Mtangazaji Maarufu Kutoka Marekani Oprah Winfrey ameonyesha kuikubali lugha ya Kiswahili baada ya kupost Picha Akiwa ameandaa Chai kwa ajili ya kiburudisho cha siku ya juma pili.
Oprah aliandika kupitia ukurasa wake wa Insta Gram ” CHAI READY FOR #SUPERSOULSUNDAY WITH @REALROBBELL ” Huku akionekana kushika kikombe cha Chai na tabasam kubwa kabisa
Haya ndio maneno ya Oprah aliyopost Instagram
Oprah Aliwahi kutembelea Tanzania katika Mbuga ya wanyama ya Serengeti na kupata Kifungua kinywa kati kati ya Mbuga, huenda huko ndipo alipopata neno CHAI

wewe admin chai ni common hata wahindi hutumia nchi za asia,mim ni shabiki wa kiswahili
ReplyDeleteHebu mwambie chai hata turkey wanatumia hata waarabu mxiuuuuuuu
ReplyDeletetatizo admin mwisho chalize ajasafiri,,,,, ukienda nchi za watu unaulizwa unataka chai utasema wamekuongelesha kikwenu ahhhhhhhhhhhh
ReplyDeleteHahahahaaaa! Mi napita tu.
ReplyDeletechai mbona inajulikana sana acha ushamba
ReplyDeleteHahahaha.. Tatizo mnakulupuka kupost vitu ambavyo hamjavichunguza..
ReplyDeleteHata kama wahindi, waarab, n.k wanatumia chai, huyu chai kwake laweza kuwa neno lililotumia mda mrefu kueleweka kwake
ReplyDeleteSasa chai si ni neno tu lakawaida acha ushamba wewe tembea ujionee
ReplyDelete