ALICHOANDIKA ZITTO KABWE KUHUSU KAULI YA DR. SLAA DHIDI YAKE, MABERE MARANDO NA MENGINE

Hii inatoka kwenye page ya facebook ya Mbunge huyu wa Kigoma Kaskazini na pia Naibu katibu mkuu wa Chadema…

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. si ccm wala nini. ni mbinu za chadema kuonekana wanatafutwa. usalama wenyewe wengine wako chadema. CHADEMA acheni usenge wa kutubabaisha. mbona vyama vingine vya siasa havifanyi malumbano kama yenu?

    ReplyDelete
    Replies
    1. we si fara hujui chochote, anae windwa ni yule ambae ni tishio tu

      Delete
    2. Kumbe wewe hujuki tu kwani wahenga waliwai kuhenga kuwa "Ngoma ikivuma sana upasuka", so CHADEMA inakoelekea ni kupasuka pasuka. Kumbuka Marando LIKUWA NCCR nini kiimtoa huko? Shibuda nae, Slaa mwenyewe mpaka sasa anapewa posho za kibunge nje bunge na wafadhiri wa CHADEMA. Hawa wote ni mapandikizi na hata Tz hatuna upinzani, kwani mmoja anataka mkono uende kichwani na ashibe yeye mwenyewe kwanza.

      Delete
  2. chdm mnataka kuniuzi mmezidi marumbano kila cku nyie tuu acheni izo bhana

    ReplyDelete
  3. Hizo ndizo siasa, chadema kina nguvu na hayo yasemwayo ni kama kumpigi teke chura. Hao ni wafitini especialy ccm. Halafu wewe hapo juu unae tukana nadhan utakuwa among of them ktk kutumikia usenge. Hizo ni changamoto. Kwani hao ccm hawagombani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. changamoto zo CHADEMA ni za kisenge.kwa nini walumbane wao kwa wao ndani ya chama? hata NCCR mageuzi ya mrema ilianza hivyo hivyo mwisho chali. kama wanalumbana sasa hivi ikifikia kupendekeza mgombea urais itakuwaje? chama kama hiki hakifai kuongoza nchi. haijawahi kutokea nchi yeyete duniani chama chenye migogoro ya ndani kishike madaraka pasipo kujirekebisha. kama sasa hivi tu kuna makundi, wengine mamliki kama shibuda, marando dr. slaa na wengine, itakkuwaje chama kitulie? mchawi si ccm wala nani. mchawi wa chadema yuko chadema humohumo. waige chama kama CUF, kina msimamo na hakina marumbano ya kijinga, kinafaa hata kushika hatamu katika nchi.

      Delete
  4. Mti wenye matunda lazima upigwe mawe, amkeni wadanganyika!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukimanaanisha CCM kama mti wa kupigwa mawe? Acheni unafiki, hakuna upinzani hapa kwetu. Wale wale wanaohubiri kutunza rasilimali za nchi, wao wameficha nje mali zao. Ebu jiulize kama wewe ni mzalendo kwanini usiwekeze nchini mwako? Mtu ananunua majumba Marekani, Ulaya, Uarabuni, Afrika Mash na Afrika Kusini then anakwambia hapa tutaandamana mpaka kielewe, JE huyu anadhamira ya dhati kwa nchi yake? Au nae ni wale wale/ Kipigwa huyo Ulaya, wewe unafia hapo hapo. Mano mdogo 2001 mauaji ya Zbr, viongozi wote walisepa na alie kufa ni raia wa kwaida tu! Mbona hakufa kiongozi yeyote, je yeye alikuwa wapi wakati wewe unaandamana?

      Delete
  5. Hii moja ya sehemu za mapito ktk kutwaa taji.

    ReplyDelete
  6. Wewe anonymous nani anazungumzia ccm, ccm mti wake umebaki matawi tu, mbowe ni tajiri kabla hajaingia chadema, usfikiri ni kama viongozi wako wa ccm ,kwa hiyo hizo mali za nje wanazo kwao kabla hujazaliwa, wewe endelea kulala tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha ujinga wewe mbowe anakuwa tajiri bila kuiba kwa tz ukiwepo na wewe anafanya nini cha kumpa utajiri bila kukuibia wewe

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad