ALIYEMUUWA DR SENGONDO MVUNGI AKAMATWA DAR

Kamanda wa Kanda Maalum Dsm, Kamishina wa Jeshi la Polisi (ACP) Suleiman Kova.
.Mtuhumiwa huyo ni  wa kumi kukamatwa kuhusiana na tukio hilo
Siku moja baada ya nguli ya sheria za katiba nchini, Dakta Sengodo Mvungi kuaga dunia nchini Afrika Kusini, Jeshi la Polis Kanda Maalum Ds, linamshikilia mtuhumiwa mmoja John Ikondia Mayunga (56) kwa kosa la kushiriki kikamilifu kwenye mauaji ya mwanasheria huyo na mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
 Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Kanda Maalum Dsm, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Suleiman Kova amesema mtuhumiwa huyo ni mkazi wa kiwalani walipata taarifa kwa raia wema kwamba alishiriki kikamilifu kwenye tukio hilo lilosababisha kifo cha Dakta Sengodo Elibariki Mvungi.

“mnamo tarehe 12/11/2013 Polisi walipata taarifa kutoka kwa raia mwema kwamba kuna mtu ambaye amehusika na tukio la mauaji ya Dakta Mvungi na kwamba kipindi hicho mnamo saa 12 jioni mtuhumiwa alikuwa maeneo ya mtaa wa Twiga Jangwani akiwa anaangalia Televisheni,” amesema Kamishina Kova.
1454628_650916231627891_1324435004_n
Marehemu Dakta. Sengodo Mvungi.
Kova amesema kwamba mtuhumiwa alitambuliwa na kukamatwa kisha kuhojiwa na Polisi na alikubali kwamba alihusika na akwaongoza Askari hadi nyumbani kwake Kiwalani Migombani.
Alifafanua kwamba taratibu za upekuzi zilifanyika na katika upekuzi vilipatikana silaha ambayo ni Bastola aina ya REVOLVER N0. BDN 6111 pamoja na risasi ishirini na moja.
Kova amesema kuwa mtuhumiwa alikiri kwamba katika vitu vitu vilivyoibwa nyumbani kwa Dakta Mvungi ni pamoja na bastola hiyo aidha siku ya tukio hilo walitumia milipuko kutishia ili kufanikisha uporaji huo.
Kamanda Kova alisisitiza kwamba mtuhumiwa huyo ni wa kumi kukamatwa kuhusiana na tukio hilo na bado operesheni kali inaendelea ili kuhakikisha kuwa yeyote aliyehusika na tukio hilo anakamatwa kwa nguvu za dola.

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Police wa bongo nawachukia sana sana sana, mbona akiuwawa mlala hoi hakamatwi mtu? ulaya hata ukiua mkimbizi moto ni ulele lazima wakutie adabu hata miaka mia baadae, why not bongo? usenge mtupu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndugu umeongea neno

      Delete
    2. WEWE NI MKUNDU NA MSENGE HAUJUI ULITENDALO ENDAPO DOCTOR ANGEKUWA NI NDUGU YAKO HALAFU HAWA WAMEKAMATWA HIVI UNGETHUBUTU KUSEMA HUO USENGE WAKO UNAOUSEMA ACHA UKUNDU WEWE UNAROPOKA VITU USIVYOVIJUA NI VYEMA UKAE KIMYA KUMA LA MAMA YAKO

      Delete
    3. Mwenzako akitoa post au comment jaribu kuisoma nakuielewa siyo kukimbilia ku coment tu nakutuonyesha uhodari wakutukana, jikuma la mama yako we mdau unayejua kutukana.

      Delete
    4. Inawezekana ndio waliomuua ndo wanamjibu au ni polis anajibu ha ha haa nchi hii inachekesha jaman

      Delete
    5. Eti tumewakamata watu 10 kwa mauaji ya dr. Kwan imeishia wapi kesi ya akina amatus liumba na wenzake wa benk kuu? Aliemuua mwangosi kafungwa mda gan? Mnatufanya watz wajiiingaa, yan kesi inavuumaa halaf inapotea then mnaivumisha nyingne ya kwanza mnamwachia

      Delete
  2. Hii ndio bongo bhana

    ReplyDelete
  3. Bw. Kova ni nani alimuua Mwangosi na kuwang'oa meno na kucha bila ganzi Ulimboka na Kibanda?

    ReplyDelete
  4. Kova unajazba na ukali usio na tija..ulinzi wa raia umekushinda na hapa sijakuamini na watakua hao hawahusiki

    ReplyDelete
  5. Kova unajazba na ukali usio na tija..ulinzi wa raia umekushinda na hapa sijakuamini na watakua hao hawahusiki

    ReplyDelete
  6. Watu wengine sijui wanagongwa?polisi unawachukia sababu we ni muarifu.kama vp nenda kaishi huko ulaya! Mbwa koko we

    ReplyDelete
  7. Hongera sana Kova kwa kazi nzuri uliyoifanya.Lakini mbona mwanzo ulijigamba kwamba umemkamata Steven mkenya ambaye anadaiwa kuwa alimteka nyara Dr Ulimboka.matokeo yake ni kuwa mtuhumiwa alishinda kesi mahakamani na ikabainika kuwa yeye hakuhusika na hilo tukio.sasa ni vipi kuhusu hao watuhumiwa.mi naona hata hao uliowakamata pia hawajahusika.kamanda fanya kazi za uhakika bwana sio kuwadanganya watz,tumechoshwa na umbeya wako

    ReplyDelete
  8. Kova ni bogus,mnafiki.

    ReplyDelete
  9. Kama ni kweli wamekamatwa basi ni Jambo Jema sana, ila mimi bado siamini hadi nione mwisho wake na hukumu kwa waliokamatwa maana nimeshuhudia mengi kama haya kutangaziwa wananchi baada ya matukio kuwa wahusika wamekamatwa lakini hatuelezwi mwisho na ndio maana wanachi wengi wanaona ni changa la macho, na hata wakipelekwa mahakamani basi kesi itapigwa zaid ya mwaka hadi watu wasahau. KWA HILI ALILOTANGAZA KOVA KUWA HATA BASTOLA YA DR.MVUNGI IMEPATIKANA BASI ILI NIAMINI ATAJE REGISTRATION NUMBER KISHA FAMILIA YAKE ITHIBITISHE; Vinginevyo tutajua ni ule mchezo wao tu wakuonyesha za matukio ya zamani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kwel kabsa hata vyombo vyetu vya habar vinatutangazia mwanzo itaishiaje hawasemi sijui wanatishwa hawawaon wenzao cnn au bbc wanakuonyesha mpk mahakaman kesi ya mwanariadha oscar pistorious kumpga risas mpz wke inaendeleaje bt kwetu waandish wanabak nje ya mahakama

      Delete
  10. hongera jeshi la polisi

    ReplyDelete
  11. Watanzania bwana, badala ya kujenga hoja na kutoa maoni unamtukana mama wa mwingine wakati hahusiki. Unajitafutia laana na si umaarufu wa kutukana matusi. Huo si uungwana kabisa!
    wakati mwingine unajitusi mwenyewe.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad