mi simjui?mafala nyie.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad