BAADA YA ZITTO KUVULIWA UONGOZI CHADEMA..MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA NAE AJIUZULU LEO

Salaam,

Napenda kuwasilisha kwako taarifa ya kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara kuanzia Leo Ijumaa 22 Novemba 2013 kwa kuchoshwa na Unafiki unaoendelea ndani ya Chama. Napenda ifahamike pia kwangu maslahi ya Wapiga kura, Wakaazi na wananchi wa Mpanda Mjini na Wilaya ya Mpanda ni muhimu katika kuwatumikia, hivyo basi sipo tayari kuchaguliwa marafiki. 

Kwa kipindi kirefu zimekuwepo shutma dhidi yangu na kutiliwa mashaka mahusiano yangu na Mhe Pinda Waziri Mkuu pamoja na kulijadili katika vikao kadha Mpanda na Dar es Salaam bado yapo mashaka kwa nini alipita bila kupingwa hayo yalikua maamuzi ya Wanampanda kwenu imekua ni tatizo lakin hamsemi kwa nini Majimbo mengine 16 nchini yalipita bila kupingwa mlikua wapi na nani alaaumiwe huu ni Unafiki  wa kupindukia.

Aidha mmechukizwa sana kwa nini nilihoji kauli ya Muasisi wa Chama Mhe Mtei kutuchagulia viongozi naomba ifahamike wazi kwamba huu ni mtazamo wangu na utabakia hivyo siku zote kwa chama cha demokrasia kutoruhusu uongozi wa kiimla kwa kukidhi matakwa ya Waasisi ambao huvigeuza vyama kuwa Mali binafsi

Kwa kusema ukweli na kusimamia ukweli daima itabakia kuwa lengo langu katika maisha yangu siku zote hata kama itanigharimu maisha yangu

Nawasilisha.


Said A Arfi (mb)
Tags

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumekucha chadema

    ReplyDelete
  2. pole sana,ila kwa faida yako na wale wasiojua napenda niwafahamisheni kuwa chadema ni chama cha wapare na wachaga wengine mmedandia tuu hivyo wewe,zitto kabwe,tundu lissu.nyika mjiandae kufukuzwa na kuvuliwa vyeo na uanachama mpaka wabakie mbowe familly &mtei&slaa familly mwisho CHADEMA FOR ARUSHA &KILIMANJARO

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duh kweli mkuuu.na mimi narudisha gwanda maana hawa wachaga hawakosi bastola

      Delete
    2. Kwani wewe sio wa kaskazini? Kama sio wa huko umechelewa..

      Delete
  3. acheni kuzingua hawa mamluki hatuwaki kabisa aende zake

    ReplyDelete
    Replies
    1. sio mamluki sema sio mchaga. au acheni kuzingua kama sio mchaga hatumtaki kabisa aende zake

      Delete
  4. Kwenye msafara wa mamba na kenge wapo,ukabila,rangi,dini,na kukosa hekima havitakiwi ktk maendeleo na ukombozi wa taifa letu km Tanzania,wananchi wamekosa imani na ccm,sasa chadema ,km hamuaminiani nanai atawaamini,mashere na wachungaji umbeeni Tanzania ,panaweza pakabadilika.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tz upinzani badosn kaen wakaskazin tuone kama mtaongoza nchi,hapo ndo kushney

      Delete
  5. Chagga Development Movement Association imeanza kuonyesha uhalisia wake.Hongera Mtei Kaza uzi...! wapi Chifu Marialle.Slaa subiri zamu yako.Mmetukatisha tamaa kwa kuendekeza historia iliyokwisha pita.Niliamini yamekwisha na tunajenga Tanzania ya leo kumbe bado mnakumbuka enzi za kudai uhuru?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bwahahahaaaa eti CHAGA DEVE. MOVEMNT ASSOCIATION

      Delete
  6. Duniani Hakuna kitu kibaya kama Ubaguzi hasa wa Kikabila,Nchi nyingi zenye Machafuko na Matatizo ya umwagaji Damu Duniani chanzo ni ukabila.CHADEMA wana ukabila sana,nahisi wakikabidhiwa dora japo ni ndoto wanaweza wakasema bunge lihamishiwe Karatu.kwa mpango huu 2015 Watapoteza Majimbo mengi sana,watabaki na haya ya Kaskazini.

    ReplyDelete
  7. http://www.mpekuzihuru.com/2013/11/sakata-la-chadema-kujiteka-kummwagia.html

    ReplyDelete
  8. Sasa timu imekamilika...naona Mchungaji Msigwa kasogezwa karibu amsaidie Padre Slaa...sasa ni chama au Parokia?

    ReplyDelete
  9. UDINI + UKABILA =CHADEMA

    ReplyDelete
  10. CHAgga DEvelopment Movement Association. Kwikwikwikwikwi. Umeua mdau

    ReplyDelete
  11. Jamani eeeh! Muacc wa chama ni E.Mtei na Mbowe ameoa mtoto wake hivyo Mbowe yuko kwenye chama cha ukweni sasa mnategemea nini hapo?

    ReplyDelete
  12. Mimi siku zote nasema afadhali ya ccm inamchanganyiko wa kitaifa kuliko hicho chama cha wachaga kama alivyosema AM hapo juu. Muungane watz muwe kitu kimoja . Udini ni mbaya

    ReplyDelete
  13. Kwani hamna vyama vingine mpaka ccm?,na mtabemendwa sana na ccm mpaka mtoe ujoro.

    ReplyDelete
  14. Hapo chaga boy keshavuta hela Ccm: hana shida ya kujenga chama cha kitaifa anatafuta hela ajenge nyumba ingine USA...tangu lini ukaona chama viongozi hawana ukomo wa madaraka ni chama cha maziroo tu ndo utakuta mambo hayo.....Ovyooo wakajenge matawi ya chama chao huko kibororoni

    ReplyDelete
  15. Kimenuka chadema.... Ccm oyeeeee

    ReplyDelete
  16. Kambarage alikaribishwa TAA kuwa Mwenyekiti,lakini wenyeji wake akina Sykes walitaka kuhodhi TANU iwe ya yao(watu wa Pwani) lakini Mwalimu aliamua kuachia uwaziri mkuu aijenge TANU iwe ya watanganyika wote.Tukapata uhuru.Slaa acha kuendesha chama kimisionari.Kubali kukosolewa utuletee Tanzania tunayoitamana.Akina Marando tunawajua tangu vyama vingi vianze.mliwakaribisha wenyewe watoeni taratibu..

    ReplyDelete
  17. HAAAAA CHAMA CHA KIMISIONARI ZITTO NA ARFI CUF IPO WAZI

    ReplyDelete
  18. chamesha mnama aisee babangu we sio wakishumundu .kama walivyojazana mabenki wapeana pasi tu .na bado tutaona mengi

    ReplyDelete
  19. Daahhh sasa tumwamini nani

    ReplyDelete
  20. mm nilikua mpinzani lakin naona ccm sasa ni bora zaidi kwa mashart kwamba rais asiwe lowassa labda mzee sitta na waziri membe lakin waliosalia ni hatari rais wa tz tatakiw kutoka kabila kubwa hasa mashariki sana wampe mzee pinda mizengo nitawapa kura lakini zaidi ya hao sichagui mtu.

    ReplyDelete
  21. hapo sasa ukilala na mtu uliyedhani, na baadaye ukagundua siye unatakiwa kuondoka taratibu kabla hajajua km unaondoka. kwani nani hajui kuwa chadema ni chama cha ukoo wawachaga padre yuko kule kwasababu kaoa kwao, wengine ondokeni kabla hamjaaibishwa

    ReplyDelete
  22. hapo sasa ukilala na mtu uliyedhani, na baadaye ukagundua siye unatakiwa kuondoka taratibu kabla hajajua km unaondoka. kwani nani hajui kuwa chadema ni chama cha ukoo wawachaga padre yuko kule kwasababu kaoa kwao, wengine ondokeni kabla hamjaaibishwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad