ADEN RAGE ASIMAMISHWA NA KAMATI YA UTENDAJI YA SIMBA
0Udaku SpecialNovember 19, 2013
Kamati ya utendaji ya klabu ya Simba iliyokutana jana usiku, imemsimamisha kazi Mwenyekiti Ismail Aden Rage. Rage amesimamishwa kazi kutokana na masuala kadhaa ya kiutendaji , lakini kubwa imeelezwa ni suala la mauzo ya mchezaji Emmanuel Okwi.