Hitmaker wa Cinderela na Dushelele, Ali Kiba ambaye leo anasherehekea birthday yake ya kutimiza umri wa miaka 27, amefunguka kwa kusema alikuwa kimya kutokana maisha ya muziki anayosema yamejaa drama, mateso na mambo mengi.
Akizungumza na Bongo5 leo, Ali Kiba amesema muziki wa Tanzania umejaa drama zilizomfanya atulie kidogo kutafakari na ili kusudi ajue jinsi ya kukabiliana na changamoto zake.
“Nashukuru Mungu nimetiza miaka 27, ni wakati wangu wa kuamka katika usingizi uliyojaa maumivu,drama na mambo mengi ambayo yameweza kunikalisha kimya. Sitaki kusema moja kwa moja kwamba nilikuwa kimya kwasababu maalum ambayo hata ingemkuta mwingine lazima angetulia,” Ali Kiba ameiambia Bongo5.
“Namalizia audio na video ambavo ni kali sana. Unajua nimekuwa nikipokea maoni mengi kwenye Twitter,Instagram na baadhi ya rafiki zangu wakinitaka niamke nifanye mambo. Kwahiyo nadhani muda wangu umefika wa kuamka na kufanya yale mambo ambayo nilikuwa nayafanya. Huu ni muda wa kutoka kutoka nilipokuwa.”
Happy Birthday Ali K and welcome back.
Credit-BONGO5.COM
Rudi kaka watoto wanajambisha kitaani
ReplyDeleteWe really love u guy & am ur #1 fan so can't wait 2c ur camin back
ReplyDeletenakukubali mzee njoo upunguze maneno ya hawa watoto
ReplyDeleteuuuh afadhali umerudi ali kiba!!! i ni shabiki wako nakusubiria kwa hamu
ReplyDeleteSitaki kujua ulkua wp kaka.. coz hata foaming hawa watoto wamejsahau kabxa kua upo na unajua wanachokifanya. We real miss you .........
ReplyDeletewelcome back Ali k 4 real bnafsi nlkumis sana kwenye muziki
ReplyDeletena yy akiwa km DOMO kimafanikio mtamchukia nn tatzo na wabongo
ReplyDeleteachana na domo yy si mshamba flani tu ali k anakipaji na sauti nzuri domo ana nini ?
Deleteanakipaji cha kuvua chupu
DeleteKaza buti
ReplyDeletenjoo amburuze domo anajidai sana na ngololo yke
ReplyDeleteWelcome back bro then fanya uoe umri unaenda sasa
ReplyDeletewatin' 4 dat song mic u!
ReplyDelete2nasubr hyo ngoma yako bro!
ReplyDeleteHapana aoe akiwa na30 nw maendeleo kwanza
ReplyDeleteHapana aoe akiwa na30 nw maendeleo kwanza
ReplyDeletehey bro may god bless. u and I want 2 tell u dat in life u muxt struggle in order 2 achieve what u want in ur life na mtangulize mungu kwanza kwa kila jambo ma bro I hope that u enjoy the day dat u were born b' coz it a special day 2 u ma dear 1
ReplyDelete