Nimetoka makao makuu ya polisi, upelelezi, kuandika statement kuhusu vitisho dhidi yangu kufuatia hekaya inayoitwa "Ripoti ya Siri ya Zitto Kabwe".
Chanzo cha hekaya sasa kinabadilishwa kutoka makao makuu ya CHADEMA na kuwa ni usalama wa Taifa au CCM.
Wahusika waendelee kuhamisha chanzo lakini wajue watasakwa na kukamatwa na kuburuzwa mahakamani. Nimewashitaki kwa kunitishia maisha. Ninawashitaki kwa kunichafua kwa tuhuma za uongo.
Ninafanya haya kwa lengo la kuhakikisha kuwa siasa za kuzushiana na kusambaza uongo zinakuwa na gharama kubwa.
CHADEMA chaliiiiiii
ReplyDeletezito fatilia mwanzo mwisho na ijulikane ni nani alieipost,na ushahidi uwekwe hadhalan kama ilivo kuwa kwa mwigamba,tukiona kimya tutajua ni chadema ndi wamefanya huo upuuzi maana najua kama ni ccm huwezi kuwakalia kimya
ReplyDeleteEven ne I say play your part brother
ReplyDeleteOya weh umeongea lugha gani even me I say ndo nini hizi Kata jamani si uongee lugha yako tu
ReplyDelete"hata mm nasema cheza upande wako kaka"
ReplyDeletendugu hakuna haja ya kujifanya wewe ni bingwa wa lugha,mtaacha ln ubwege wabongo,hata kama amekosea sioni tatizo kwani hiyo sio lugha yake.
ReplyDelete