Zitto katika Facebook wall yake leo.
Kuchukua au kutochukua posho za vikao kama mbunge ni suala la misingi (principles) na sio suala la uwezo kifedha. Kuna wabunge matajiri sana lakini wakachukua posho na wengine wa kawaida kabisa hatuchukui posho.
Sio posho tu, hata msamaha wa kodi wa kuingia magari nimeukataa sababu ya misingi tu, kwamba siwezi kuwa Waziri kivuli ninayepinga misamaha ya kodi wakati huo huo nikachukua misamaha ya kodi. Ninaamini katika siasa za kutenda ninachosema. Mjadala wa posho kwangu mimi nimeufunga toka Juni 8, 2011 nilipoacha kupokea posho za vikao.
Mwaka huo pia nilikataa msamaha wa kodi ya kuingia gari. Ni msimamo tu, hapa mtu hupendi msimamo wangu isiwe uadui, wewe endelea kuchukua posho, omba ziwe nyingi zaidi na wala sitatia neno kwenye msimamo huo japo nitaudharau maana posho za vikao ni kuwaibia wananchi ambao hawana maji safi na salama, watoto wao hawana walimu sababu Serikali haiwalipi walimu vizuri, kina mama waja wazito wanakufa kutokana na huduma mbovu za afya huko vijijini nk.
Haya ndio masuala ya wananchi wetu na sio kudai kuongezewa posho.
Zito wewe ndio uefaa kuwa rais maana unakemea kwa vitendo huu ni mwaka wa 2 hupokei posho na unaishi wabunge waige mfano wako HAJI KYANDO
ReplyDeleteNakukubali sana kamanda..wape ukweli
ReplyDeleteNAKUBALIANA NA MANENO NA MSIMAMO WAKO MH. ZITTO NA ANAYESEMA WEWE NI MNAFIKI YEYE NDIO MNAFIKI.
ReplyDeletesimamia uadili kamanda.
NAKUBALIANA NA MANENO NA MSIMAMO WAKO MH. ZITTO NA ANAYESEMA WEWE NI MNAFIKI YEYE NDIO MNAFIKI.
ReplyDeletesimamia uadili kamanda.
Wote mliomsifia wajinga tu..jitu ongo hilo si mliulize lilivyoenda kutibiwa India lililipiwa sh ngapi? Acheni ufala nyie au nyie dada zake Diva loveness love maana mnajipachika km shemeji yenu bana pum...fu
ReplyDeleteWe msenge km huna hoja kaa kimya sio kutusi.....kuma la bibi yako
DeleteZito wewe ni ccm mnafiki mkubwa wewe
ReplyDeleteWw ndio mnafiki mkubwa usio na akili kabisa zitto yuko correct 100% hana tamaa na kama sio CCM ungeweza kuandika hata a.hatupendi chama cha kikabilaa
DeleteWengi hawajui huyo jamaa ni sawa na mrema tu
ReplyDeleteSafi sana jembe unafaa kuwa rair
ReplyDeletePumbavu nyinyi mnaomsema Zitto sasa kama wewe manina zako unayesema Zitto ni CCM,Suala la kutopokea posho na kusamee kodi ya gari huoni kuwa hiyo ni faida kwa mjinga kama wewe kunufaika na familia yako.ur idiot sidhani kama kichwani ni kuzima wewe eti alivyoenda kutibiwa india ni kiasi gani katumia.yeye ni mgonjwa ana haki ya kutumia malipo ya government unafikiri wabunge wote wangekubali kusamehe kodi kwa kila mwaka unajua kwamba hiyo hela ingeweza kuponyesha mamazako wanaoenda hospital na kufia huko sababu hamna madawa na wataalam wa kutosha kutoa huduma.acha kumchukia mtu sababu ya ukabila au CCM tunachokitaka nchi ni SERVICE DELIVERY PERIOD.
ReplyDeletePumbavu nyinyi mnaomsema Zitto sasa kama wewe manina zako unayesema Zitto ni CCM,Suala la kutopokea posho na kusamee kodi ya gari huoni kuwa hiyo ni faida kwa mjinga kama wewe kunufaika na familia yako.ur idiot sidhani kama kichwani ni kuzima wewe eti alivyoenda kutibiwa india ni kiasi gani katumia.yeye ni mgonjwa ana haki ya kutumia malipo ya government unafikiri wabunge wote wangekubali kusamehe kodi kwa kila mwaka unajua kwamba hiyo hela ingeweza kuponyesha mamazako wanaoenda hospital na kufia huko sababu hamna madawa na wataalam wa kutosha kutoa huduma.acha kumchukia mtu sababu ya ukabila au CCM tunachokitaka nchi ni SERVICE DELIVERY PERIOD.
ReplyDeletewe mdau sasa unachafua hali ya hewa. sababu humfahamu vizuri zitto ndo maana unamtetean zitto ni fisadi tu. tuna ushahidi alisha hongwa milion 500 na vibaraka wa serikali ili aache kidomodomo. unajua zitto anamiliki mali gani? ana magari ya kifahari na majumba ya kifahari mengi tu. msenge anatuzuga eti kukataa 70,000 ni uzalendo, ni ufala tu. Godbless lema yuko sahihi kwamba anakataa posho ya 70,000 Lakini anapokea posho ya mamilioni kwenye PAC na mashirika ya huduma za kijamii. Unajua hajasaidia jimbo lake lililo maskini toka achaguliwe? hafai hata kuchaguliwa tena, fisadi mkubwa
DeleteThibitisha hiyo mil 500 aliyohongwa na vibaraka wa ccm....siasa za kuchafuana haztolifikisha taifa kokote....ww na lema wote wasenge
DeleteMbona za magari na pkpk za M4C na KADI hazitoewi majibu? ACHENI UKABILA.
DeleteJamaniiii shemeji zittooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo............
ReplyDeleteKakaaaaaaaaa......jibu hoja, je ni kweli ya kuwa kile unachokihubiri na kukisimamia ni tofauti na matendo yako halisi?????......Ndio nakubaliana na misimamo yako mbalimbali kuhusiana na mstakabali wa Taifa la Tanzania hususan linapokuja suala la Rushwa, Mafisadi, na Matumizi Mabaya ya Rasilimali za Taifa la Tanzania.....Lakini pia ni kutaka kuelewa kama ni kweli matendo yako yana uwiana na misimamo yako.
ReplyDeleteKumbuka ya kuwa umeingia kwenye vita kubwa juu ya misimamo yako kuhusiana na Ruzuku za vyama vya Siasa, Posho za waheshimiwa Wabunge la Tanzania, pamoja na mabilioni ya fedha yaliyofichwa na baadhi ya waheshimiwa wa Tanzania huko Uswisi.
Hiyo ni vita ambayo haitaishia hapo, pengeni ni vita ambayo usipokuwa mwangalifu itakupeleka hata kaburini........Wazelendo wa Nchi ya Tanzania inawezekana wakawa nyuma yako lakini pia hawana nguvu za kutosha za kupambana na hayo maangamizi.
Posho ya elfu70 ya nini wakati unapata posho mara kumi ya hapo kwa kuwa mwenyekiti wa Pac? Nadhani pia ungekiw miwazi hujawahi kifanya kazi wa kuajiliwa na sijawahi kusikia au kukuona ukimili biashara ya aina yeyoye jee unawez vipi kulipa kodi ya zaidi ya miliono mia moja kwa magari lukuki unayoyamiliki acha kuwa mnafiki kama unasimaia ukweli na iwe hivyo na usijaribu kuwalagai watanzania kwa uzalendo fake wakati unakula bata kwa mlija umri wako na utajiki wako havifanani dogo
ReplyDeleteMheshimiwa Zitto kitu kingine ambacho unapaswa kuwa makini nacho ni kuzijibu kwa uadilifu hoja dhaifu na zenye mfumo wa chuki dhidi yako zilizotolewa na Mheshimiwa Godbless Lema. Tunajua na kwa uhakika Mh. Godbless Lema anatumiwa na wajanja na kwa makusudio ya kuzima uozo uliopo ndani ya CHADEMA. Kama ni kweli Mh.Godbless Lema angekuwa makini katika Siasa ilitakiwa azijibu hoja juu ya uozo ndani ya CHADEMA. Ilitakiwa atufafanulie uozo juu ya matumizi ya ruzuku ndani ya chama, uchakaliwaji wa katiba ya chama juu ya ukomo wa viongozi wa kuchaguliwa, na pia alitakiwa atufafanulie kuhusu msimamo wa chama cha CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu wa Raisi.
ReplyDeleteZitto na Lema chamsingi mkutane na mjadili pamoja mtafaruko uliopo na si kuanika kila kitu hadharani....mnatuharibia chama chetu...au ndo mmeanza tabia ya ccm kuligawa chama chetu?????
ReplyDeletepliiiiiiz tunahitaj sana ushindi wa CHADEMA 2015 Msianzishe ligi ziczo na msingi mnatuharibia chama aaaalaaaah.......
Zitto wewe ni jembe na ni kiongozi wa siasa uliyeji-exclude kwenye dirty game inayocheza na viongozi wasio na huruma kwa wananchi wanaowawakilisha by MALANGA A.N
ReplyDeletePolitics is a dirty game kama mwananchi mimi simuungi mkono yeyote kati ya Lema na Zitto.sababu hata wako bungeni wewe umefaidika na nini?nataka niwape mifano Zimbambwe 1995 currency yao ilikuwa sawa na US 2 Hivi sasa ni masifuli kama saba hivi.point yangu ni kuwa US AS BLACK PEOPLE WE ARE SELFISH AND ALWAYS THINKS ABOUT OURSELVES WE ARE GREEDY.sasa basi chama tawala au Chadema wakiwa madarakani hamna mabadiliko waliokuwepo madarakani ndiyo watahula na familia zao mimi na wewe tutasubiri sana.kama mnavyosema hamjui Zitto anapata wapi hela za kulipia mamilioni ya kodi za magari yake.mtatukanana,mtapigana,mtauana na mtachukiana end of the day ni muheshimiwa Lema au Zitto na familia zao mtakuwa mnawachangia maisha kwa kodi zenu.politics is very funny guz and we have to live with that but for me nothing really changed on my way of thinking about the politician.
ReplyDeletePolitics is a dirty game kama mwananchi mimi simuungi mkono yeyote kati ya Lema na Zitto.sababu hata wako bungeni wewe umefaidika na nini?nataka niwape mifano Zimbambwe 1995 currency yao ilikuwa sawa na US 2 Hivi sasa ni masifuli kama saba hivi.point yangu ni kuwa US AS BLACK PEOPLE WE ARE SELFISH AND ALWAYS THINKS ABOUT OURSELVES WE ARE GREEDY.sasa basi chama tawala au Chadema wakiwa madarakani hamna mabadiliko waliokuwepo madarakani ndiyo watahula na familia zao mimi na wewe tutasubiri sana.kama mnavyosema hamjui Zitto anapata wapi hela za kulipia mamilioni ya kodi za magari yake.mtatukanana,mtapigana,mtauana na mtachukiana end of the day ni muheshimiwa Lema au Zitto na familia zao mtakuwa mnawachangia maisha kwa kodi zenu.politics is very funny guz and we have to live with that but for me nothing really changed on my way of thinking about the politician.
ReplyDeleteLema ameongea mengi hasa juu ya wewe kukataa posho ya Tsh 70,000 huku ukichukua 700,000 - 1000,000 kwa siku wakati ukiendesha vikao vyako vya PAC
ReplyDeleteTueleze, ni kweli?? Na kama ni kweli kwa nini uchukue posho kutoka kwenye taasisi unayoenda kuichunguza?? Je? Hizo posho nene unazopewa na mashirika hazitoshi kukufumba macho na kuzuia uwajibikaji??
Na je? Kwa kitendo cha kukataa posho kimeleta impact gani kwa jimbo lako na wa wananchi wa jimbo lako?? Umeweza kuwaongoza vyema kupambana na ugumu wa maisha, huduma za kijamii na miundombinu?
Je? Ripoti za mabilioni ya uswizi, matumizi mabaya ya ruzuku kwa vyama ambao ulifanya kikao nao Tar: 25 Oct 2013, mrejesho wake upo wapi au umeupost page ipi? Maana kabla hujawaandikia barua ulipost na kuongea na wananchi mara kadhaa na kutamka wazi unaweza kumfunga jela yeyote, kamati yako ina nguvu kisheria, je baada ya hapo umekaa kimya, Je? Walipokuja wakuu wa vyama walikupa POSHO? kama hawajakupa, ule msimamo upo wapi tena?
Mwisho: Ipi faida kwa watanzania wanayoipata kwa wewe kuwa M/Kiti wa PAC, na ipi faida kwa wana kigoma kaskazini wanayoipata kwa wewe kuwa Mbunge???
Binafsi nimeshughudia mkilumbana kwa simu pale Dodoma sidhani kama hoja hii inajenga kwa sasa hasa ukizingatia namna ambavyo mnaijadili. Ninyi ni vijana haya mambo ni vyema mkawekana sawa kutofautiana kifikra kupo tu isiwe sababu ya kushambuliana.
ReplyDeleteHATOKUJA KUTOKEA KIONGOZI KAMA ZITTO KWA MIAKA YOTE INAYO KUJA WENYE KUMTUSI ENDELEENI TU MAANA NDIO UWEZO WENU WA KUFIKIRI UMEISHIA HAPO......HAKUNA POLITICIAN KAMA YEYE HAPA TZ KAMA WANAOMDISS NI KWA AJILI YA UKABILA MJUE KABILA LAKE NI WATU WENYE AKILI NYINGI SANA HATA KAMA HUTAKI...................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteUkabila hautawafikisha popote,kaeni chini mjipange.Msitumie chama kama mtaji.
ReplyDelete