AUNT EZEKIEL: NILIKWENDA KWA DEMONTE KUSAKA MTOTO

Stori: Hamida Hassan
Sura ya mauzo katika sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson amefunguka kuwa alikwenda Dubai kwa mumewe Sunday Demonte kwa ajili ya kusaka mtoto kwani kwa sasa hatumii kinga kwa sababu anahitaji kuitwa mama.

Akistorisha na Ijumaa Wikienda mara tu baada ya kutia maguu kwenye ardhi ya Jakayaland mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo alilazimika kurudi mapema kutokana na msiba wa rafiki yake kipenzi aliyemtaja kwa jina moja la Sofia, Aunt alisema kuwa kwa sasa muda umefika wa kuzaa.

“Hata mume wangu anatamani sana mtoto, tumekaa na kukubaliana juu ya ishu hiyo hivyo muda wowote naweza kuwa mjamzito, japo siwezi kuweka wazi kama ni tayari au bado kuepuka wanga,” alisema Aunt.
Global publishers

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hii kapo kweli ya karne mpya ya ishirini na moja; yaani iko open kiaina hivi;

    ReplyDelete
  2. Looo Acha umbea mimba ya Jeff hiyo unambambikia mumeo wanawake mna raana aisee eeeeh Mume mwenyewe babwa tu tupishe huko

    ReplyDelete
  3. pumbavu,senge we wakati bbko na mmko wanatiana walijitangaza wanakutafuta ww shain pizande martero we

    ReplyDelete
  4. Atazaa punda huyo.,
    hivi cku hzi hadi mimba mnazifanyia promo fuck yu Wit Ur mmewako fuck u twise

    ReplyDelete
  5. Samahani aunty hivi hii picha ya lini maana huyo Sunday yupo jela Abu Dhabi au unafkiri watu hawajui acha kufanya watu wajinga wewe mfanyie mpango mumeo atoke jela

    ReplyDelete
  6. Hahaha, sema weye kiazi (anony 3:35am), nikisema mie muhogo nitaambiwa nina mizizi mingi. Wadanganye walioko bongo, jamaa mbona wazee walimuotea!! Fanya mchezo na Mwarabu weye, yeye hapana taka mchele, ngano wala hiyo "dona" yenu. Heheiyaa...

    ReplyDelete
  7. Hahaha, sema weye kiazi (anony 3:35am), nikisema mie muhogo nitaambiwa nina mizizi mingi. Wadanganye walioko bongo, jamaa mbona wazee walimuotea!! Fanya mchezo na Mwarabu weye, yeye hapana taka mchele, ngano wala hiyo "dona" yenu. Heheiyaa...

    ReplyDelete
  8. 2abalshen jamaa kwel yupo jela??

    ReplyDelete
  9. Inawezekana kwel kashatiwa mimba huku sasa anaena kutómbana na mmewe ali ambambikie vzr

    ReplyDelete
  10. Inawezekana kwel kashatiwa mimba huku sasa anaenda kutómbana na mmewe ali ambambikie vzr

    ReplyDelete
  11. Jamaa ananyea ndoo,sema tu ukweli usione haya ulikuja kumpa company ili asione umemtenga huna lolote,tatizo lenu mnapenda sana pesa bila kujua mtu anazpataje....sunday ni muuza sembe konkod,ngoja aonje joto ya jiwe.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad